Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

We mkemwema wa Bashite hembu tuambie katika hayo yote aliyoyafanya ni mangapi yamefanikiwa, je madawa yameisha? Je Walimu wanaendelea kupanda daladala bure? Je machangudoa wameisha? .....
Kabla ya mimi kukuambia, hebu niambie wewe ni lipi hajafanikiwa... Hilo la machangudoa usiniwekee maneno mdomoni na ninaimani akiamua kulisimamia haraka sana linapotea
 
Naona mmejipanga kweli kumsafisha, mi naona cha msingi aweke mezani vyeti then tutaendelea na porojo nyingine
 
Naona mmejipanga kweli kumsafisha, mi naona cha msingi aweke mezani vyeti then tutaendelea na porojo nyingine
Weka kwanza vyako... Unataka vyeti kwani kuna kazi kaomba na kaambiwa apeleke vyeti
 
Kama bashite alishindwa kuthibitisha elimu yake na kutoa maelezo yake tuambie wewe Daud Albert Bashite ni nani?
 
Mmeanza tena na habari za makonda?

Kama mnaamini anachapa kazi, basi acheni watu waone wenyewe. Sio kila siku makonda, makonda
 
Kama bashite alishindwa kuthibitisha elimu yake na kutoa maelezo yake tuambie wewe Daud Albert Bashite ni nani?
Yaanu unataka uambiwe tena badala ya wewe unaye tuhumu kutoa uthibitisho wa huyo unayemsema. Anaetuhumu anatakiwa kuthibitisha pasipo kuacha shaka na sio mtuhumiwa athibitishe tuhuma zake
 
Back
Top Bottom