Ushauri, maoni na mbinu za biashara ya ufundi simu na Computer

Great sana chief, haya mambo yanahitaji kujifunza sana na technology inakua, nadhani mtu ukiwa competent lazima ikulipe sana. Wacha nijifunze hivi vitu vizuri mpaka niive, usichoke maswali mkuu
Karibu sana boss, repair industry inalipa, leta maswali tutakuwa tunajibiana taratibu, wote tunajifunza na hatutakiwi kuchoka
 
LINK GOOGLE DRIVE YA KU DOWNLOAD BUNDLE YA SOFTWARE CRACKED VERSION ZA KU UNLOCK ZA KUFLASH SIMU NIMEIONGEZA HAPO JUU UNAWEZA KU DOWNLOAD NA KUANZA KUJIFUA
Shukrani kiongozi.

Maduka gani pale kariakoo naweza kupata tools org za kuanzia kazi mkuu. Pia vifaa vya simu Kama screen tourch, protector,battery, USB org, nk

Pia naomba link za watalaam wazuri wa mobile repair YouTube.

Shukrani
 
Shukrani kiongozi.

Maduka gani pale kariakoo naweza kupata tools org za kuanzia kazi mkuu. Pia vifaa vya simu Kama screen tourch, protector,battery, USB org, nk

Pia naomba link za watalaam wazuri wa mobile repair YouTube.

Shukrani
Nenda Mtaa Wa Aggrey Ndani Sio Nje.
Utapata Vifaa Vyote Sitaki Kukupa Namba Za Watu Maana Hawaaminik
 

Msaada mkuu, niko na simu hapa ni huawei tag l21, ni software gani nzuri ya kuitoa frp nje ya sp flash tool, maana nimejaribu qualcomm naona nikiirun inakuja na ile error ya mfc100.dll japo nshainstall zile updates za ms visual c++ lakini bado qualcom haiendi msaada tafadhali wakuu.
 
Mkuu hongera.ukitunza uaminifu katika kazi na customer care nzuri.Watuwatakuona mchawi vile unakusanya wateja.Keep up the good work.
Mafund weng wanakosa uaminifu na wengine wanabahatisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…