hongera ila ninavyojua ili upate visa kiurahisi yeye angekuandikia barua ya mwalikoMrejesho wapendwa
Nilipo tumbo la kuendesha limenipata,ananitaka niwe New Zealand tarehe 30 mwezi huu
Anasema mimi nishulikie visa kuhusu travel ticket ni yeye ushauri please
Izzo njoo huku
Tunao wawili ambao had sasa wako kwenye struglling process, kavel na shyshii >>> duniani watu wote waliothubutu kutenda hawajawah kubaki pale pale walipoanzia.Wale wote mioyo ya husda, chuki na wivu wa watu kufanikiwa wanaanza kuaibika sasa. Uzi ushaanza kuonyesha mafanikio baada ya Mwenzetu Shyshii kufanikiwa.
Na wengine hii iwe insipiration kwenu. Usikate tamaa, pigana na kuwa na tumaini kuwa kama siyo leo wala kesho, amini ipo siku yako pia.
Mungu aendelee kutuwezesha.
All the bestMrejesho
Jamani wapendwa maongezi yetu yamefikia hapa kati yangu Arabella anayetaka nannyView attachment 484243
Thanks anasema ananitumia contract letter
Namjibu hapa ili anitumie
Mrejesho wapendwa
Nilipo tumbo la kuendesha limenipata,ananitaka niwe New Zealand tarehe 30 mwezi huu
Anasema mimi nishulikie visa kuhusu travel ticket ni yeye ushauri please
Izzo njoo huku
How can you tel me to leave thread Friends show their love in times of trouble, not in happiness. Nyinyi mnaonyesha upendo now, but siku yakitokea matatizo watoto wa watu wamekabwa na kuibiwa au kubakwa na mijtu fake hapa wote mtakimbia na kuchange id brother izzo mimi nakwambia naona umeshaanza but utajuta nipo radhi kuja inbox kwako na kukuonyesha id zangu tutambuane hili ujue kile ninachokisema nakifahamu niruhusu nijeHivi wewe mbwa unatutaka nini???
Watu maisha ya bongo yametuchosha tunapanga namna ya kusepa unatuletea ujinga sie...
Please leave our thread
Ushauri mzuri kabisa huu. Shukrani sana Mkuu Richard.Hongera sana Shyshii kwa kufanikiwa kupata mwajiri nchini New Zealand.
Ni matumaini yangu kwamba utakwenda kufurahia kazi yako mpya na kupata nafasi ya kujifunza kutoka majuu.
Mwanzoni upata changamoto kutoka kwa wazazi na watoto lakini ni hatua za mwanzo za kuzoeana na kujengeana uaminifu.
Kumbuka hiyo ndiyo nafasi ya pekee kwa wewe kuweza kuelekea kupata viza ya kudumu nchini humo, hivyo itumie ipasavyo.
Pia ukumbuke kutafuta chuo usome kozi yoyote ambayo itakupa mwanya na njia pana ya kupata kazi zingine khasa baada ya kupata "permanent residence".
Good luck.
Best wishes ShyshiiMrejesho wapendwa
Nilipo tumbo la kuendesha limenipata,ananitaka niwe New Zealand tarehe 30 mwezi huu
Anasema mimi nishulikie visa kuhusu travel ticket ni yeye ushauri please
Izzo njoo huku
Amekutumia invitation letter? Kama ndiyo ni kitu simple tu mkuu!!Mrejesho wapendwa
Nilipo tumbo la kuendesha limenipata,ananitaka niwe New Zealand tarehe 30 mwezi huu
Anasema mimi nishulikie visa kuhusu travel ticket ni yeye ushauri please
Izzo njoo huku
kila la kheri,Naanza process za visa wapendwa uwiii its a nightmare to me
Saaaana mpaka ajione yeye cho........Eeeh namna hiyo, hapa ni mwendo wa kupuuzwa tu
ndio unaweza tu kuni pmMkuu naweza kuku-PM?
Hahahaha, mkuu kwahali hiyo usingizi hauji usiku unaota upo kwenye pipa mara unataka kutest vyoo unalimwaga kwenye godoro. Unafuraha muda wote yanayoendelea nchini hunahabari nayo.Mrejesho wapendwa
Nilipo tumbo la kuendesha limenipata,ananitaka niwe New Zealand tarehe 30 mwezi huu
Anasema mimi nishulikie visa kuhusu travel ticket ni yeye ushauri please
Izzo njoo huku
Kimbia mkuu. Siku 8 ni chache mno. Kimbia mkuu. Tunakuombea kheri.Naanza process za visa wapendwa uwiii its a nightmare to me