Ushauri: Mama kama ni hela tayari unazo, kujiuzulu pekee ndio kutakupa heshima japo kidogo

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Huo ndio ushauri wangu kwako na ukijiuzulu, utaona yafuatayo:

1. Habari ya maandamano haitokuwepo
2. Viongozi wa dini wakiwemo wa kanisa katoliki, wataanza kuwasihi waumimi wao kusamehe
3. Hoja ya maridhiano itaanza kupata nguvu
4. Shiniikizo la kutaka mahakama ya ICC wachukue hatua litapungua
5. Wana'-CCM waliko kimya, wataanza kutoka hadharani na kukupongeza
6. IGP, CDF na DGIS watalazikima kujiuzulu
7. Chuki, maumivu na hasira za wataanza vitashuka japo haviwezi kwisha leo wa kesho
8. Historia yako iliyoingia doa, walau itakuwa na zuri la kusema kuhusu wewe
9. Utakuwa umeokoa Muungano
10. Utwaunganisha tena wabara na wazanzibsri
11. Utanusuru chama chako
12. Watanzania wanaweza kukusamehe

Yangu ni hayo.
 
Acha kumdanganya akijiuzuri huyu anakamatwa asubuhi mapema nakupelekwa the Hague, shinikizo litotoka nje ICC kama shariti ya serikali inao kuja kukubalika kimataifa, yale mauuwaji ni mengi haijawahi kutokea hata nchi zetu jirani Kenya au Uganda pamoja na vurungu zao...
 
Huo ndio ushauri wangu kwako na ukijiuzulu, utaona yafuatayo:
1. Habari ya maandamano haitokuwepo
2. Viongozi wa dini wakiwemo wa kanisa katoliki, wataanza kuwasihi waumimi wao kusamehe
3. Hoja ya maridhiano itaanza kupata nguvu
4. Shiniikizo la kutaka mahakama ya ICC wachukue hatua litapungua
5. Wana'-CCM waliko kimya, wataanza kutoka hadharani na kukupongeza
6. IGP, CDF na DGIS watalazikima kujiuzulu
7. Chuki, maumivu na hasira za wataanza vitashuka japo haviwezi kwisha leo wa kesho
8. Historia yako iliyoingia doa, walau itakuwa na zuri la kusema kuhusu wewe
9. Utakuwa umeokoa Muungano
10. Utwaunganisha tena wabara na wazanzibsri
11. Utanusuru chama chako
12. Watanzania wanaweza kukusamehe

Yangu ni hayo.
Kwa nini unamuita mama?
 
tatizo ni mama au taasisi imefeli mama anajua kuhusu shoot and kill .

tatizo naloliona mama kuna watu wameamua kumtumia
Ajue yeye ndio mwenye dhamana ya mwisho na yeye ndio atawajibiika kwa kila kitu.
 
Huo ndio ushauri wangu kwako na ukijiuzulu, utaona yafuatayo:

1. Habari ya maandamano haitokuwepo
2. Viongozi wa dini wakiwemo wa kanisa katoliki, wataanza kuwasihi waumimi wao kusamehe
3. Hoja ya maridhiano itaanza kupata nguvu
4. Shiniikizo la kutaka mahakama ya ICC wachukue hatua litapungua
5. Wana'-CCM waliko kimya, wataanza kutoka hadharani na kukupongeza
6. IGP, CDF na DGIS watalazikima kujiuzulu
7. Chuki, maumivu na hasira za wataanza vitashuka japo haviwezi kwisha leo wa kesho
8. Historia yako iliyoingia doa, walau itakuwa na zuri la kusema kuhusu wewe
9. Utakuwa umeokoa Muungano
10. Utwaunganisha tena wabara na wazanzibsri
11. Utanusuru chama chako
12. Watanzania wanaweza kukusamehe

Yangu ni hayo.
Huyo muuaji hana hadhi ya kuitwa mama, its better ukamuaddress as mama abdul.
 
Ushauri huu ni kama kumwabia mwizi ushaiba vya kutosha basi usinidhuru.

Mkuu hakuna kitu kibaya kama Madaraka,Hela na Elimu.
 
issue hapo ni kupata katiba mpya na reform uchaguzi is none sense bila hayo mambo
Hata katiba mpya ni nonsense. Kwani katiba ya sasa inaruhusu watu kutekwa na kupotezwa? Katiba ya sasa inaruhusu watu kufuatwa majumbani na kuuliwa?

Katiba haina maana yoyote endapo raisi ataamua kuwa dikteta
 
Back
Top Bottom