Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda ambaye pia ni mlezi wa WCB, amemwagia sifa msanii wa muziki Diamond Platnumz kutokana na tukio la kuzindua albamu yake ya ‘A Boy From Tandale’.

Kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram RC Makonda ameeleza kufurahishwa na jambo hilo hivyo na kumshauri kijana huyo kuendelea kufanya kazi zake na kuacha maneno.

“Siko pekeyangu ninaejivunia kazi yako kama ambavyo haukopekeyako unaejivunia kazi yangu. Endelea kutunga nyimbo nzuri maneno tuachie wana siasa,” ameandika RC Makonda.

Siku ya jana msanii wa muziki Diamond ametengeneza historia kwa kwa kuzindua rasmi albamu yake ya ‘A Boy From Tandale’ yenye nyimbo takribani 20.

Nadhani hao "wanasiasa" waliosemwa wanajijua.

Screenshot_2018-03-15-11-18-19-1.jpg
Screenshot_2018-03-15-11-17-47-1.jpg
 
Unajuwa tungeweza kuifanya Tandale kama kivutio cha watalii kama wenzetu wa nchi za nje wanavyo tunza sehemu walizo zaliwa au kukulia watu maarufu. haijalishi kama ni uswahilini au la.
 
Unajuwa tungeweza kuifanya Tandale kama kivutio cha watalii kama wenzetu wa nchi za nje wanavyo tunza sehemu walizo zaliwa au kukulia watu maarufu. haijalishi kama ni uswahilini au la.

Mkuu Tandale watalii watakabwa saa sita mchana mbele ya kadamnasi kule, hakufai. Tembelea uone mkuu, mateja wanatinga mbele ya kituo cha Polisi 24/7
 
Mkuu Tandale watalii watakabwa saa sita mchana mbele ya kadamnasi kule, hakufai. Tembelea uone mkuu, mateja wanatinga mbele ya kituo cha Polisi 24/7
Naelewa unavyo sema mkuu, lakini watu wakianza kupata kipato kutokana na hao watalii wataachana na uhalifu. Maeneo kama Brooklyn New York au Soweto SA yalikuwa ya ovyo lakini hali ya usalama inaimarika mwaka hadi mwaka. Uhalifu unaongezeka pale kazi zinapokosekana. Diamond angekuwa hana hela na yeye angekuwa anajidunga sindano Tandale, lakini hali sio hivyo sana ana pesa.
 
Habari wanajamvi,

Tujikumbushe;

Leo ni miaka miwili tangu Mh. Makonda ateuliwe kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Napenda kuchukua nafasi hii kumpongeza kwa dhati kwa kazi nzuri anazoendelea kuzifanya kwa kusukuma mbele gurudumu la maendeleo ya jiji la Dar es Salaam.

Amefanya mambo mengi mazuri, yanayoonekana kwa macho na kufurahiwa na wananchi, namuombea kwa Mungu aendelee kumpa nguvu ili aweze kukamilisha yote yanayopaswa kwa maendeleo ya jiji na mustakabali wa Taifa.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Habari wanajamvi

Tujikumbushe

Leo ni miaka miwili tangu Mh Makonda ateuliwe kuwa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam.

Napenda kuchukua nafasi hii kumpongeza kwa dhati kwa kazi nzuri anazoendelea kuzifanya kwa kusukuma mbele gurudumu la maendeleo ya jiji la Dar es Salaam.

Amefanya mambo mengi mazuri,yanayoonekana kwa macho na kufurahiwa na wananchi,namuombea kwa Mungu aendelee kumpa nguvu ili aweze kukamilisha yote yanayopaswa kwa maendeleo ya jiji na mustakabali wa Taifa.

Mungu ibariki Tanzania.
Mkuu ungejaribu kutaja hayo mazuri.
 
Mkuu ungejaribu kutaja hayo mazuri.
Atakwambia: mafanikio katika vita dhidi ya mihadarati.
mafanikio katika vita dhidi ya upinzani wa kisiasa nchini.
mafanikio katika vita dhidi ya matumizi ya shisha.
mafanikio katika vita dhidi ya ukahaba na ushoga nchini.

Utaona orodha ndefu yenye nyimbo za sifa za kumtukuza wa magogoni.
 
Iv mihadarati alifaulu au alifeli? Mim nashindwa kuelewa.
 
Ajisafishe kuhusu tuhuma za kutumia cheti cha mtu kujipatia nafasi ya elimu chuoni hali iliyopelekea kubadili hadi majina yake. He has to come clean yeye ni public figure asikwepe hilo
 
Unajuwa tungeweza kuifanya Tandale kama kivutio cha watalii kama wenzetu wa nchi za nje wanavyo tunza sehemu walizo zaliwa au kukulia watu maarufu. haijalishi kama ni uswahilini au la.
Diamond hawezi sasa.
[emoji1] [emoji23] [emoji119] [emoji119]
 
Back
Top Bottom