Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Too bad lakini ndio ubin-adam.
Serious anajoin jf kumuonya mtu ili asitoe rizki kwa mwenzake [emoji22] [emoji22] [emoji22]
Hapo ndipo roho za watanzania wengi zilipo. Kaona njia anayotumia ndugu yetu izzo wengi wataweza kufanikiwa. Daby amemwambia ukweli kama una nia hasa toa maoni yako ni njia gani itumike ili kuwe safe kwa pande zote ila yeye anang'ang'ana stop, stop. Naimani wengi wenye kuchangia hii mada ni wale wenye uhitaji. Na katika baadhi ya maneno yetu pia tumetoa onyo kwa watakaobahatika.
 
Ukiachana na migodini, kuna fursa zipi kule bondeni umeziona
 
unachojitetea hapa ni ujinga. Hata uwe nazo 10 zinapatikana ili mradi uwe na simu. Mchina ana simu za laini mbili je unashindwa kuweka ya uganda na tz hata dubai. Shame on you!!!!
 

Mkuu marveljt
Nakubaliana na mengi unayo sema ila WaTanzania wengi wanaroho nzuri za kusaidia.
Wengi wanavunjwa mioyo Yao Na wachache wenye roho za Kwa nini kama huyo.
 
Jamani humu ndani hakuna aliewahi kusafiri kwa njia za meli?? Kuna maswali nataka nimuulize,
Nadhani ifike muda ndani ya mada tuweke vigezo fulani. Maana katika safari kuna wenye nia hasa na kuna wakatisha tamaa. Asanteni sana lusungo, stunter, adam, izzo, daby na wengine wote tulioshiriki kumdadavua kevin. Pia pawepo na utaratibu wa kuwajibu wale ambao ni wageni ndani ya mada yetu. Tuko tukiianza tokea mwanzo na tulikuwa tunajadiliana na kupeana maoni, changamoto na hata kutahadharishana kuhusiana na msaada ambao wenzetu wamepanga kutusaidia. Tukisimama kidete na kuungana na kuwa kitu kimoja tutafanikiwa. Mungu atawale
 
Ub
unachojitetea hapa ni ujinga. Hata uwe nazo 10 zinapatikana ili mradi uwe na simu. Mchina ana simu za laini mbili je unashindwa kuweka ya uganda na tz hata dubai. Shame on you!!!!
We are all born ignorant, but one must work hard to remain stupid hivi wewe unajua unachosema kweli? then nyinyi ndo mnataka kwenda kwa wazungu na akili zenu hizi , unawezaje kuwa na chip ya Dubai ,Uganda then zikafanya kazi Tanzania
 
Kujikwaa siyo mwisho wa safari. Don't take it generally.
Mwambieni ukweli si kumdanganya mwezenu, kuchukua watoto wa watu then mje mfanye mambo ya ajabu ajabu lie can travel half way around the world while the truth is putting on its shoes
 
Kama wewe ni mzazi. Unaweza kumpa mtoto wako mtu uliyekutana nae online with fake id?
 
Kwahyo unamalizia kwa kusema?
Asisaidie watu kisa wewe uliowasaidia walifanya hovyo?
Toa ushauri lakini usimkataze mtu mkuu na ikiwezekana jaribu kusaidia tena utakutana na malaika na ndo hapo utakapo shangaa kumbe sio wote wapo km wale waliokutendea ndivyo sivyo.
 
Hahahahahahha are you Max or JF shareholder? truth will set you free, but first it will piss you off.
 
Unaweza chukua yule mtoto wako wa kike ukampa jamaa uliyekutana nae online with fake id kukaa na mwanao miezi 3?
 
Britannica anaona ulaji wake umepigwa pini anatapatapA asee
 
Reactions: Qj_
Mr KGB nimeshasema nimejoin JF to Tell the truth, if you don't someone will tell it for you mnataka kumfanya mwenzenu aonekane mjinga kwa jambo hili how can you do that mr izzo hivi unawezaje kufanya hv wanaokusifia hapa moyoni wanakuona mjinga kubeba msalaba kwa watu ambao hata uwajui, kama ni watu wema kweli hapa kuna wezi,vibaka,wasomi JF imebeba watu wote unaowajua so what if unampatia mtu mtoto wa watu then usiku akambaka asubuhi akatoroka kwani nyumba amepanga si yake then kamwibia kila kitu , utawambia nini wazazi wake ?
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Kama wewe ni mzazi. Unaweza kumpa mtoto wako mtu uliyekutana nae online with fake id?
Hapa ndiyo nimekupuuza kabisa. Unategemea hizo id ndizo zitakazofanya kazi baadae? Poor you. Pia kuhusu chip usifikiri wote ni wajinga, chip hata ya tz unaweza kuitumia nje ya nchi kama kuna mtandao sawa.mfano ukiwa na voda tz kenya inakuwa sasatel utatumia chip hiyo hiyo. Acha ujinga
 
Unaweza chukua yule mtoto wako wa kike ukampa jamaa uliyekutana nae online with fake id kukaa na mwanao miezi 3?
Mkuu it is better you stop this as long as you have played your part and done. Please, we are no longer wishing to receive and read those kind of the posts that aim at pushing down all the efforts being made a long way ago.

I know those you are trying to warn are more smart than you think. They have already counted on the risks. And may be they have got some measures to avoid what it may happen. Yes, we are strangers but we still exist in reality. We just can't expose our identities for some reasons as JF is a whistle blowing website.

Tunakuomba sasa uishie hapo. Dukuduku lako umeshalifikisha na wadau wameonekana kutokuunga mkono. Umeshatimiza yako, tuachie tumalize yetu Mkuu.
 
Tahadhari without truth is like Stupidity combined with arrogance and a huge ego will get you a long way
Haya tuachane na habari za hosting
Naomba utuletee habari za kupata scholarship ili watu waombe wenyewe bila wewe kuhusika
Tuletee habari namna ya kupata visa gharama na vigezo ili wewe usihusike
Tuletee habari za kupata kazi nje watu wa apply wenyewe
Tuletee habari kuhusu jinsi kupata ma agent na watu wa kuwapokea wanapotaka kwenda kwenye nchi wanazotamani
Hizi ndo habari tunazotaka kusikia kuhusu izzo I think let him be kuna watu wanachagua njia zao za kupita hata ziwe ngumu huwa wameamua kupita na km yupo tayari I hope hatakusikiliza so don't waste your time kwa kurudia maneno yale yale yasiyo na muelekeo wa kutanua au kutii kiu ya watu wengi wa humu.
NB: usikatishe tamaa watu kisa tuu wewe yalikupata au ulipata watu si waaminifu,Mungu ni wa ajabu uliposhindwa wewe utashangaa izzo anaweza so just pray for him and I hope God is with him sababu anawaza yaliyomema naye Mungu atampa walio wema.
 
Facts are facts and will not disappear on account of your likes. Mr izzo mtu anapo like comment yako inamaana amekubaliana na unachosema so watu wako wana like so ninachosema wanakubaliana na mimi but wameshinndwa kukwambia ukweli.Better a cruel truth than a comfortable delusion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…