mdaumzalendo1
Member
- Feb 2, 2018
- 76
- 50
Habar wana jamvi;
Nianze kwa salamu yenye heshima kwa wote.
Pili nitoe pongezi za dhati kwa Daudi Albert Bashite na wakazi wote wa jiji kubwa na chafu kuliko yote Tanzania.Jiji lenye kiwango kikubwa kabisa cha ukosefu wa ajira.Jiji linaloongoza kwa kuwa na madada poa na machangudoa na watu kama hao.Jiji linaloongoza kwa vibaka na wadokozi,Jiji linaloongoza kwa miundo mbinu mibovu na huduma mbovu za kijamii,Jiji linaloongoza kwa idadi kubwa ya wauzaji na watumiaji wa madawa ya kulevya.Jiji la Da es Salaam.
Niipongeze Jamhuri kwa uamuzi wake wa kuhamia Dodoma ili angalau ndugu zetu wagogo nao wapate nafuu na kufunguka kidogo.Ushauri wangu kwa wagogo,kuweni makini msije kuhamisha hapo dodoma na kufukuziwa mbali na wajanja.Msikubali,kusanyeni vijisent mjijenge hapo mjini.
Sasa nirudi kwenye mada ya msingi,unaohusu mkakati mpana wa Daudi Albert Bashite.
Watu kama DAB wameshatokea wengi sana katika historia ya siasa za ulimwengu.Walijipambanua kama watetezi wa wanyonge,wapenda haki na watenda haki huko nyuma ya pazia kukiwa na kila aina ya uchafu na uonevu uliotukuka.Ni aina ya watu ambao kiasili ni wenye roho mbaya na choyo kikubwa sana ambao kila walilolifanya likuwa na maslahi yao binafsi.
Kwa historia na wahihi wa Bashite,sitakosea nikisema kuwa hizi akadabrakadabra zake zina mambo mengi kwa nyuma ya pazia na kwa kuwa wenye mamlaka wameamua kumpa wigo mpana wa kufanya hayo sidhani kama wataweza kujitetea pale ambapo uhalisia wa mambo utakapokuwa wazi.
Kwanza kabisa DAB ni mangi meza anayependa kuabudiwa na kusifiwa na kujionesha kwamba yeye ndio anayejua kila jambo na hilo linaonekana katika mambo anayoanza kuyafuatilia kuishi kwa namna inayoacha sintofahamu kubwa sana.
Pili DAB ni mnyonyaji na mtu ambaye anaonekana kabisa kuwa mwepesi wa kuwanyonya na kuwadhulumu watu hasa wale ambao anaona wanamzidi ili tu awaonyeshe kuwa na yeye wamo
Tatu DAB ana auwezo mdogo wa kufukii na kushughulikia mambo ya msingi.Anaonekana kuwa ni mtu mwenye dharau,mshirikina,na muongo anayependa kujionyesha kuwa ni mwema kumbe si mwema
Katika hali kama hiyo watu hawawezi kabisa kutegemea aina hii ya viongozi kutuletea mabadiliko yoyote kama wasipojirekebisha
Kila mtu ana madhaifu ila madhaifu ya DAB inabidi tuyaweke wazi.
Nakaribisha wale wenye hoja za kuunga mkono tu mjadala huu wala wenye hoja za kupinga tafadhali anzisheni nyuzi zenu hapa tunataka watu ambao wanaunga mkono hoja tu.
Ni mimi
Mdau Mzalendo