Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Ndo maana nikasema huyu jamaa ashitakiwe kwa kuleta fujo mkutanoni, ila nasubiri siku ya mrejesho wa akina mama waliotelekezwa, patakuwa kama mkutano wa TB Joshua full kudondoka.
 
Ndo maana nikasema huyu jamaa ashitakiwe kwa kuleta fujo mkutanoni, ila nasubiri siku ya mrejesho wa akina mama waliotelekezwa, patakuwa kama mkutano wa TB Joshua full kudondoka.
Awamu ya kushitaki kila mtu kwa kila sababu!
 
Mwanahabari Huru

Namkumbusha tu Mh. Makonda kuwa sio Nondo tu aliye uchafua Mkoa wa DSM, wapo wengi akiwemo Ben Saanane alipota ndani ya mkoa wake, Roma Mkatoliki alitekewa ndani ya mkoa wa DSM, Mwanahabari Azory naye alitekwa ndani ya mkoa wake, Akwelina aliuawa ndani ya mkoa wake, Kiongozi wa CHADEMA wa Hasinif aliuawa ndani ya mkoa wake.

Huenda mkuu huyu wa mkoa hana kumbukumbu na Matukio ya Coco beach na matukio mengine kuwa yalitokea ndani ya mkoa wake.

Ni vyema viongozi wetu kabla hawajaropoka wafanye research za kutosha za matukio ya nyuma ambayo yaliwahi kutokea ndani ya sehemu au maeneo wanayo yaongoza.

Rai yangu kwa Mkuu wa Mkoa wa DSM nimuombe atoe tamko la watu waliopotea kama Ben Saanane, Azory na wengine pia wakipatikana nao pia waletwe kwenye mkoa wake kwa kuwa nao wameuchafua mkoa wake.
 
Sasa unaongelea watu amepotea na kuuwawa na hapohapo polisi bado wapo kwenye uchunguzi,sasa unataka atoe tamko gani?
 
kuna tetesi meya Jacob anatuma sana pesa Marekani kwenda kwa Mange Kimambi sijui wanafanya biashara gani
 
unatoa wapi muda wakum discus mtu Mwenye vyeti fake mkuu..""

yaani mtu ana vyeti fake halafu bado unataka awe na Mawazo yenye tija kwa taifa ... hayo anayoyatenda yupo sahihi kabisaaa na anapaswa kupongezwa ..kwakuwa uwezo wake wa kufikiri na uwezo wa kiwango chake cha elimu ndio unaomsukuma kuweza kuwakilisha hayo anayo yatenda ...kukaa nakuamini kuwa MUNGU wa daresalam anaweza kufnya jambo lenye tija zaidi kwa hili taifa nikuzitishwa akili zetu mzigo mkubwa wakufikiri ambao hatuku paswa kuubeba
 
Back
Top Bottom