Ushauri, maoni na mbinu za biashara ya ufundi simu na Computer

Ngoja nianze kujifunza ufundi simu kupitia simu yangu.

Nina tecno spark 2 ina shida ya kamera. Nikifungua camera inaandika "cant connect to camera. Please close other applications which may use camera or flashlight"

Nimejaribu kufix tatizo hili hadi nikaaingia google lakini sijaona suluhisho. Nisaidieni
 
Uzi murua sana mkuu, nikushukuru sana kwa kuuleta hapa mimi nilijifunza hardware kwa kipindi flani ila sasa nataka nianze kufanya pia software,
Je? Ninunue pc yenye specifications gani at least ya kuanzia?
Maana nipo mbioni kununua laptop kwaajili ya kazi hiyo kabla huu mwezi haujaisha,
Pia iyo pc itanisaidia kujiimarisha zaidi kwenye hardware kupitia YouTube.
 
Tafuta CM2 Crack Zake Zipo Nyingi, Na Pia Drivers Za Qualcom Zimetofautiana! Jaribu Ku Install Nyingine, Final USIJE UKAIFLASH NA BOOTLOADER Utalia, Just Download Only Kwa SP, Usiweke Format All + Download
 
Inawezekana Ni Tatizo La Drivers Za Camera Au OS yenyewe
Jaribu Hivi
1. FACTORY RESET
2. BADILI CAMERA
3. FLASH NA FACTORY ROM (SIGNED)
 
Mkuu hongera.ukitunza uaminifu katika kazi na customer care nzuri.Watuwatakuona mchawi vile unakusanya wateja.Keep up the good work.
Mafund weng wanakosa uaminifu na wengine wanabahatisha sana
Karibu sana Boss, Uaminifu Ndio Nguzo Ya Hizi Kazi
 
ngoja na mimi nijisubscribe.
hii elimu yoteninayo na ninauzoefu na vifaa vyote, na ukiniambia kusoma hata siku tatu bila kula ndio ugonjwa wangu lkn sina pesa na elimu hainiingizii kitu aisee.

sikubali mkuu narudi kundini.

asante kwa maarifa mkuu
Aaaaaah Aaaaaah Karibu Boss
 
Kweny Repair Huitaji PC Kali Just Iwe Na HDD ya Kutosha Kuhifadh Programs
Na Pia Iwe Na Uwezo Wa Kukaa Na Charge, Processor Na RAM Sio Muhimu Sana
 
Kweny Repair Huitaji PC Kali Just Iwe Na HDD ya Kutosha Kuhifadh Programs
Na Pia Iwe Na Uwezo Wa Kukaa Na Charge, Processor Na RAM Sio Muhimu Sana
Sawa mkuu paka sasa nimeshanunua iyo pc
Ina RAM 4GB
HDD 500

Ila najaribu ku install GSM aladdin inagoma,
Je kuna flashing tools nyingine ambazo unatumia bila box?
Kama zipo ni zipi
 
 
Very smart. Mungu akufanikishe zaidi na zaidi. Duka lako liko wapi?
 
. Lugha la software ndo inaniachaga hoi.... Wacha nimsikilize babu SORIN yupo vizuri
 
Peleka kwa fund

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Sawa mkuu paka sasa nimeshanunua iyo pc
Ina RAM 4GB
HDD 500
Ila najaribu ku install GSM aladdin inagoma,
Je kuna flashing tools nyingine ambazo unatumia bila box?
Kama zipo ni zipi
Download kupitia kwenye hii site. Mambo yote kuhusu ufundi simu utayapata humo jinsi ya kuflash, kuunlock simu n.k
 



Naomba kuuliza swali.
Mteja amekuletea kifaa umtengenezee mimi kama fundi nikatafuta chanzo cha tatizo nikajua ubovu unasababisha na kufa kwa component fulani, lakini kwa bahati mbaya nikashindwa kutengeneza hicho kifaa kwa sababu moja kati ya hizi;
1.Kukosa spea za kureplace
2.mteja kaamua kuchukua kifaa chake baada ya kuona gharama itakuwa kubwa
3.sinauwezo wa kutengeneza hilo tatizo na ktk eneo langu hakuna anaeweza.

Sasa tayari nimeshatumia jitihada kugundua chanzo cha ubovu,Je hapo nastahili kulipwa kidogo?
 
Hustahili kama alikuja kutengeneza


Unastahili kama alikuja kucheck up.
 
Hustahili kama alikuja kutengeneza


Unastahili kama alikuja kucheck up.

Wakati mwingine siyo wateja wote ni wema wengine ni wajanjawajanja inawezekana akajifanya gharama ya ufundi ni kubwa akachukua kifaa chake kumbe shida yake ni kujua tatizo tu, kwa kesi kama hiyo fundi siatakuwa kapoteza muda na gharama za umeme kama alitumia vifaa vinavyotumia umeme kutroubleshoot
 
Mimi Huwa Nawatoza Fair 10000 Kwa Usumbufu Kama Device Mteja Kapenda Kuichukua Mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…