USHAURI: Lema jiuzulu nyadhifa zako zote CHADEMA before it's too late

N
Ndoto ya kuiua CHADEMA ilikuwepo tangu enzi za JK, lakini chama ndio kikazidi kupata mizizi kwa wananchi, inawezekana ulikuwa unanyonya wakati huo.
 

Haswaaa, Lema aondokeee, hana nafasi chadema kwa sasa.
 
Atulie tu kama kweli hataki MAVIZIANO matendo yake yataongea. Kwa nini amalize miti?
 

Kwa clip ile ya mange, ni kweli kabisa Lema emefika bei, na anaonesha wazi kabisaa. Wala hajifichi.

Cha ajabu yeye hajajibu au kukana tuhuma kaja na gazeti lake refu, na kutoa unabii wake uchwara wa siku zote.
Em atupishee sie. Khaaa.
 
Wachaga ndio zao utasikia Yesu na Maria
 
Kwa clip ile ya mange, ni kweli kabisa Lema emefika bei, na anaonesha wazi kabisaa. Wala hajifichi.

Cha ajabu yeye hajajibu au kukana tuhuma kaja na gazeti lake refu, na kutoa unabii wake uchwara wa siku zote.
Em atupishee sie. Khaaa.

Naam , Mange licha ya madhaifu yake ila kwenye taarifa huwa yuko makini Lema amekua "caught off guard".
 
N

Ndoto ya kuiua CHADEMA ilikuwepo tangu enzi za JK, lakini chama ndio kikazidi kupata mizizi kwa wananchi, inawezekana ulikuwa unanyonya wakati huo.

Kipindi kile walikaribia kuweza maana chama kilikua mikononi mwa watu wachache ila sasa kiko kwa wananchi ndio ugumu unapoongezeka .

Popote duniani dola haijawahi kushinda wananchi.
 
Nisaidie Quinine, kuna issue gani na Lema?
 
Kile kitendo cha kwamba CCM ndiyo wako busy kumtetea na kumsifu Lema wakati CHADEMA wako na Heche through thick and thin for any sensible person this exposes who is good for CHADEMA and who is not, hii wala si destruction kama CCM na timu yao ya chawa wanavyodhani bali inawasaidia CHADEMA kubain toxic people ndani ya chama chao.
Swali la msingi: Kwanini CCM wanahangaika kumtetea Lema? Ghafla amekuwa mzuri kwao kama wanavyomsifu Mbowe waliyemuita gaidi mmiliki wa saccos?
 
Hivi kwa nini ukipewa hela unakuwa zuzu ghafla?! Lol

Kula bata miezi miwili seaclif..?! Lol kabisa?? Watu wasijiulize kuhusu umepata wapi hela, kabisaaa?!...alikuwa na nani au kitoto cha 2000? Lol
 
Chadema iuliwe na Lema? You must be joking.
Point yangu n kwamba, wasaliti wanaibuka wengi na wengine n wa meza kuu

Mfano ghafla unaona JK anaisaliti ccm, unadhani kuna kitu kitabakia hapo
 

Lema akifukuzwa utakua mfano kwa wengine wakina Sugu na Bono Yai
 
Kweli ukianza kuona #hashtag zako nyingi zinatoka upande wa CCM ni ngumu sana kuaminika tena CDM, mifano ni mingi Zitto, Mbowe and others.
Nimemsoma sana Lema, ukweli toka moyoni Lema ni timu Mbowe, kwa sasa yeye ni feeder wa CCM.
 
m Kumbe lema ni sikio la kufa.
 
Aliyokuwa anayataka Lema utekeleza umeanza.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…