pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,034
- 15,246
Mnajulikana kwa hilo nyie Lumumba, kila mkifanyacho huwa mnatumwa kwa hela ya kilo 3 za sukari.Acha mawazo mfu mkuu kuwa kila anayemsifia kiongozi ka kufanya vizuri eti analipwa, wewe kama mbowe anakulipa kwa kumsifia basi ni juu yako