johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwa hiyo hapo Dar anakuja kupiga kazi au kula bata?Kula bata kwanza Makala shavu lako liwe dodo. Maana mwendazake alikunyanyasa Sana.
Mwendazake alimpa ukuu wa Mkoa halafu kamnyanuasa kwa vipi.Kula bata kwanza Makala shavu lako liwe dodo. Maana mwendazake alikunyanyasa Sana.
Kweli alipata shda alitenguliwa, kule katavi, akarud kwenye Jimbo akashinda maoni bado mzee baba akamkata Huko dodomyaKula bata kwanza Makala shavu lako liwe dodo. Maana mwendazake alikunyanyasa Sana.
Mwendazake alitaka Makalla amsulubishe Sugu na chadema yake pale Mbeya, lkn Makalla akacheza fairly.Mwendazake alimpa ukuu wa Mkoa halafu kamnyanuasa kwa vipi
Alikuwa mshenzi sana yule muuajiKweli alipata shda alitenguliwa, kule katavi, akarud kwenye Jimbo akashinda maoni bado mzee baba akamkata Huko dodomya
Ok nilikuwa sijui historia yake.... basi mama kafanya vema sanaMwendazake alitaka Makalla amsulubishe Sugu na chadema yake pale Mbeya, lkn Makalla akacheza fairly.
Mwendazake akafura kama kifutu akamhamishia Makalla mkoani Katavi. Lkn kumbe alikuwa bado anamtafutia visa tu.
Wakati wa zoezi la uuzaji wa vitambulisho vya wamachinga, Amos aliuza vitambulisho 6,000 tu. Maana mkoa wa Katavi wamachinga hawazidi buku 5.
Mwendazake akamtupilia mbali Makalla. Makalla akajaribu kugombea ubunge, kashinda kura za maoni lkn bado mwendazake akalikata jina la Makalla.
Mwendazake hakuwa mtu.
Kipindi Cha biashara ya Madiwani Mkoa wa Mbeya ni Kati ya Mikoa iliyopitiwa na ununuzi wa Madiwani..Mwendazake alimpa ukuu wa Mkoa halafu kamnyanuasa kwa vipi
Hiyo mimba ya mwendazake unajifungua lini?
Amos Makalla karibu sana katika mkoa wetu wa Dar es Salaam na ikikupendeza tusaidie pale Magufuli Bus Terminal ujenzi ukamilike kwa eneo la abiria kadhalika sehemu ya kuservice mabasi.
Mengine tutakujulisha ukishafika.
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.
Ya kweli haya?Pedeshe Amos Makala mutu ya pesa mingi