Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Unajua mimi ni Simba damu lakini uzalendo umenisukuma kuitetea yanga , ambayo ni kama imelogwa ! Hivi utaachaje kocha mzuri ( Pluijm ) na kuchukua hili garasa ?Yamekuwa hayo
Umenenaaaa,,,,,Unajua mimi ni Simba damu lakini uzalendo umenisukuma kuitetea yanga , ambayo ni kama imelogwa ! Hivi utaachaje kocha mzuri ( Pluijm ) na kuchukua hili garasa ?
Huyu ni kocha mbovu kabisa , kama Manji anamtaka si ampe kazi quality group ?Mkuu kila siku unapenda makocha wafukuzwe wewe unanufaika na nini wakifukuzwa
Mkuu Kufungwa ni Sehemu Ya MchezoYaan huyu kocha sijaona kipya haswa anatuharibia yanga yetu tangu afike tunalekea matopeni
Mkuu acha kushangilia shida za watuHuyu ni kocha mbovu kabisa , kama Manji anamtaka si ampe kazi quality group ?
Kumbuka ukiua hizi simba na yanga ndio umeua soka la nchi hii masikini isiyo na hela .
Hata mm kwa kweli niliwashangaa sana,tatizo wanamsikiliza sana Mzee Akilimali Mzee was ghahawa![emoji14] [emoji14]Unajua mimi ni Simba damu lakini uzalendo umenisukuma kuitetea yanga , ambayo ni kama imelogwa ! Hivi utaachaje kocha mzuri ( Pluijm ) na kuchukua hili garasa ?
Kama kawaida mnyama kamfundisha ndala mpira.pole kama we mwana-yanga.Vp matokeo ya leo
Dua la kuku subiri ufukuze kocha wakoKuweka kumbukumbu sawa mimi sio Yanga ni Simba damu ila nawajua watani zangu hawana vifua vya kupokea mabaya!huyu kocha kesho pakikucha atakijua kilichomnyonyoa kanga manyoya.