Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makalla

Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makalla

Tupo Msiban tumepoteza Mkuu wa Mkoa wa Kwanza wa Dar es salaam na Pwani Abbas Sykes
 
Afadhali jiji limerudi kwa wenyewe watoto wa mjini, mabon-tauni makalla mtu poa sana.
 
Mwendazake alitaka Makalla amsulubishe Sugu na chadema yake pale Mbeya, lkn Makalla akacheza fairly.

Mwendazake akafura kama kifutu akamhamishia Makalla mkoani Katavi. Lkn kumbe alikuwa bado anamtafutia visa tu.

Wakati wa zoezi la uuzaji wa vitambulisho vya wamachinga, Amos aliuza vitambulisho 6,000 tu. Maana mkoa wa Katavi wamachinga hawazidi buku 5.

Mwendazake akamtupilia mbali Makalla. Makalla akajaribu kugombea ubunge 2020, kashinda kura za maoni lkn bado mwendazake akalikata jina la Makalla.

Mwendazake hakuwa mtu.
That guy was half man half devil.
 
Tukiacha roho mbaya za majitu ya mtandaoni na majungu ya Chadema hakuna wakuu wa mikoa wa Dar ambao wanaweza kuvuja record ya ufanisi na uchapakazi ya Makamba Sir na P .C .Makonda
 
Tukiacha roho mbaya za majitu ya mtandaoni na majungu ya Chadema hakuna wakuu wa mikoa wa Dar ambao wanaweza kuvuja record ya ufanisi na uchapakazi ya Makamba Sir na P .C .Makonda
Hao hawamfikii John Mhaville!
 
Niliwahi kuweka uzi hapa ulioandikwa na Bollen Ngetti huko Facebook. Alimpendekeza Amos Makalla kuwa Katibu Mkuu wa CCM. Alielezea kwa kirefu sifa za Makalla. Naona mama alizisoma na kuamua kumteua kijana huyu wa chama.
 
Habari Wanandugu,

Kwa miaka ya hivi karibuni Mkoa wa Dar es Salaam na baadhi ya mikoa ya kibiashara kama Mwanza, Arusha na Mbeya kumekuwa na ongezeko kubwa sana la ujenzi wa vibanda vya biashara vya wamachinga katika maeneo ya barabara na mitaa.

Kwa jinsi inanyoendelea huko mbeleni tunatengeneza hali ambayo itakuja kuwa ngumu sana kuisimamia.

Nimekuwa nikiangalia kwa umakini hata serikali nahisi inakosa mapato kwa kiasi kikubwa sana kutokana na watu wengi sasa kuhamishia vitu kutoka madukani na kupeleka kwa wachuuzi wanapanga barabarani na kuembeza kwa mkono.

Kipekee nimeona niongelee Dar maani hii hali imekuwa kubwa sana. Ukiangalia mitaa ya Samora, Posta Mpya na Barabara zote kuu hali imekuwa mbaya mpaka hata sura ya jiji haionekani tena.

Watu wamejaa hata huwezi tena kupata nafasi ya kuingia dukani. Nimeona mpaka mitaa iliyo nje ya jiji nayo vibanda vimejaa kote eg Kibada, Goba, Mwange, Tegeta, Mbezi Tangi Bovu.

Kazi kubwa sana kwa ya Mkuu mpya wa Mkoa kusimamia hili.

Sasa hili limekuwa jiji la Vibanda badala ya Viwanda.
 
Niliskia wenye vibanda pembeni ya barabara wamepewa mpaka tarehe 18.5. wawe wameondoka.
 
Niliskia wenye vibanda pembeni ya barabara wamepewa mpaka tarehe 18.5. wawe wameondoka.
Tarehe 18 ni leo na Mkuu wa Mkoa anayeondoka alisema hawataondolewa. Ila kwa hali iliyopo wasipoondolea mitaa ya Dar itakuwa imeharibika kabisa
 
Lazima tupongeze wakati mwingine kwa mazingira ya ushabiki wa sasa mkuu wa mkoa amefanya kazi nzuri sana kwa muda mfupi. Kakomesha wamachinga ambao hawafuati sheria na vilevile kafanya kazi nzuri kukomesha wezi wa mafuta bandarini. Uongozi wake sio wa ushabiki na huu ni mfano mzuri wa viongozi wetu.
 
Back
Top Bottom