Humu watu wapo makini sana, wee hujiulizi britanicca amejulikanaje?Nadhani ifike muda ndani ya mada tuweke vigezo fulani. Maana katika safari kuna wenye nia hasa na kuna wakatisha tamaa. Asanteni sana lusungo, stunter, adam, izzo, daby na wengine wote tulioshiriki kumdadavua kevin. Pia pawepo na utaratibu wa kuwajibu wale ambao ni wageni ndani ya mada yetu. Tuko tukiianza tokea mwanzo na tulikuwa tunajadiliana na kupeana maoni, changamoto na hata kutahadharishana kuhusiana na msaada ambao wenzetu wamepanga kutusaidia. Tukisimama kidete na kuungana na kuwa kitu kimoja tutafanikiwa. Mungu atawale
Hakika mkuu naanza kuamini kwann watanzania hatupeani sapoti kumbe ni choyo na roho ya Kwanini.Wakuu wa jukwaa letu pendwa tulikuwa tupo sambamba sana kupeana info za maaana ila kwa siku ya leo kuna kiumbe cha ajabu sijui kimedondoka hapa kutokea wapi? ID yake Mgaka12 I tried to argue with him earlier.
muhimu
TUSIMJIBU CHOCHOTE, WALA KUMJADILI HATA AKIPOSTI AU REPLYING COMMENTS YA MTU TUMWACHE AROPOKE UPUUZI WAKE, SISI TUFOCUS KWENYE MAMBO YETU.
kuna ishu ya udereva unahitajika nchi ya newzealand na uyaya wa ndani kama ilivyotolewa na mkuu Izzo jamani tuombeni mwongozo wa hizi kazi na mwenye nia aombe haraka.
cc Dr Adam
Stunterr
Daby
Wisegal
Kirikou
Na wengine wote, kwani Nina yetu ni moja kutafuta maisha nje ya tz huyu fala asitupotezee direction tukawaste kurasa zetu hapa kwenye nyuzi kupashana naye.
Hii issue ilishaisha jana kuendelea kumjibu nikumpa kichwa .Hapa ndiyo nimekupuuza kabisa. Unategemea hizo id ndizo zitakazofanya kazi baadae? Poor you. Pia kuhusu chip usifikiri wote ni wajinga, chip hata ya tz unaweza kuitumia nje ya nchi kama kuna mtandao sawa.mfano ukiwa na voda tz kenya inakuwa sasatel utatumia chip hiyo hiyo. Acha ujinga
Get blessed mkuu, na wote walioomba hakika hili swala lifanikiwe InshaallahMkuu IZZO nakukumbusha tena ndg yangu naomba unisaidie jinsi ya kupata hio kazi ya driving in New Zea land ntakushukuru saana mkuu, vigezo vyote ulivotaja ninavyo. Ntakushukuru saana Mkuu.
Road to ulayaMkuu lusungo shukrani kwa kuleta huu uzi. izzo mkuu endelea na moyo huo huo pamoja na wadau wote mliochangia humu.
Kuna mambo nimejifunza mengi sana na kwa huu uzi nimefufua ndoto ya kwenda ulaya. Nakumbuka wakati nipo sekondari kuna wazungu walikua wanakuja shule, kipindi hicho nina upako wa kiingereza yes no what when zilikuwepo kwa wingi. Mimi sikujua kwamba ile ilikua ni fursa ya kwenda ulaya. Nimesoma huu uzi nikakumbuka kama ningejiongeza ningekua nipo huko.
Kwa kupitia nondo za huku kuna mambo nimeyagundua, kwanza ukiwa na nia utafanikiwa. Pia kwenda ulaya sio jambo kubwa sana ila mikakati ya nguvu inatakiwa.
Mkuu izzo kaleta plan za kwenda huko, kwa kupitia Malta na ku_host wageni toka ulaya. Ila kwa upande wangu nimejiwekea mpango mkakati wa miaka 2 ili nifanikiwe.. [HASHTAG]#RoadtoEurope[/HASHTAG]..!!
1. Naanza kwa kutafuta Passport, ikae tuu ndani maana ndio kitu cha muhimu. Wadau wameshaatoa njia ya kuipata naamini nitaipata.
