Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Hilo tamko alilotoa Polisi walikuwa wamemwachia Nondo?

Elewa swali bwana,mtoa post anataka makonda atoe tamko kuhusu kupotea kwa bensaanane and alike.sasa tamko la nini wakati polisi wapo kazini wanafanya uchunguzi.
 
Sasa unaongelea watu amepotea na kuuwawa na hapohapo polisi bado wapo kwenye uchunguzi,sasa unataka atoe tamko gani?
Kwani kwenye case ya Nondo c pia aliropoka wakati police kule wanaendelea na uchunguzi au?
 
Kuvamia kituo Cha Clouds FM kwa mtutu wa bunduki si kuuchafua mkoa wa Dar es Salaam.
 
Mimi nashauri Bashite amkamate mke wa Azory anauchafua mkoa wake kwa kutangaza kuwa mumewe katekwa na hajaonekana mpaka sasa kwa miezi kadhaa
 
Mwanahabari Huru

Namkumbusha tu Mh. Makonda kuwa sio Nondo tu aliye uchafua Mkoa wa DSM, wapo wengi akiwemo Ben Saanane alipota ndani ya mkoa wake, Roma Mkatoliki alitekewa ndani ya mkoa wa DSM, Mwanahabari Azory naye alitekwa ndani ya mkoa wake, Akwelina aliuawa ndani ya mkoa wake, Kiongozi wa CHADEMA wa Hasinif aliuawa ndani ya mkoa wake.

Huenda mkuu huyu wa mkoa hana kumbukumbu na Matukio ya Coco beach na matukio mengine kuwa yalitokea ndani ya mkoa wake.

Ni vyema viongozi wetu kabla hawajaropoka wafanye research za kutosha za matukio ya nyuma ambayo yaliwahi kutokea ndani ya sehemu au maeneo wanayo yaongoza.

Rai yangu kwa Mkuu wa Mkoa wa DSM nimuombe atoe tamko la watu waliopotea kama Ben Saanane, Azory na wengine pia wakipatikana nao pia waletwe kwenye mkoa wake kwa kuwa nao wameuchafua mkoa wake.
Nadhani pengine tatizo liko kwake, yeye ndo mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya mkoa huo. Na ni Rc pekee aliyewahi kuvamia kituo cha tv usiku wa manane akiwa na kikundi cha askari wasiojulikana hata leo kuwa wametoka kikosi gani. Asituhadae Watanzania atuambie kwanini mkoa wake una kikundi cha watu wasiojulikana? Na kwanini anakilea hicho kikundi yeye kama mwenyekiti wa wa kamati ya ulinzi na usalama mkoa? Ikiwa ameshindwa kazi si aachie hiyo nafasi? Kwani ni lazima yeye awe rc. Lakini pia hatutashangaa mamlaka yake ya uteuzi isichukue hatua kama ilivyonyamzia suala la vyeti vyake na pengine ndo maana hata utendaji wake ni wa mabavu maana uwezo wake, hapo alipo si mahali pake. Mkoa wa Dar es salaam chini ya Makonda unalitia doa taifa letu. Angekuwa na hekima angeachia hiyo nafasi mwenyewe siyo kuumiza watu wanaomlipa mshahara.
 
Mwanahabari Huru

Namkumbusha tu Mh. Makonda kuwa sio Nondo tu aliye uchafua Mkoa wa DSM, wapo wengi akiwemo Ben Saanane alipota ndani ya mkoa wake, Roma Mkatoliki alitekewa ndani ya mkoa wa DSM, Mwanahabari Azory naye alitekwa ndani ya mkoa wake, Akwelina aliuawa ndani ya mkoa wake, Kiongozi wa CHADEMA wa Hasinif aliuawa ndani ya mkoa wake.

Huenda mkuu huyu wa mkoa hana kumbukumbu na Matukio ya Coco beach na matukio mengine kuwa yalitokea ndani ya mkoa wake.

Ni vyema viongozi wetu kabla hawajaropoka wafanye research za kutosha za matukio ya nyuma ambayo yaliwahi kutokea ndani ya sehemu au maeneo wanayo yaongoza.

Rai yangu kwa Mkuu wa Mkoa wa DSM nimuombe atoe tamko la watu waliopotea kama Ben Saanane, Azory na wengine pia wakipatikana nao pia waletwe kwenye mkoa wake kwa kuwa nao wameuchafua mkoa wake.
hata ule uchafu wa kuvamia kihalifu kituo cha klauzi ulitokea si tu mkoani kwake bali ulifanywa na ofisi yake.

aisee nina hamu hii awamu ya 5 iishe upesi tuje tushikishe watu adabu nyambaf!!
 
Mbona makonda kachafua nchi nzima kwa jina feki na hatujamuhita kumuhoji, bure kabisa
 
Ikiwa huyu kadakwa mapema alitaka kujificha kisha asafirishwe ili ionekane katekwa, kwanini tusiamini kwamba huu ni mtindo unaotumiwa na chama chenu kama alivyosema mh, Kubenea kwamba Ben saa8 kajificha apate ujiko?
 
Mwanahabari Huru

Namkumbusha tu Mh. Makonda kuwa sio Nondo tu aliye uchafua Mkoa wa DSM, wapo wengi akiwemo Ben Saanane alipota ndani ya mkoa wake, Roma Mkatoliki alitekewa ndani ya mkoa wa DSM, Mwanahabari Azory naye alitekwa ndani ya mkoa wake, Akwelina aliuawa ndani ya mkoa wake, Kiongozi wa CHADEMA wa Hasinif aliuawa ndani ya mkoa wake.

Huenda mkuu huyu wa mkoa hana kumbukumbu na Matukio ya Coco beach na matukio mengine kuwa yalitokea ndani ya mkoa wake.

Ni vyema viongozi wetu kabla hawajaropoka wafanye research za kutosha za matukio ya nyuma ambayo yaliwahi kutokea ndani ya sehemu au maeneo wanayo yaongoza.

Rai yangu kwa Mkuu wa Mkoa wa DSM nimuombe atoe tamko la watu waliopotea kama Ben Saanane, Azory na wengine pia wakipatikana nao pia waletwe kwenye mkoa wake kwa kuwa nao wameuchafua mkoa wake.
Eti mkoa Wangu, stupid Makonda, aliutoa wapi huo mkoa?
 
Makonda hana uwezo wa kuwaza kwa mapana ni mkurupukaji nadhani iyo inatokana na elimu aliyonayo ni bonge la mbumbumbu!
 
Back
Top Bottom