Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Ubabe ni huu watu watii sheria za nchi nyingine tulizojitungia wenyewe. Angalia amri iliyopo pale Makongo jeshini Tegeta road bustani unavyopendeza au TCRA na kidogo kukaribia Mlimani Vitu. Watu wapite kwenye pundamilia kwa sheria za barabarani.
 
Duniani umetembelea wapi? uandishi wako unaonyesha kabisa wewe ni mtu wa Kimanzichana!
 
mtu yeyote anayemsifia bashite namuona kama hana marinda
 
Habari wakuu kwa wote tunaotambua kazi na juhudi za mkuu wa mkoa mh PAULO CHRISTIAN MAKONDA uzi huu ninaoupa jina la Mh Makonda your not alone ni maaulumu kuelezea project zote za mh makonda na kumuunga mkono ili kumtia moyo kuwa hayupo pekeyake wanadar tupo nyuma yake
 
Unamfahamu Profesa Jumanne Maghembe? Yuko wapi sasa? Alijifanya mamba kwenye msafara kumbe mamba wenyewe walikuwa wanajua ni kenge.......hajafika mwisho wa safari! Sasa wewe Msuya jifanye kimbelembele...mwenzio walau alikuwa na degree 3; wewe una shule ya kuunga unga. Ni hayo tu kwa leo
 
Acheni upumbavu huu mwaka mwingine.. Upo nyuma yake unafanya nini?
 
Hili tunawaachieni WAJINGA wenzie!
 
wewe na huyo boya nyote w.a.senge tu
 
Nikumbusheni,hivi huyu mwanzo alikuwa anatumia jina gani vile?
 
Huwez toa ushauri mwingine wakati ushauri wa awali wa kupresent certificates bado. Let him start with that first!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…