2. Nauli, hapa ndio mziki ulipo. Nauli ndio kila kitu, lazima niitafute. Japo sina kazi ila ndani ya miaka hiyo 2 najua itaeleweka
3. Kiingereza, japo cha kuombea maji kipo ila kukiongeza zaidi inanipasa. Sio unaongea na mtu unaanza kusearch vocabulary mojamoja kichwani.
4. Scholarship, japo kwa sisi wenye diploma zinakua ngumu na chache ila nitaanza kuzitafuta kwa udi na uvumba. Zile mb za kuangalia Messi's skills au Ronaldo's skills youtube nitazitumia kutafutia scholarship.
5. Kutafuta demu mzungu aliyepo Ulaya kwa kupitia online dating sites. Najua wazungu akikupenda anakupenda kweli, akijilengesha mmoja hana bahati. Namng'ang'ania kama kupe hata kwa ndumba itabidi 😛.
Naamini Mwenyenzi Mungu atasaidia na mimi niende Ulaya siku moja, aliyewezesha wengine wawepo na mimi atanisaidia.
Wakuu msisite kutoa miongozo, mbinu, nafasi ya kutusaidia na sisi tuweze kwenda huko wanapopaita Ulaya.
[HASHTAG]#RoadtoUlaya[/HASHTAG]......🙂🙂🙂🙂
One love comradeHii issue ilishaisha jana kuendelea kumjibu nikumpa kichwa .
Please msimqoute huyu jamaa. Please.
Tutatoboa mkuu, ni kuweka mipango sawa.Road to ulaya
Mungu ni mwema mkuu,
Kuna jamaa alikua mchezaji wa basketball shuleni one day alinambia kocha wao aliwafundisha 3Ds
1. Determination
2. Desire
3. Discipline
Naamini kupitia hizo 3Ds lazima tutoboe
Mi nataka kujilipua niunganishe mkuu na kazi ya nannyJamani kuna kazi ya udereva Auckland, New Zealand. Salary $540-653 a week. lazima ujue sheria za barabarani kwa maana hapa kuna madereva na waendesha magari anayetakiwa ni dereva si mwendesha magari pia uwe na passport kubwa pia anatakiwa mfanyakazi wa ndani (Nanny) ujue English na pia mwenye hofu na Mungu
Kwakuwa hii inshu ni yamuhimu sana sana kwetu na kwako na kwakuwa kweli hatujuani na mada ulioileta ya kutusaidia ndugu zako tumeikubali na kuipokea kwa mikono miwili mimi binafsi nilikuwa na wazo kwamba kwawale wote walioomba kuhost wageni ambao wewe unajidhamini ili tuu kuhakikasha unatusaidia ndugu zako mimi nafikiri tuanzishe utaratibu wakujuana kwanza kwa mfano tuliopo dar tunaweza kukutana na kujuana then tukatoa mrejesho wanamna tulivyoonana na hata kama mtu hana sifa kundi hilo hapo hapo litatoa jibu kwani mtu ukimuona tuu unaweza pata picha kama ni mvutaji mambo flan au vip hata maongezi pia yanatoa picha halis ya muhusika napia wamikoani nao watafanya hivyo pia lengo nikutoa mrejesho wa uhakika na kutokuwa na hofu zaidi napia kuwa na uongoz flan wa kuwachek hawa wenyeji watakaopokea wageni hao ni mawazo yangu wakuu nawakilisha.Kuhusu wanaouliza kazi za NZ hasa za Udereva na Nanny
Nanny anaitajika ni mwanamke au msichana
Dereva ni wakiume au mwanaume
Tangazo hili la kazi limetumwa kwenye Group la Whats app lililosema juzi so mnaweza kuwasiliana na muhusika mwenyewe
Kwa facebook ni Arabella Walsh
kwa email ni walsharabella@gmail.com
Note usitoe fedha ya aina yeyote kuanzia visa vyote anashugulikia mama mwenyewe
Kuhusu hoja za mgaka12 nazifatilia kujiridhisha na anachosema kwani si kila kitu alichosema ni chakupuuza
Ukiwasiliana naye sema unatokea Tanzania East Africa kwani kuna wengine hawajui Tanzania inapatikana wapi
anzeni kwenye Facebook account yake
Asante mkuu ngoja nijaribuKuhusu wanaouliza kazi za NZ hasa za Udereva na Nanny
