Mgaka12 we nisaidie uone kama nitakuangusha yani utatamani usaidie wengine mia kama mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana washindwe wenyewe manake wanafundishwa hata namna yakumtokea Mtoto wa kizungukwanza ni lazima ujue kua wazungu wanapigania furaha kuliko pesa na ndio maana akimpata mwanaume asie na pesa kama atamfurahisha hataweza mfananisha na mwenye pesa ambae hayupo nae
Pia unapoanza kumtumia ujumbe wa maandishi usimtumie ujumbe wa "Hi" hi haivutii sana na haitampa hamasa ya kukujibu ujumbe wako kwa wakati au anaweza asijibu kabisa kwasababu wengi wanaomtumia au wengi hutumia ujumbe huo usio na mvuto au anaweza akaupuuza ila unachotakiwa kutuma ni "Hello" kabla hajajibu mtumie ujumbe wa kumsifia kidgo kama "You look so beautiful/ attractive/ stunning na so cool" kwa kumsifia hivyo kidgo kutampa hamasa ya yeye kutaka kukujua zaidi anaweza akajibu ujumbe wako wa bashasha akitegemea anatumiana ujumbe na mtu atakae mfurahisha na kumpa tabasamu muda wote
vitu vya kwanza ambavyo utatakiwa kujua na hata yeye atapenda kujua ni hali ya hewa au unamuuliza " what time is it there" huu ujumbe nilazima atajibu au "what are you doing for living" vitu anavyopenda lakini haina ulazima wa kujua vitu anavyochukia
mkishazoeana MPE ratiba yako ya kirasiku kwamba kama unafanya kazi basi ajue majira ya Tanzania na wewe uyajue majira ya kwao kwamba muda unaoenda kazini ajue kua upo kazini na muda utakaokua home ajue upo home na kama hauna kazi mwambie kua sina kazi hatakukimbia
usiweke papara ya kutaka kumtongoza kwa siku ya kwanza na kama atakwambia ana mchumba tulia endelea kuchati nae isla kwa mambo ya kawaida things change baadae utashangaa anakupenda na kuhitaji kua na wewe pia kua mtu wa kumshauri mambo mazuri
Do not go with the long face just play it cool
It takes strength and courage to admit the truth mimi namwambia truth If we are not ashamed to think it, we should not be ashamed to say it.We know he know and I know.
Just scroll my past comments you will see some of us we warned them/him about it.
Njia yako is too harsh. I think You're intention is to block this gift. Stop it bro.
it's will be aversesly and its impingement ideas to stop helping people because of the fear of (disappointment).
Kuna watu wanasaidiwa na wanafanya mazuri bro. Take look at them sio uchukue mifano mibaya tu. Nafikiri toa ushauri zitumike njia gani kuepusha hayo maana hata tusiposaidiana hapa tutasaidiana mitaani.
Mbongo mmoja au wawili wasikufanye uwe na hasira hivyo.
Hahahahahahahaha Sometimes you have to give up on people when they constantly let you down, don’t feel bad! 2maryMgaka12 we nisaidie uone kama nitakuangusha yani utatamani usaidie wengine mia kama mimi
Honesty is more than not lying. It is truth telling, truth speaking, truth living, and truth loving izzo mimi nakwambia ukweli mkuu sikujui unijui but Never assume things, always make sure everything is clearAim this to mgaka12, as you states that you only joined jamii forums to warn mkuu Izzo, this is loughable, I don't want to believe that Mr Izzo doesn't know the risk he facing.
My purpose of writing to Mr Mgaka is to tell you the reason
this is to help each other and I I've been helped by acts of kindness from strangers. That's why we're here, after all, to help others.
WE DON'T EXPECT ANYTHING IN RETURN.
That's not the truth.It takes strength and courage to admit the truth mimi namwambia truth If we are not ashamed to think it, we should not be ashamed to say it.
