marveljt
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 1,503
- 1,479
Hapo ndipo roho za watanzania wengi zilipo. Kaona njia anayotumia ndugu yetu izzo wengi wataweza kufanikiwa. Daby amemwambia ukweli kama una nia hasa toa maoni yako ni njia gani itumike ili kuwe safe kwa pande zote ila yeye anang'ang'ana stop, stop. Naimani wengi wenye kuchangia hii mada ni wale wenye uhitaji. Na katika baadhi ya maneno yetu pia tumetoa onyo kwa watakaobahatika.Too bad lakini ndio ubin-adam.
Serious anajoin jf kumuonya mtu ili asitoe rizki kwa mwenzake [emoji22] [emoji22] [emoji22]