chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,834
- 26,217
Wadau ...
Nipende kumshauri mpinzani wa kweli na Muumini wa Demokrasia Mh Tundu A. Lisu kuwa ni busara kujiengua mapema kwenye kiini macho kinachosubiriwa cha uchaguzi CDM, watu ambao wanaenda kupiga Kura wanakula , wanalala kwa gharama za Mbowe. Wewe Nani atakupigia Kura japo wanafahamu uwezo unao?
Huoni kukubali kuliendea sanduku la Kura unakuwa umehalalisha kuwa kuna Demokrasia ndani ya CDM wakati kiuhalisia haipo?
Lisu huoni kitendo cha wewe kukubali kwenda kushindana na Mbowe ni kujishusha hadhi na Imani yako mbele ya wapenda Haki ambao wameshaona kuwa uchaguzi hauwezi kuwa wa Haki na Mshindani wako Mbowe Hilo ameshaliweka wazi lazima ashinde?
Mbowe hakupaswa kuwania tena hiyo nafasi, na kama ulijua kuwa Mbowe ana Nia ya kuwania usingejisumbua kuchukua fomu.
Anyway kwa kuwa CDM inafanya biashara wacha wachukue hizo Milioni 1.5 za fomu