Unijui sikujui that's the fact and Will never change, why assuming things? No reason.Honesty is more than not lying. It is truth telling, truth speaking, truth living, and truth loving izzo mimi nakwambia ukweli mkuu sikujui unijui but Never assume things, always make sure everything is clear
Asante mkuu.Ndugu zangu Watanganyika ni muhimu kama huna degree coz kupata White - collar job kwanza ni ngumu kama bado ujapata PR so unaweza kuanza na kazi ndogo ndogo lakini zinalipa vizuri (pay is good) jifunzeni Construction Work , QS's, Carpenter, Painter, Plumber trust me hz kazi zipo nying sana na malipo ni mazuri sana
Kingine kuna hii kitu ambao wengi hawajui lakni ni bonge la dili inaitwa Occupational safety and health ni bonge la dili kwani unafanya kazi sehemu yeyote na kazi huwezi kukosa
Nitakuja kuwapa ujanja wa kusoma hii course online na chuo ambacho kipo chini ya U.S. Department of Labor (DOL) na kama ukimaliza hapo unasoma PROFESSIONAL TRAINING PROGRAMS ukitoka hapo course ni miezi 6 mpaka mwaka ukitoka hapo unapata kazi sehemu yeyote duniani kuanzia kwenye makampuni makubwa , viwanda,taasisi na kwenye sector ya mafuta na gesi watu wengi naona wanakwenda kusoma vitu ambayo watu wengi wanasoma siku ikitokea wametangaza ajira interview inafanyika uwanja wa taifa kwa jinsi mlivyo wengi tatizo tumefungwa ufahamu tumeshindwa kutumia milango sita ya ufahamu nyinyi mnafundishwa kuna milango 5 wenzenu wanafundiswa ni milango sita mpaka 9
Mpaka sasa hv chuo hiki kuna watu laki 3 ndio wamesoma hapa sasa jiulize duniani kuna makampuni mangapi,kuna viwanda vikubwa vingapi kuna nchi ngapi wanachimba gesi na mafuta hakuna kampuni yeyote utakayopeleka cheti cha chuo hiki ukakosa kazi duniani kwani wanafunzi wake wote wapo kwenye data base anachofanya ni kuingia kwenye data base na kuingiza namba zako tu anaona kila kitu so huwezi kufake hata kidogo
Taasisi hii ndio inasimamia maswala ya Safety na Health duniani makampuni na mashirika yote makubwa yanasimamiwa na taasisi hii ambayo iko chini ya U.S. Department of Labor (DOL)
kirikou1 kweupee Hary Jay Ndata Prishaz WiseLady Mrike wembeee talentboy Dr.adams faida Daby Tombstone Piledrive Padri Mcharo Shyshii lucley kui tagamwa binti kiziwi dangadunguri Tembo2 lusungo kweupee pius1021 Prof cognition Agogo Jr Chakochangu soul provider Mrike
Barikiwa sana mkuu kwa info hiiOrodha ya kazi nchini Australia ambazo zinahitaji wasomi kutoka sehemu mbalimbali duniani ikiwemo Tanzania.
Skilled occupations
This information page can be used by potential applicants seeking to nominate skilled occupations which are acceptable for permanent and temporary skilled migration to Australia under these programs:
Skilled Occupation List (SOL)
- SkillSelect
- Employer Nominated Scheme (subclass 186)
- Regional Sponsored Migrations Scheme (subclass 187)
- Temporary Work (Skilled) visa (subclass 457)
- Training visa (subclass 407)
- Temporary Graduate visa (subclass 485) - Graduate Work stream.
The current Skilled Occupation List is relevant for applicants for:
After a review by the Department of Education and Training, a new SOL was introduced on 1 July 2016 with a number of changes to the occupations.
- independent points-based skilled migration who are not nominated by a state or territory government agency
- a Family Sponsored Points Tested visa
- Temporary Graduate visa (subclass 485) - Graduate Work stream.
Occupations added to the SOL on 1 July 2016 were:
Occupations removed from the SOL on 1 July 2016 were:
- Orthotist or Prosthetist (ANZSCO 251912)
- Audiologist (ANZSCO 252711).
The review of the SOL did not impact the composition of the Consolidated Sponsored Occupations List (CSOL).
- Mining Engineer (Excluding Petroleum) (ANZSCO 233611)
- Petroleum Engineer (ANZSCO 233612)
- Metallurgist (ANZSCO 234912)
- Environmental Health Officer (ANZSCO 251311)
- Occupational Health and Safety Adviser (ANZSCO 251312)
- Dental Hygienist (ANZSCO 411211)
- Dental Prosthetist (ANZSCO 411212)
- Dental Technician (ANZSCO 411213)
- Dental Therapist (ANZSCO 411214).
