econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 20,189 Reaction score 29,663 Dec 21, 2024 #21 Wawaachie huyo Wenje na Mbowe wafanye wanayotaka.
idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,284 Reaction score 38,364 Dec 21, 2024 #22 Acha Lissu akomae mpaka dakika za mwisho tuzidi kuona nyeti za Chadema...maana chama kitaendelea kuwepo kwa hisani ya CCM.
Acha Lissu akomae mpaka dakika za mwisho tuzidi kuona nyeti za Chadema...maana chama kitaendelea kuwepo kwa hisani ya CCM.
Subira the princess JF-Expert Member Joined Mar 3, 2018 Posts 3,474 Reaction score 3,744 Dec 21, 2024 #23 TAJIRI MKUU WA MATAJIRI said: MBOWE ni dume la nzi, haliogopi kuchezea kinyesi. Click to expand... Kweli aisee
TAJIRI MKUU WA MATAJIRI said: MBOWE ni dume la nzi, haliogopi kuchezea kinyesi. Click to expand... Kweli aisee
Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 8,900 Reaction score 28,398 Dec 21, 2024 #24 TAL akihitaji wa kujitolea kulinda kura zake, nipo sihitaji malipo kabisa. Ni upendo tu kwa Mzalendo na mpenda haki, uwazi na ukweli. Mwenyezi Mungu atakulinda TAL.
TAL akihitaji wa kujitolea kulinda kura zake, nipo sihitaji malipo kabisa. Ni upendo tu kwa Mzalendo na mpenda haki, uwazi na ukweli. Mwenyezi Mungu atakulinda TAL.
Halaiser JF-Expert Member Joined Apr 3, 2014 Posts 4,230 Reaction score 6,653 Dec 21, 2024 #25 chiembe said: Lissu anaenda kuzikwa kisiasa, alianza kutukana mamba, atapigwa kama ngoma Click to expand... Kuna maisha pia nje ya siasa. Kama aliweza kusavive kwa ule ushetani wenu kwa kivuli cha wasiojulikana, ugumu kwake utakuwa wapi.
chiembe said: Lissu anaenda kuzikwa kisiasa, alianza kutukana mamba, atapigwa kama ngoma Click to expand... Kuna maisha pia nje ya siasa. Kama aliweza kusavive kwa ule ushetani wenu kwa kivuli cha wasiojulikana, ugumu kwake utakuwa wapi.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Dec 22, 2024 #26 Ngoja wanyoshane kidogo... Cc: Mahondaw