moureen mwakibinga
Member
- Jun 17, 2014
- 17
- 8
Mkuu izzo tafadhari usife moyo kwa maneno ya huyu mtu.. Unajua mahala penye mafanikio shetan nae hujiinua na huleta maneno ya hofu ili tu kumkatisha mtu tamaa asifikie mafanikio.. Maybe kwa ushauri tu anza na watu wenye passport na upate evidence ya maisha ya kila mtu... Na uweke utaratibu wa kupata hata info kutoka kwa wenyeviti wa mitaa husika nk...Kuhusu wanaouliza kazi za NZ hasa za Udereva na Nanny
Nanny anaitajika ni mwanamke au msichana
Dereva ni wakiume au mwanaume
Tangazo hili la kazi limetumwa kwenye Group la Whats app lililosema juzi so mnaweza kuwasiliana na muhusika mwenyewe
Kwa facebook ni Arabella Walsh
kwa email ni walsharabella@gmail.com
Note usitoe fedha ya aina yeyote kuanzia visa vyote anashugulikia mama mwenyewe
Kuhusu hoja za mgaka12 nazifatilia kujiridhisha na anachosema kwani si kila kitu alichosema ni chakupuuza
yapo mengine aliyoongea yanamaana sana
Ukiwasiliana naye sema unatokea Tanzania East Africa kwani kuna wengine hawajui Tanzania inapatikana wap
anzeni kwenye Facebook account yake
Napenda sana Watu wa namna yako,Asante kwa kuniombea,nikifanikiwa nataka nimuone mkuu izzo kwa macho yaani mubashara[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hongera sana Shyshii,kila la heri !Mrejesho wapendwa
Nilipo tumbo la kuendesha limenipata,ananitaka niwe New Zealand tarehe 30 mwezi huu
Anasema mimi nishulikie visa kuhusu travel ticket ni yeye ushauri please
Izzo njoo huku
Mwambie akutumie invitation letter, then ukienda Migration fasta wanakupa Passport( kama huna) then unafanya maswala ya visa ubalozini, easy unang'oa,,,, kama nitakuwa nimekosea wakuu watakuja kunicorectMrejesho wapendwa
Nilipo tumbo la kuendesha limenipata,ananitaka niwe New Zealand tarehe 30 mwezi huu
Anasema mimi nishulikie visa kuhusu travel ticket ni yeye ushauri please
Izzo njoo huku
Mrejesho wapendwa
Nilipo tumbo la kuendesha limenipata,ananitaka niwe New Zealand tarehe 30 mwezi huu
Anasema mimi nishulikie visa kuhusu travel ticket ni yeye ushauri please
Izzo njoo huku
Kila lililo la kheri Shishii. Mwambie akutumie invitation Letter kisha kama upo Dar es Salaam nenda hapo Kurasini wakutengenezee Pass port haraka. Baada ya hapo uende Ubalozi wao wakupatie Visa. Kama anaweza atume taarifa zako Ubalozi wao hapa nchini ili iwe ishu rahisi kwako.Mrejesho wapendwa
Nilipo tumbo la kuendesha limenipata,ananitaka niwe New Zealand tarehe 30 mwezi huu
Anasema mimi nishulikie visa kuhusu travel ticket ni yeye ushauri please
Izzo njoo huku
Ohoo si unaona hapa tunajifunza hata procedures! Hebu ngoja tuone wengine wanasemaje? Bt nahisi huyo muhitaji hana budi kumuita kwa docus maalum ili huyu dada aitumie kama sbabu ya kuombea ruhusa ya kuishi (visa) huko aendako.Yeye ndio inabidi akupe documents za kukusaidia kupata viza. Asipokupa documents zozote za kuonesha kuwa tayari kukuajiri na uwezo wake wa kukulipa huwezi kupata viza.
Thanks anasema ananitumia contract letterMwambie akutumie invitation letter, then ukienda Migration fasta wanakupa Passport( kama huna) then unafanya maswala ya visa ubalozini, easy unang'oa,,,, kama nitakuwa nimekosea wakuu watakuja kunicorect
Hakika aliye juu MUUMBA atukuzwe. Tuliza akili Shyshii. Kila kitu kina kwenda bila tatizo. Vyote utafanikiwa. Shukrani sana Mkuu Izzo.Mrejesho wapendwa
Nilipo tumbo la kuendesha limenipata,ananitaka niwe New Zealand tarehe 30 mwezi huu
Anasema mimi nishulikie visa kuhusu travel ticket ni yeye ushauri please
Izzo njoo huku
Go Shyshii...Thanks anasema ananitumia contract letter
Namjibu hapa ili anitumie
Safi sana. Go mkuu...Amesema ananitumia ili niende ubalozi wao
Saafi sana mungu akutangulie utafanikiwaHongera sana Shyshii,kila la heri !
Thanks passport ninayo,labda hizo documents zicheleweKila lililo la kheri Shishii. Mwambie akutumie invitation Letter kisha kama upo Dar es Salaam nenda hapo Kurasini wakutengenezee Pass port haraka. Baada ya hapo uende Ubalozi wao wakupatie Visa. Kama anaweza atume taarifa zako Ubalozi wao hapa nchini ili iwe ishu rahisi kwako.
Changamka kidogo. Siku nane ni chache sana.
Mungu akubariki. Usisahau kunitafutia kazi ya kuchunga.