Nanny anaitajika ni mwanamke au msichana
Dereva ni wakiume au mwanaume
Tangazo hili la kazi limetumwa kwenye Group la Whats app lililosema juzi so mnaweza kuwasiliana na muhusika mwenyewe
Kwa facebook ni Arabella Walsh
kwa email ni walsharabella@gmail.com
Note usitoe fedha ya aina yeyote kuanzia visa vyote anashugulikia mama mwenyewe
Kuhusu hoja za mgaka12 nazifatilia kujiridhisha na anachosema kwani si kila kitu alichosema ni chakupuuza
Ukiwasiliana naye sema unatokea Tanzania East Africa kwani kuna wengine hawajui Tanzania inapatikana wapi
anzeni kwenye Facebook account yake
Safi mkuu ngoja niingie fbKuhusu wanaouliza kazi za NZ hasa za Udereva na Nanny
Nanny anaitajika ni mwanamke au msichana
Dereva ni wakiume au mwanaume
Tangazo hili la kazi limetumwa kwenye Group la Whats app lililosema juzi so mnaweza kuwasiliana na muhusika mwenyewe
Kwa facebook ni Arabella Walsh
kwa email ni walsharabella@gmail.com
Note usitoe fedha ya aina yeyote kuanzia visa vyote anashugulikia mama mwenyewe
Kuhusu hoja za mgaka12 nazifatilia kujiridhisha na anachosema kwani si kila kitu alichosema ni chakupuuza
yapo mengine aliyoongea yanamaana sana
Ukiwasiliana naye sema unatokea Tanzania East Africa kwani kuna wengine hawajui Tanzania inapatikana wapi
anzeni kwenye Facebook account yake
Nimeshawasiliana nae,kasema ana watoto wawili kwangu haina shidaKuhusu wanaouliza kazi za NZ hasa za Udereva na Nanny
Nanny anaitajika ni mwanamke au msichana
Dereva ni wakiume au mwanaume
Tangazo hili la kazi limetumwa kwenye Group la Whats app lililosema juzi so mnaweza kuwasiliana na muhusika mwenyewe
Kwa facebook ni Arabella Walsh
kwa email ni walsharabella@gmail.com
Note usitoe fedha ya aina yeyote kuanzia visa vyote anashugulikia mama mwenyewe
Kuhusu hoja za mgaka12 nazifatilia kujiridhisha na anachosema kwani si kila kitu alichosema ni chakupuuza
yapo mengine aliyoongea yanamaana sana
Ukiwasiliana naye sema unatokea Tanzania East Africa kwani kuna wengine hawajui Tanzania inapatikana wapi
anzeni kwenye Facebook account yake
Safi sana Shyshii.Nimeshawasiliana nae,kasema ana watoto wawili kwangu haina shida
So nimetuma scanned passport na CV yngu so nasubiri kuckia kutoka kwake
Thanks izzo maisha popote,Yes nina degree lakini ramani hazisomi ngoja nijitoe muhanga mimi.
Wacha tuende kwa njia yoyote naamini njia za kufanikiwa hazifanani ngoja nijaribu huku kwanza.Safi sana Shyshii.
Wazo zuri sana Mkuu Saidy Hamidu.Kwakuwa hii inshu ni yamuhimu sana sana kwetu na kwako na kwakuwa kweli hatujuani na mada ulioileta ya kutusaidia ndugu zako tumeikubali na kuipokea kwa mikono miwili mimi binafsi nilikuwa na wazo kwamba kwawale wote walioomba kuhost wageni ambao wewe unajidhamini ili tuu kuhakikasha unatusaidia ndugu zako mimi nafikiri tuanzishe utaratibu wakujuana kwanza kwa mfano tuliopo dar tunaweza kukutana na kujuana then tukatoa mrejesho wanamna tulivyoonana na hata kama mtu hana sifa kundi hilo hapo hapo litatoa jibu kwani mtu ukimuona tuu unaweza pata picha kama ni mvutaji mambo flan au vip hata maongezi pia yanatoa picha halis ya muhusika napia wamikoani nao watafanya hivyo pia lengo nikutoa mrejesho wa uhakika na kutokuwa na hofu zaidi napia kuwa na uongoz flan wa kuwachek hawa wenyeji watakaopokea wageni hao ni mawazo yangu wakuu nawakilisha.