Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Kama anavyofahamika kwa cheo cha ukuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Leo January 31 katika ofisi zake pale Ilala kuna umati mkubwa wa watu ambao wanaitafuta haki walioshindwa kuipata katika Muhimili wa "Mahakama "

Paul Makonda ameamua kwa uthubutu na ujasiri kuwapanga mawakili wa ofisi yake na walio Katika eneo Lake kusikiliza kero za wananchi ,Kuna umati mkubwa wa watu hapo ilala na wengine namba hawajapata

Katika Mahojiano yangu na Mama mmoja aliyefika hapo saa kumi na mbili asubuhi hii amenithibitishia kuwa sehemu zote mpaka kwa Waziri alipotaka msaada wa kusikilizwa alijibiwa just Simple kesi yako ipo mahakamani bila hata kumuhoji tatizo Lake.
Paul makonda ana mapungufu yake lakini kiutendaji amewazidi viongozi wengi waandamizi wa Serikali.

Wengi wamesoma na tumesoma lakini tulisoma kujikomboa na matumbo yetu hivyo vyeti imebaki kama makaratasi yanayoonyesha level zetu za kujaza vitabu tusivyotumia

Kwa hili namuunga mkono makonda hata kama watajitokeza wanaosema anaingilia mahakama
 
Ni swai la kizushi, lakini kwa spidi ya huyu kiongozi kijana wengine tunajiuliza, Makonda na uwaziri Mkuu nini maoni yako!
Hapa Dar, he is cutting across.
Kama ni matatizo ya elimu, hasubiri mafaili
Kama ni afya anae dapale kwenye tatizo
Kama ni matatizo ya migogoro ardhi watu Dar kudhulumiwa, anasaidia kuwasaidia wanyonge.

Wakati mwingine ukifuatia mambo ya kikazi kwa kutayarishiwa na watendaji serikalini, viongozi wanadanganywa sana.

Vipi huyo kiongozi kijana, anafaa Uwaziri Mkuu?
 
Wacha Bashite hata dokta Shija anafaa au Nabii Tito itapendeza sana
 
Ni swai la kizushi, lakini kwa spidi ya huyu kiongozi kijana wengine tunajiuliza, Makonda na uwaziri Mkuu nini maoni yako!
Hapa Dar, he is cutting across.
Kama ni matatizo ya elimu, hasubiri mafaili
Kama ni afya anae dapale kwenye tatizo
Kama ni matatizo ya migogoro ardhi watu Dar kudhulumiwa, anasaidia kuwasaidia wanyonge.

Wakati mwingine ukifuatia mambo ya kikazi kwa kutayarishiwa na watendaji serikalini, viongozi wanadanganywa sana.

Vipi huyo kiongozi kijana, anafaa Uwaziri Mkuu?
Usione mambo ya kwenye TV au magazeti tu fuatilia kwa undani upate ukweli haya ni mambo ya kisheria sio kukurupuka na kutafuta kiki kwenye ma TV
 
Anafaaa hadi basi huwezi kumlinganisha na mpuuzi sumaye
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe! Kwa habari ya uchapa kazi na ubunifu ni mtu wa kutoka sayari nyingine kabisa!!
Sioni MKUU wa mkoa mwingine, awe aliyepita au aliyepo sasa anayeweza kulinganishwa na Makonda kwa uchapa kazi, ubunifu na uhodari wenye tija! Hakuna MKUU wa mkoa anayeweza hata kuthubutu tu kuiga Yale afanyayo makonda!! Baadhi ya mambo aliyoyafanya yenye tija ni kukarabati magari ya polisi, kujenga ofisi za waalimu, kuhamasisha uchangiaji wa madawati uliomaliza kabisa tatizo sugu LA upungufu wa madawati, na sasa amejikita kwenye kero sugu ya matatizo ya ardhi/ viwanja.
Kama binadamu yeyote mwingine ana mapungufu yake. Lakini tutampata wapi binadamu asiye na mapungufu? Binafsi nimefika mahali nimeridhika kabisa kuwa Makonda ni moja ya zawadi bora kabisa toka kwa Mungu kwa ajili ya watu wa mkoa wa Dar.
Ombi langu kwa mamlaka inayohusika ni kuandaa mazingira ili zawadi hii iwanufaishe watanzania wote na isiishie Dar tu!!!! Miguu ya Makonda ni mikubwa sana hivyo viatu vya U-RC wa Dar hakika vinambana! Apewe viatu vikubwa saizi ya kitaifa itakayoendana na ukubwa wa miguu yake na kasi yake ya utumishi wenye tija.
Kuna wizara moja kubwa sana na viatu vyake vimekuwa vikiwapwaya karibuni wote waliopewa fursa ya kuvivaa! Hiyo si wizara nyingine Bali ya TAMISEMI!!! Aandaliwe kwa nafasi hiyo come 2020! Hongera mheshimiwa Makonda! Umetufunga vinywa na kutushawishi kwa utumishi uliotukuka toka sayari nyingine! Mungu akupe maisha marefu!!! Come 2025 kwa viatu vile vikubwa kabisa!!!!!
 
Tuma salamu kwa wana Lumumba watatu
 
hakika makonda ni rc bora TZ pia man of the last year.kaonesha ukakamavu wa uongozi kwa kuzishinda kashfa nzito nzito.he deserve the award!!
 
Back
Top Bottom