Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

uzi wa brita... mbona hajaucomment wala kuonesha kumpa ushauri...
 
Pretend inferiority and encourage his arrogance. how mtu mmoja kuwa na namba 5 na zote zinapatikana ? tena za chi mbalimbali acheni uongo hv ulivyoandika nani anashindwa kuandika ?The main part of intellectual education is not the acquisition of facts, but learning how to make facts live.
 
 

Acha wenge wewe, watu tumetapeliwa na huyo jamaa ako unaleta blah blaah hapa
 
Ninakupa nusu saa ufungashe virago ktk uzi huu vinginevyo nitakudhalilisha nyani wewe!! Mwanaume unakua pashkuna na mjiroho wa kichawi namna hii bora ukafie baharini...

Jamani wengine mliopo ktk uzi huu naomba nifunge naye huyu mbwa asitokee mwingine wa kumjibu huyu mtu namjua na amekuja hapa purposely...

Please ignore him....

_________________________________________
 
Duuh huyo jamaa boya saana STUNTER.
Mimi nimebaki tu nacheka, asamehewe bure jamani. Kuna watu wana roho za hivyo, hawezi saidia mtu na akiona mtu anasaidiwa anaumia! Huyu ni mwenyeji sana tu, na atakuwa alikuwepo humu toka mnakasha unaanza ila kaona afungue ID nyingine ili asitambulike. Nimemshangaa kiasi ila anafurahisha pia.
 
P acha tu.
Ila ndivyo dunia ilivyo.
 
Botswana ni ngumu sana kutoboa kabiasharA labda uende sauzi au Namibia
 
Mkuu [HASHTAG]#Daby[/HASHTAG] mpaka sasa nahisi huyu mgaka12 ndiyo britanicca kwa maana hana hoja yenye mashiko juu ya lile alitakalo eti watu wasisaidiwe mi naona hakukuwa na maana yoyote ya kuweka vizuizi bila kutoa sababu zenye kuingia akilini mwetu ili jamaa asitusaidie.
Kitu kingine hii ni nguvu ya watu wengi na wenye malengo dhabiti juu ya hili lipo mbele yetu ili mradi kundi la watu kadhaa lifanikiwe naamini na wengine tutafuaata.
Mkuu mgaka12 wewe ni binadamu na we pia unamapungufu yako hivyo kwa namna moja ama nyingine upo sahihi.
Watu kama nyinyi kwenye jamii lazima muwepo ili kuleta changamoto kwa watu ili wafeli mipango yao ama muwazidishie speed.
Tangu uzi uanze niliamini tu kuna mtu au watu watakuja kuweka magogo kwenye uzi huu ili mambo wayavuruge lakini naamini hii team iliyopo ni watu wenye misimamo.
Mkuu [HASHTAG]#izzo[/HASHTAG] mpaka kuamua kuja kutoa msaada kwa ndugu zake najua kuna mazingira ambayo anayaandaa kwanza mpaka sasa kama ulikuwa hujui kuna watu wanapigwa michujo wapatikane watu wanaostahili hili swala izzo kashalizungumzia.

Mwisho mkuu naomba utuache tupambane kwa hili lililopo kama ingependeza ungetoa maoni ya kusapoti na siyo ulivyokuja umefura kuweka vingingi.
Kuna wengine tumejifunza vitu vingi na tupo kwenye hatua nzuri ya kwenda kufanikisha hivyo basi tunakuomba sana utuachie hili swala kwa maana umelikutia katikati hujui watu wametumia nguvu gani mpaka kulifikisha hapa.
Ndugu zangu naombeno tuendelee kushikamana mtu mmoja asituangushe lazima tufanikishe.
 
True mkuu, naamini the best investment us to invest to people though return sio lazima iwe 100%

Tuwatie shime our comrades wasife moyo
 
hayo magogo watakayo weka ndio tutakayo wapiga nayo... nazani sasa amekaa kimya baada ya kuelewa watu wa humu wamemfahamu wana data zake kama alivyo askofu wa kanisa la kufufua...
 
Mkuu, IZZO , ndg yangu nakuomba saaana unisaidie kuhusu hio kazi ya driving au kazi za ndani in New Zealand, nina vigezo vyote ulivotaja hapo juu, mimi ni dereva mzuri na sheria zote za barabarani nazijua na leseni ninayo, Pia pasport kubwa ninayo pia kwa upande wa lugha niko vizuri sana. Naomba unisaidie ntakushukuru sana ndg yangu.
 
hayo magogo watakayo weka ndio tutakayo wapiga nayo... nazani sasa amekaa kimya baada ya kuelewa watu wa humu wamemfahamu wana data zake kama alivyo askofu wa kanisa la kufufua...
πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…