Ushauri : Lisu imetosha kubali yaishe, Jiengue kwenye nafasi ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

Ushauri : Lisu imetosha kubali yaishe, Jiengue kwenye nafasi ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

Acha Lissu akomae mpaka dakika za mwisho tuzidi kuona nyeti za Chadema...maana chama kitaendelea kuwepo kwa hisani ya CCM.
 
TAL akihitaji wa kujitolea kulinda kura zake, nipo sihitaji malipo kabisa. Ni upendo tu kwa Mzalendo na mpenda haki, uwazi na ukweli. Mwenyezi Mungu atakulinda TAL.
 
Lissu anaenda kuzikwa kisiasa, alianza kutukana mamba, atapigwa kama ngoma
Kuna maisha pia nje ya siasa. Kama aliweza kusavive kwa ule ushetani wenu kwa kivuli cha wasiojulikana, ugumu kwake utakuwa wapi.
 
Back
Top Bottom