Ushauri, maoni na mbinu za biashara ya ufundi simu na Computer

Karibu sana boss, repair industry inalipa, leta maswali tutakuwa tunajibiana taratibu, wote tunajifunza na hatutakiwi kuchoka
Mimi ninafanya tv/monitor repair ninashida ya smd rework station ninaweza kuipata wapi?
 
Nina laptop yangu ilizima tu ghafla nimepeleka kwa mafundi imeshindikana tatizo laweza kua ni nn?
 
Haya maarifa mazuri Sana nitakutafuta. Aiseeeeeh.
 

Uko vizuri ntakutafuta pm tuyajenge...
 
Mkuu kama ulishindwa kuelewa electronics basis unahitaji msaada, tuwasiliane nikuandalie tutorial ya kiswhili(electronics science ie digital electronics,analogue electronics,digital components) mi ni mfizikia sio sio injinia ila electronics theory tumeichapa sana hivyo vitu kama semiconductor devices havinipi shida.
Mafundi wengi hawataweza kuelewa mother board kwa sababu it is purely science nao waliishia 7.
Hata hivyo nina mpango wa kuanzisha website ambapo nitatoa msaada wa hizo kitu kwa lugha nyepesi hata mtu alie ishia la 2 aelewe na aboreshe kazi yake.
 
Fanya hivyo mkuu

Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
 
Nimemfatilia mtaalam Sorin, anasema msingi mzuri wa kujua vizuri electronics ni 'Ohms Law'.
 
Nimemfatilia mtaalam Sorin, anasema msingi mzuri wa kujua vizuri electronics ni 'Ohms Law'.
Acha utani, labda umeme was majumbani.Electronics is a complete science. Ina mambo mengi sana.Kama huna mwalimu mzuri kuelewa nu ngumu sana, na ndio maana mpaka kesho sisi waafrika tumeshindwa kuprint Chip ambayo wachina wanapambania.Kama unaongelea simple circuit ya darasa la saba sawa ila kama levo yote, electronics ni mziki mwingine you need to crake your head.
 
Wewe labda kama unataka kutengeneza electronics zako mkuu. Mimi nazungumzia kuhusu ufundi wa kufanya repair kama kichwa cha thread kinavyosema.
 
I'm not interested in laptop or s/phone repair ila nmeupenda huu uzi kwa namna ulivyochambua biashara yenyewe from the technical part to business part, and bytheway hongera sana kwa commitment yako kwenye kujifunza electronics stuffs!
 
Hv zle tools za kufungulia kibox kinauzwa sh ngapi..?
Na ile mashine ya kusafishia simu...inatoa upepo inaitwaje na sh ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…