Ushauri, maoni na mbinu za biashara ya ufundi simu na Computer

Hapo ndia hapo penye shida mafundi sio waaaminifu na waongo, mimi ofisini kwangu nilishakataa hili, simu au laptop ina masaa 24 tu, ikizid hapo mteja anarudishiwa na sina pesa ya kutanguliza maana najua italeta matatizo
ANATAKIWA AKUPE PESA YAKO NA SIMU IKIWA KAMA ULIVYO PELEKA
 
Thanks mkuu, naomba nisaidie the main problems za kompyuta ili nipate namna nzuri za kujifunza repairing yake na iwe rahisi kuzitafutia YouTube.
M
Thanks mkuu, naomba nisaidie the main problems za kompyuta ili nipate namna nzuri za kujifunza repairing yake na iwe rahisi kuzitafutia YouTube.
Mkuu anza na hardware, jifunze kusoma schematics naona hilo ndio muhimu ukijua motherboard repair mji wako, matatizo mengine kama virus removal, hardware installation na software issues ni simple, anza na hilo na kujua component za motherboard na kusoma schematic diagram
 
kujifunza schematics bila practical mkuu, inakuwaje?
 
kujifunza schematics bila practical mkuu, inakuwaje?
Unatakiwa utafute motherboard hata mbovu ya kuangalia wakati babu sorin anafundisha kwenye video, schematic pia unaweza kuisoma bila practical then ukisha master theories ukajua Power Rails Zote Na Output Zake, Conditions ya kuwaka na switching power supply bac nikikupa motherboard unajua wap pa kuanzia, maana 50 percent ya pc zinapiga short same kama sio MAIN VCC 19V, Bas 3V, 1,5 au 5V Power Rail,
So Ukishajua Exactly Rail Ukishika pc unajua njia ipi inakosa moto na ina deal na parts gani, Je ni RAM, PROCESSOR, LCD BACKLIGHT AU GPU
 
Duh itabidi nimuwashie moto elfu 20 parefu
 
Hivi mkuu nikiamua kujifunza ufundi simu only itanichukua muda gani....hapa nilipo sina idea na hiyo kitu but im interested to learn!
 
Great sana chief, haya mambo yanahitaji kujifunza sana na technology inakua, nadhani mtu ukiwa competent lazima ikulipe sana. Wacha nijifunze hivi vitu vizuri mpaka niive, usichoke maswali mkuu
 
Hivi mkuu nikiamua kujifunza ufundi simu only itanichukua muda gani....hapa nilipo sina idea na hiyo kitu but im interested to learn!
H
Hivi mkuu nikiamua kujifunza ufundi simu only itanichukua muda gani....hapa nilipo sina idea na hiyo kitu but im interested to learn!
Haiwezi kukuchukua muda boss, ila hardware ya simu inataka practice sana maana simu nying hazina schematic diagram ila software ni muda mchache hata miezi 2 mingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…