For further information on the review of the 2016-17 SOL see Review of the Skilled Occupations List (SOL).
Consolidated Sponsored Occupation List (CSOL)
The current Consolidated Sponsored Occupation List (CSOL) is relevant for applicants for:
Kwa maelelezo zaidi, tembelea tovuti ifuatayo kutambua kazi hizo.
- points-based skilled migration who are nominated by a state or territory government agency under a State Migration Plan
- the Employer Nomination Scheme (ENS), who must have been nominated by an Australian employer to fill a position in an occupation that appears in the CSOL
- Temporary Work (Skilled) visa (subclass 457)
- Training visa (subclass 407).
Skilled occupations
Asante mkuuPia waweza kuingia tovuti ifuatayo kuchagua kozi mbalimbali duniani kwa ngazi ya masters.
Africans Scholarships | 2017-2018 Scholarships in for Africans
Kwa Uingereza nafasi zilizobakia kwa maombi.
Lord Walston Scholarship for African Students
University of East Anglia is awarding Lord Walston Scholarship for African students. Scholarship is awarded to undertake MA Agriculture and Rural Development, the MSc Environment and International Development or the MSc Climate Change and International Development programme. The Scholarship covers full fees and maintenance (living expenses). The application deadline is March 31, 2017.
Postgraduate Taught Talent Scholarship
University of Southampton is offering postgraduate taught talent scholarship for 2016 entry. Scholarships of £6,000 are available for up to 3 students from Africa, Middle East, South America and India who excel in their field. Scholarship applies to Winchester School of Art and will not apply if student change their programme to another School/Faculty. The application deadline is 31st March 2017.
The Desmond Tutu Masters Scholarship
University of Edinburgh is inviting applications for Desmond Tutu Masters Scholarship for Africans. The scholarship will be awarded to a student from Africa who is accepted for admission on a full-time basis for a postgraduate Master’s programme of study within the School of Divinity. The scholarship will cover the full overseas tuition fee and a maintenance allowance of £5,000. The award will be tenable for one academic year. The application deadline is 3rd April 2017.
Julius Nyerere Master’s Scholarship
The University of Edinburgh will award a Julius Nyerere Master’s Scholarship scholarship Tanzanian student undertaking postgraduate Master’s study for the 2016-2017 academic session. The scholarship will cover the full overseas tuition fee, living costs of £10,000, and a return flight from Tanzania to the UK. The scholarship is tenable for one academic year. In addition to their studies, the successful applicant will be expected to participate in Swahili language conversation tutorials. The application deadline is 3rd April 2017.
High Achiever Foundation Prize for African
University of Nottingham is inviting applications for high achiever foundation prizes available for African students. Applicants must already hold an offer to start a full-time foundation programme at Nottingham in September 2016. Three undergraduate high achiever prizes of £2,000 towards tuition fees. The application deadline is April 21, 2017.
David E I Pyott Master of Surgery in Clinical Ophthalmology Scholarship
David E I Pyott Foundation is offering six online distance learning master’s scholarships for the academic year 2016-2017. These scholarships are available for the students of sub-Saharan Africa, South East Asia, and South America. The scholarships will be awarded to students who are accepted for admission on to the online distance learning master of surgery (ChM) in Clinical Ophthalmology at the University of Edinburgh. Each scholarship will cover the tuition fee for the entire part-time programme of study as well as provide access to a broadband facility and a laptop. The application deadline is July 28, 2017.
LSE Margaret Bennett Scholarship
The London School of Economics and Political Science is inviting applications for Margaret Bennett Scholarship. Scholarship is available for female students from Africa to pursue LLM programme. To be considered for this scholarship, you must have completed the 2017/18 LSE Graduate Financial Support Application form and received an offer of admission. The application deadline is 26 April 2017.
