Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Acha kumdanganya akijiuzuri huyu anakamatwa asubuhi mapema nakupelekwa the Hague, shinikizo litotoka nje ICC kama shariti ya serikali inao kuja kukubalika kimataifa, yale mauuwaji ni mengi haijawahi kutokea hata nchi zetu jirani Kenya au Uganda pamoja na vurungu zao...Huo ndio ushauri wangu kwako na ukijiuzulu, utaona yafuatayo:
1. Habari ya maandamano haitokuwepo
2. Viongozi wa dini wakiwemo wa kanisa katoliki, wataanza kuwasihi waumimi wao kusamehe
3. Hoja ya maridhiano itaanza kupata nguvu
4. Shiniikizo la kutaka mahakama ya ICC wachukue hatua litapungua
5. Wana'-CCM waliko kimya, wataanza kutoka hadharani na kukupongeza
6. IGP, CDF na DGIS watalazikima kujiuzulu
7. Chuki, maumivu na hasira za wataanza vitashuka japo haviwezi kwisha leo wa kesho
8. Historia yako iliyoingia doa, walau itakuwa na zuri la kusema kuhusu wewe
9. Utakuwa umeokoa Muungano
10. Utwaunganisha tena wabara na wazanzibsri
11. Utanusuru chama chako
12. Watanzania wanaweza kukusamehe
Yangu ni hayo.
Kwa nini unamuita mama?Huo ndio ushauri wangu kwako na ukijiuzulu, utaona yafuatayo:
1. Habari ya maandamano haitokuwepo
2. Viongozi wa dini wakiwemo wa kanisa katoliki, wataanza kuwasihi waumimi wao kusamehe
3. Hoja ya maridhiano itaanza kupata nguvu
4. Shiniikizo la kutaka mahakama ya ICC wachukue hatua litapungua
5. Wana'-CCM waliko kimya, wataanza kutoka hadharani na kukupongeza
6. IGP, CDF na DGIS watalazikima kujiuzulu
7. Chuki, maumivu na hasira za wataanza vitashuka japo haviwezi kwisha leo wa kesho
8. Historia yako iliyoingia doa, walau itakuwa na zuri la kusema kuhusu wewe
9. Utakuwa umeokoa Muungano
10. Utwaunganisha tena wabara na wazanzibsri
11. Utanusuru chama chako
12. Watanzania wanaweza kukusamehe
Yangu ni hayo.
Ajue yeye ndio mwenye dhamana ya mwisho na yeye ndio atawajibiika kwa kila kitu.tatizo ni mama au taasisi imefeli mama anajua kuhusu shoot and kill .
tatizo naloliona mama kuna watu wameamua kumtumia
hapo tubadilishe chama mkuu ila mama hana hatiaAjue yeye ndio mwenye dhamana ya mwisho na yeye ndio atawajibiika kwa kila kitu.
Atakosaje hatia wakati yeye ndio Amiri Jeshi Mkuu?hapo tubadilishe chama mkuu ila mama hana hatia
Atakosaje hatia wakati yeye ndio Amiri Jeshi Mkuu?
issue hapo ni kupata katiba mpya na reform uchaguzi is none sense bila hayo mamboThat is the only way ataponya taifa ni yeye ku step down..uchaguzi kurudiwa mana yule Nchimbi na yeye kaka kuvizia vizia hatumtaki tunataka kuchagua viongozi tunaowahitaji katika hali hii mbaya
Huyo muuaji hana hadhi ya kuitwa mama, its better ukamuaddress as mama abdul.Huo ndio ushauri wangu kwako na ukijiuzulu, utaona yafuatayo:
1. Habari ya maandamano haitokuwepo
2. Viongozi wa dini wakiwemo wa kanisa katoliki, wataanza kuwasihi waumimi wao kusamehe
3. Hoja ya maridhiano itaanza kupata nguvu
4. Shiniikizo la kutaka mahakama ya ICC wachukue hatua litapungua
5. Wana'-CCM waliko kimya, wataanza kutoka hadharani na kukupongeza
6. IGP, CDF na DGIS watalazikima kujiuzulu
7. Chuki, maumivu na hasira za wataanza vitashuka japo haviwezi kwisha leo wa kesho
8. Historia yako iliyoingia doa, walau itakuwa na zuri la kusema kuhusu wewe
9. Utakuwa umeokoa Muungano
10. Utwaunganisha tena wabara na wazanzibsri
11. Utanusuru chama chako
12. Watanzania wanaweza kukusamehe
Yangu ni hayo.
Hata katiba mpya ni nonsense. Kwani katiba ya sasa inaruhusu watu kutekwa na kupotezwa? Katiba ya sasa inaruhusu watu kufuatwa majumbani na kuuliwa?issue hapo ni kupata katiba mpya na reform uchaguzi is none sense bila hayo mambo