Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Asante kwa thread nzur sina uzoefu wowte ule but kwa jinsi nilivofuatilia kwa makin njia rahic ni 2 tu 1.kupata mwenza uko akualike 2.kwa njia ya masomo japo ni vry expensive labda upate sponsor nchi za kwenda kwanza ni canada,australia,ujeruman japo kodi yao ni kubwa kwa asia japan na south korea but unahitaj kujua lugha yao ili ufanyekaz uko pia singapore
 
Kuhusu wanaouliza kazi za NZ hasa za Udereva na Nanny

Nanny anaitajika ni mwanamke au msichana

Dereva ni wakiume au mwanaume

Tangazo hili la kazi limetumwa kwenye Group la Whats app lililosema juzi so mnaweza kuwasiliana na muhusika mwenyewe

Kwa facebook ni Arabella Walsh
kwa email ni walsharabella@gmail.com

Note usitoe fedha ya aina yeyote kuanzia visa vyote anashugulikia mama mwenyewe

Kuhusu hoja za mgaka12 nazifatilia kujiridhisha na anachosema kwani si kila kitu alichosema ni chakupuuza
yapo mengine aliyoongea yanamaana sana

Ukiwasiliana naye sema unatokea Tanzania East Africa kwani kuna wengine hawajui Tanzania inapatikana wap

anzeni kwenye Facebook account yake
Mkuu izzo tafadhari usife moyo kwa maneno ya huyu mtu.. Unajua mahala penye mafanikio shetan nae hujiinua na huleta maneno ya hofu ili tu kumkatisha mtu tamaa asifikie mafanikio.. Maybe kwa ushauri tu anza na watu wenye passport na upate evidence ya maisha ya kila mtu... Na uweke utaratibu wa kupata hata info kutoka kwa wenyeviti wa mitaa husika nk...
 
Mrejesho wapendwa
Nilipo tumbo la kuendesha limenipata,ananitaka niwe New Zealand tarehe 30 mwezi huu
Anasema mimi nishulikie visa kuhusu travel ticket ni yeye ushauri please
Izzo njoo huku
Mwambie akutumie invitation letter, then ukienda Migration fasta wanakupa Passport( kama huna) then unafanya maswala ya visa ubalozini, easy unang'oa,,,, kama nitakuwa nimekosea wakuu watakuja kunicorect
 
Mrejesho wapendwa
Nilipo tumbo la kuendesha limenipata,ananitaka niwe New Zealand tarehe 30 mwezi huu
Anasema mimi nishulikie visa kuhusu travel ticket ni yeye ushauri please
Izzo njoo huku

Yeye ndio inabidi akupe documents za kukusaidia kupata viza. Asipokupa documents zozote za kuonesha kuwa tayari kukuajiri na uwezo wake wa kukulipa huwezi kupata viza.
 
Mrejesho wapendwa
Nilipo tumbo la kuendesha limenipata,ananitaka niwe New Zealand tarehe 30 mwezi huu
Anasema mimi nishulikie visa kuhusu travel ticket ni yeye ushauri please
Izzo njoo huku
Kila lililo la kheri Shishii. Mwambie akutumie invitation Letter kisha kama upo Dar es Salaam nenda hapo Kurasini wakutengenezee Pass port haraka. Baada ya hapo uende Ubalozi wao wakupatie Visa. Kama anaweza atume taarifa zako Ubalozi wao hapa nchini ili iwe ishu rahisi kwako.

Changamka kidogo. Siku nane ni chache sana.

Mungu akubariki. Usisahau kunitafutia kazi ya kuchunga.
 
Yeye ndio inabidi akupe documents za kukusaidia kupata viza. Asipokupa documents zozote za kuonesha kuwa tayari kukuajiri na uwezo wake wa kukulipa huwezi kupata viza.
Ohoo si unaona hapa tunajifunza hata procedures! Hebu ngoja tuone wengine wanasemaje? Bt nahisi huyo muhitaji hana budi kumuita kwa docus maalum ili huyu dada aitumie kama sbabu ya kuombea ruhusa ya kuishi (visa) huko aendako.
 
Mrejesho wapendwa
Nilipo tumbo la kuendesha limenipata,ananitaka niwe New Zealand tarehe 30 mwezi huu
Anasema mimi nishulikie visa kuhusu travel ticket ni yeye ushauri please
Izzo njoo huku
Hakika aliye juu MUUMBA atukuzwe. Tuliza akili Shyshii. Kila kitu kina kwenda bila tatizo. Vyote utafanikiwa. Shukrani sana Mkuu Izzo.
 
Wale wote mioyo ya husda, chuki na wivu wa watu kufanikiwa wanaanza kuaibika sasa. Uzi ushaanza kuonyesha mafanikio baada ya Mwenzetu Shyshii kufanikiwa.

Na wengine hii iwe insipiration kwenu. Usikate tamaa, pigana na kuwa na tumaini kuwa kama siyo leo wala kesho, amini ipo siku yako pia.

Mungu aendelee kutuwezesha.
 
Kila lililo la kheri Shishii. Mwambie akutumie invitation Letter kisha kama upo Dar es Salaam nenda hapo Kurasini wakutengenezee Pass port haraka. Baada ya hapo uende Ubalozi wao wakupatie Visa. Kama anaweza atume taarifa zako Ubalozi wao hapa nchini ili iwe ishu rahisi kwako.

Changamka kidogo. Siku nane ni chache sana.

Mungu akubariki. Usisahau kunitafutia kazi ya kuchunga.
Thanks passport ninayo,labda hizo documents zichelewe
 
Back
Top Bottom