Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,351
- 8,088
Tutamvumilia a-fail mara ngapi? Hakuna nafasi ya kujifunza ofisi za umma!
Not deliberate kufeli, unashauriwa hutaki, unakuwa kiburi etcHata marais wote waliopita Marekani kuna vitu walifeli na wengine wamejifunza kutokakwao ndio maana ya kuwepo maisha na ndio maana ya 'dynamism'. Nyerere alifeli nae alikiri, hata Mungu nae alifeli kwa kumuumba Shetani na hapo ndipo maisha yetu yakawa, maisha yanaanza kwa kufeli
safari ya maili elfu moja inaanza na hatua moja.Leo akiwaapisha wakuu wa wilaya wapya amewaagiza wakapambane na omba omba kwenye wilaya zao. Hili linashangaza sana! Hivi ombaomba, madada poa, wabwia shisha na mashoga ndo matatizo ya Jiji la Dar? Au anatafutia umaarufu tu?
Tatizo kubwa kuliko yote hapa Dar ni msongamano wa magari, tatizo sugu la maji, uchafu ambao hata ofisi yake na maeneo yake ni machafu! Hivi huyu aliyeanzisha program ya usafi aka-fail, program ya usalama aka-fail, walimu kusafiri bure aka-fail, machangudoa aka-fail ndo ataweza omba omba?
Si amuulize mzee Makamba aliyempa Matonya nauli akarudi Dodoma akaondoka kwenye ukuu wa mkoa akamuacha. Amuulize mzee wa watu alivotaka kuwaondoa madada poa aliambulia majina gani. Hii inaonyesha jinsi gani wakuu wa mikoa hawana kazi maana anajua wapo wanaofikiria maji, barabara na miundombinu kwa ujumla, afya, elimu, nishati nk.
Chadema watatetea kila aina ya uozo mwaka huu.
Majizi, mafisadi, mashoga, vibaka, wakwepa kodi, wavuta shisha wote mtetezi wao ni chadema!!!
Chadema/ukawa imeingiaje hpo au ndiyo cdm imekukaa.....isijetokea ukagegedewa dem Wko alafu unakja itupia lawama cdm.....
Nkirudi kwenye mada ukweli iko Hapo Hapo huu Mkuu wa mkoa my a Vitu muhimu na vya msingi kufatilia jiji lina changamoto nyingi Kama usafi,miundombinu mibovu ya barabara,ujenzi holela watu kuzibaa vichochoro
Etc
Hii ndio maana ya chama kubadili gia angani.
Ni Mtazamo wangu tu.
Nikimtazama RC Paul Makonda naona nyota yake kiuongozi inazidi Kung'aa na ni imani yangu kama CCM itaendelea kukaa madarakani atazidi kwenda juu kiuongozi maana kuna vitu anafanya yeye baadae inakuwa maamuzi kwa waandamizi wake. Baadhi ya mambo yanayonifanya niwaze ni haya:
1. Ndio mtu wa kwanza kupendekeza hadharani Mh. Samia Suluhu awe makamu wa raisi (Kumbuka bunge la katiba) na kweli imekuwa hivyo
2. Alimpinga Mh. Lowasa hadharani kwamba hawezi kupewa nafasi ya kugombea uraisi ndani ya CCM kweli imekuwa hivyo. ( kumbuka tamko lake akiwa kiongozi wa uvccm)
3. Pamoja na kwamba watu walimtabiria kuondolewa u-dc baada ya JPM kuwa president hali ikawa tofauti, kwani ndiye mtu pekee aliyehakikishiwa kupanda cheo kuwa RC na JPM wakati akiongea na wazee wa dar mapema alipoingia ikulu.
4.Ndio kiongozi aliyejaribu kumaliza mgomo wa madereva wa mabasi ya mkoani mwaka jana tena akiwa kama DC wa kinondoni japo sina hakika na makubaliano yaliyoafikiwa wakati ule kama yameshatekelezwa.
5.Juzi kapiga marufuku matumizi ya shisha Dar muda mfupi baadae waziri mkuu katangaza kuipiga marukufu nchi nzima.
TAKE NOTE:
sijasema msimamo wangu kuhusu uwezo wake kiutendaji au kumkubali kwangu.
ARM[emoji767]2016
Muheshimiwa mtukufu, kijana hodari na mchapakazi Comredi Paul Makonda leo naongea wewe,
Nikiwa kama mkaazi na mzaliwa wa Jiji hili tangu likiitwa Mzizima napenda leo niungane na wewe kupiga vita vitendo vya ushoga na kupambana na element zote za ushoga, lakini nimebaini vita yetu hii imeshaferi kabla hatujainza, maana kila nikiwaangalia watoto zetu huku mtaani wanampenda sana Joti wa Ze Comedy, sasa shida inakuja kwa huyu Joti kuimudu vyema nafasi ya kuigiza kama shangingi la mjini lililokubuhu, sasa huoni hii vita yetu ya kupambana na ushoga tayari inakwamishwa na kina Joti?
Kwakuwa sina muda wa kukuletea hili ofisini lakini nimeona wewe ni active member wa hapa JF na utapita na kusoma uzi huu ili tujuwe tunamdhibiti vipi Joti kwanza ili kuokoa vijana wetu ambao wanamkubali sana?
Karibuni wadau tutafute ufumbuzi wa swala hili kwanza kwa maoni ni nini kifanyike?
Kwani wauza Shisha atawalipa nani?Mmmmmmh Akili zingine Bhana. utawalipa Wewe Hao The Comedy
Huko ni utawala mwingine, mimi na Makonda tupo na Bandari salama yetu!Hujafikiria kama hao watoto wanaweza kuhamia Kibaha...........