Ushauri: Mama kama ni hela tayari unazo, kujiuzulu pekee ndio kutakupa heshima japo kidogo

Fact...

Hatua ya kwanza kuweka hali sawa ni yeye kujiuzulu..
Bt itakua ngumu kuna kundi flani la watu linampa kichwa, linamwambia akaze.. huku likijua linanufaika huku yeye asijue anazidi kujiharibia.
 
Huo ndio ushauri wangu kwako na ukijiuzulu, utaona yafuatayo:

1. Habari ya maandamano haitokuwepo
2. Viongozi wa dini wakiwemo wa kanisa katoliki, wataanza kuwasihi waumimi wao kusamehe
3. Hoja ya maridhiano itaanza kupata nguvu
4. Shiniikizo la kutaka mahakama ya ICC wachukue hatua litapungua
5. Wana'-CCM waliko kimya, wataanza kutoka hadharani na kukupongeza
6. IGP, CDF na DGIS watalazikima kujiuzulu
7. Chuki, maumivu na hasira za wataanza vitashuka japo haviwezi kwisha leo wa kesho
8. Historia yako iliyoingia doa, walau itakuwa na zuri la kusema kuhusu wewe
9. Utakuwa umeokoa Muungano
10. Utwaunganisha tena wabara na wazanzibsri
11. Utanusuru chama chako
12. Watanzania wanaweza kukusamehe

Yangu ni hayo.
Muuaji hana hadhi ya kuitwa Mama. Na huyo ni mama yake Abdul shoga. By the way yeye na wajinga wenzake wajiandae kwenda jera kwa uhalifu alioutenda.
 
Katiba haina maana yoyote endapo raisi kaamua kuwa muuaji.
Haya yote yanayotokea katiba hairuhusu, lakini unafikiri kwa nini wanafanya?
unataka sema huelewi kwamba katiba ya JMT inampatia rais mamlaka ya kimungu hivi hulitambui hili mkuu?
 
Kuna sehemu nyingi kwa katiba hii hii iliyopo raisi hana mamlaka lakini bado anaingilia na anafanya anachotaka.

Ukiachana na raisi, je mkuu wa mkoa nae kapewa hayo mamlaka makubwa kwenye katiba? Unafikiri kwa nini hata wakuu wa mikoa wanavunja katiba hii hii, kipi kitawazuia kuvunja katiba mpya?
 
Acha kumdanganya akijiuzuri huyu anakamatwa asubuhi mapema nakupelekwa the Hague, shinikizo litotoka nje ICC kama shariti ya serikali inao kuja kukubalika kimataifa, yale mauuwaji ni mengi haijawahi kutokea hata nchi zetu jirani Kenya au Uganda pamoja na vurungu zao...
kwan magu alienda nchi gan?
 
Kuna sehemu nyingi kwa katiba hii hii iliyopo raisi hana mamlaka lakini bado anaingilia na anafanya anachotaka.

Ukiachana na raisi, je mkuu wa mkoa nae kapewa hayo mamlaka makubwa kwenye katiba? Unafikiri kwa nini hata wakuu wa mikoa wanavunja katiba hii hii, kipi kitawazuia kuvunja katiba mpya?
 
Huo ndio ushauri wangu kwako na ukijiuzulu, utaona yafuatayo:

1. Habari ya maandamano haitokuwepo
2. Viongozi wa dini wakiwemo wa kanisa katoliki, wataanza kuwasihi waumimi wao kusamehe
3. Hoja ya maridhiano itaanza kupata nguvu
4. Shiniikizo la kutaka mahakama ya ICC wachukue hatua litapungua
5. Wana'-CCM waliko kimya, wataanza kutoka hadharani na kukupongeza
6. IGP, CDF na DGIS watalazikima kujiuzulu
7. Chuki, maumivu na hasira za wataanza vitashuka japo haviwezi kwisha leo wa kesho
8. Historia yako iliyoingia doa, walau itakuwa na zuri la kusema kuhusu wewe
9. Utakuwa umeokoa Muungano
10. Utwaunganisha tena wabara na wazanzibsri
11. Utanusuru chama chako
12. Watanzania wanaweza kukusamehe

Yangu ni hayo.
Bado sana hebu wasikie vijana wake hapa
downloadfile-3.jpg
 
Hakuna kujiuzuru, aendelee kama JPM!

Alafu mimi ndio yule mtu namuomba Mungu siku yangu ikifika, nikija kwake nitaomba nionyeshe walipo hakina:
1. Hitler
2. Idd Amin
3. Magufuli

Namuongeza na
4. Samia
 
Rais mstaafu anakunja 80% ya mshahara wa rais aliyepo madarakani 🙌

Naamini, rais wa tz anakunja mshahara sio chini ya 80M kwa mwezi

Imagine umeua, umetia watu vilema vya maisha na bado unauacha urais na bado unalipwa kwa uuaji huo 🔥

Hapana aisee, kuna mtu anatakiwa kuuawa hapa
 
Back
Top Bottom