Loughborough University Graduate School
Loughborough University is offering a number of Africa scholarships for full-time taught postgraduate students who are currently domiciled (permanently living) in Africa. The scholarships will cover 100% of the course fees for chosen postgraduate taught course for one year. The selection panel will be looking for the very highest academic achievers, and those who are committed to contributing most to their society when they return home after their course. The closing date for application is 30th April 2017
GDAI PhD Scholarship for African Students
Applications are invited for Mo Ibrahim Foundation scholarship available for African students at School of Oriental and African Studies (SOAS) in UK. Preference will be given to scholarship candidates living in Sub-Saharan Africa. Scholarship is awarded for undertaking PhD research programme (Full time) that directly address or be applicable to the issue of Governance in Africa. The scholarship is on a part present form and it provides Fees for three years and for accommodation and living cost for the first year only. It is expected that students to be on fieldwork during the second year and to write the thesis in the third year in their country of origin. The application deadline is 30 April 2017.
Hahaha, unampa caring mujarabu mpaka anaingia mfukoni for airfareHahahaha wazungu wengi tu wanashida na watu wa abroad ila hawajiwakilishi na wengine hawajui jinsi ya kupata mtu wa ng'ambo wakiamini hatuwapendi au hatuvutiwi nao nakumbuka niliwahi kua na mtu mweusi kutokka Virginia nilidumu nae sana ila yule aliniambiaga kua "I heard people there hates us" nikawmmwambia no "we love you" akasezidi kusema kua mnatuchukia kwa mambo ya hovyo nnchini kwetu nikamwambia mambo yenu tunayapenda na tunavutiwa nayo na yeye akasema "yani sisi huku wanaume walaghai sana" tyliongea mengi sana
wanapenda mtu anaejari pia najua utakua unatamani pesa sake please usiharakishe kymuomba pesa ya sina yoyote ila hakikisha mmedumu na haumkwazi onyesha kulidhika kua nae taratibu utaona anakuita mume na kuhitaji sana uende au aje akufate yeye wengi hua hawazungumzii swala la kukutumia nauli watataka kukufata au uende wewe sasa halo usivunge funguka kwa kumwambia sina pesa ya kutosha
dah ni mengi sana yapo ya ujuzi huu lakini ntazidi kuwasilisha vile nifanyavyo Mimi
Hakika mkuu Dr. AdamsMwenyezi mungu naomba uusimamie uzi huu uweze kukaa miezi,miaka na miaka na vijana hawa ukawasimamie waweze kufanikisha kwa yale wayapiganiayo na mwisho tukapata mirejesho mingi juu ya wengi waliofanikiwa kupitia uzi huu.
Naamini na nitaendelea kuamini wapo waliojidhatiti kufanya maamuzi haya magumu ili mradi tu wafanikiwe na waje wazikomboe familia zao zilizo katika maisha duni.
Tuendelee kuombeana nashukuru wadau wanaendelea kuleta michango ya kutosha na mbinu mbalimbali lengo lililokusudiwa litimie nawashukuru sana wadau wote mnaojitoa kusaka data na mwisho mnazileta hapa tunashare wote.
Mi binafsi kwa muda sasa nimekuwa si mchangiaji sana ila kuna mambo napambana nayo niyakamilishe badae nitamwaga mchele hapa jamvini ili sote tunufaike.
Mkuu izzo lusungo Daby STUNTER Tokyo40 Kaveli Dumelang Richard meney9 dangadunguri Chillah
kirikou1
Na wengine wengi ambao wameonesha kuunga mkono harakati hizi kwa kutoa mawazo,njia na mambo mengi kemkem ambayo sote yanatujenga kwa namna moja ama nyingine kila kukicha najifunza vitu vipya sana ambavyo ni msingi mkubwa wa yale tunayapigania.
Nitaendelea kuomba mwenyezi mungu atusimamie na asikie kilio chetu kila mmoja wetu aweze kufanikisha kwa kile alichokipanga,
ASANTENI SANA....TUENDELEE KUPAMBANA NA KUPEANA MIREJESHO WAPI TUMEFIKIA.
Mkuu Asante sanaExclusive: Nafasi za kazi nchini New Zeland!
![]()
Nchi ya New Zeland imetangaza nafasi zipatazo 100 ambazo nyingi ni za fani ya ualimu wa kompyuta.
Kwa kupitia mpango maalum uitwao Looksee Wellington, ambao unashirikisha taasisi ya maendeleo ya kiuchumi ya mji wa Wellington na kampuni ya workhere New Zealand, nchi hiyo ina upungufu wa walimu wa ICT.
Katika mpango huo endapo unafanikiwa kujisali kwa ajili ya usaili , basi utaweza kulipiwa gharama zote za usafiri wa ndege na malazi ya hoteli vikichukuliwa kama vekesheni.
Usaili umepangwa kufanyika kati ya tarehe 22 hadi 25 mwezi Mei mwaka huu.
Hivyo kama unataka kufanya kazi nchini New Zealand au ni mtaalam tu wa IT basi unaweza kujikuta ukipata "free holiday", na una mpaka tarehe 20 March kutuma CV yako safari ikiwa kati ya tarehe 1-11 mwezi May.
Pitia zaidi hapa chini katika link ifuatayo kwa habari zaidi.
LookSee Wellington » WellingtonNZ.com
Ngoja nidanlodiMALTA...LOADING
Hakika mkuu, twamuombea kaveli afike mbali na kuona ndoto yake yatimia ila pia Izzo et al wabarikiwe sana kwa huu uziHuu uzi ni kati ya nyuzi bora kabisa kupata kuanzishwa hapa JF. Nimekua nao toka page ya kwanza nikilike kila kilichonivutia, ubarikiwe ndugu Lusungo hakika return ya ulichokifanya itakuwa kubwa sana ni suala la muda tu.
Kuna sehemu nacheka sana kama comments za mkuu Wonderful, una namna ya kuwafanya watu watabasamu, ubarikiwe.
Kuna sehemu hadi machozi yamenitoka kwenye Comments za mkuu Kaveli, you are such a wonderful creature, mkweli, muwazi, sio fake (kama watu wamefuatilia comments zako kwenye nyuzi mbalimbali humu JF). Hakika you have my prayers, Yule unayemuamini akupiganie katika kile chema unachokitaka maishani mwako. Halafu nimeupenda uandishi wako, kudos.
Mkuu Izzo uwepo wako ni ushahidi wa kuwa waTanzania bado wapo wenye roho nzuri sana, umekuwa msaada kwa wenzetu wengi wenye nia yakwenda nje kusaka maisha katika mtazamo mwingine.
Pia Mbarikiwe wachangiaji wote mliotoa miongozo, misaada, changamoto, na taarifa mbalimbali kuhusu nchi za wenzetu, mmpanda mbegu bora kabisa, jueni kuwa hamjaupoteza muda wenu bure. Kila la heri wote mnaofanya michakato yakuzama nchi za nje, wenye nia njema wote Mungu awaongoze.
Mwisho, kwenye kuhost hapo kama kuna mgeni anatakuwa interested kuja kanda ya kati (Dodoma) naomba nipewe nafasi, malazi yapo sehemu salama kabisa. Nina imani atakuwa salama.
mfanyakazi wa ndani anatakiwa jinsia gani?Jamani kuna kazi ya udereva Auckland, New Zealand. Salary $540-653 a week. lazima ujue sheria za barabarani kwa maana hapa kuna madereva na waendesha magari anayetakiwa ni dereva si mwendesha magari pia uwe na passport kubwa pia anatakiwa mfanyakazi wa ndani (Nanny) ujue English na pia mwenye hofu na Mungu
Too bad lakini ndio ubin-adam.Naamini katika maisha hakuna mtu ambaye hajawahi kupata msaada hata wewe hapo inawezekana ulishawahi kusaidiwa japo hata Kalamu darasani ilipokugomea. Toa ushauri namna ya kuepusha unachoongelea na sio kunyima watu kupata misaada. Kaveli anatamani japo na yeye asome bachelor maana matokeo anayo tayari leo unakuja kumzibia riziki kwa hoja eti ukimsaidia mtu atakuja kukuaibisha au kukusababishia matatizo duuuh aiseeh umezingua kamanda.
Hivi mkuu kila anayepewa msaada lazima aje azingue baada ya kupata alichokuwa anakitafuta? Binadamu wote wangekuwa na mawazo kama yako hivi hata vilema Wajane au watoto yatima wangepata hifadhi?
Haujiulizi mbona kuna waafrika wanasoma kwa scholarship je wafadhili waliozitoa hawana akili? Wao hawaogopi kuaibika mwisho wa kuwasiadia watoto maskini wa afrika?
Kikubwa ungemwambia/mshauri izzo aset mazingira ya kuepusha haya uliyoyaeleza lakini sio kumwambia asimamishe kusaidia watu.