Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Wale wote mioyo ya husda, chuki na wivu wa watu kufanikiwa wanaanza kuaibika sasa. Uzi ushaanza kuonyesha mafanikio baada ya Mwenzetu Shyshii kufanikiwa.

Na wengine hii iwe insipiration kwenu. Usikate tamaa, pigana na kuwa na tumaini kuwa kama siyo leo wala kesho, amini ipo siku yako pia.

Mungu aendelee kutuwezesha.
Tunao wawili ambao had sasa wako kwenye struglling process, kavel na shyshii >>> duniani watu wote waliothubutu kutenda hawajawah kubaki pale pale walipoanzia.
 
Thanks anasema ananitumia contract letter
Namjibu hapa ili anitumie

Hongera sana Shyshii kwa kufanikiwa kupata mwajiri nchini New Zealand.

Ni matumaini yangu kwamba utakwenda kufurahia kazi yako mpya na kupata nafasi ya kujifunza kutoka majuu.

Mwanzoni upata changamoto kutoka kwa wazazi na watoto lakini ni hatua za mwanzo za kuzoeana na kujengeana uaminifu.

Kumbuka hiyo ndiyo nafasi ya pekee kwa wewe kuweza kuelekea kupata viza ya kudumu nchini humo, hivyo itumie ipasavyo.

Pia ukumbuke kutafuta chuo usome kozi yoyote ambayo itakupa mwanya na njia pana ya kupata kazi zingine khasa baada ya kupata "permanent residence".

Good luck.
 
Hivi wewe mbwa unatutaka nini???
Watu maisha ya bongo yametuchosha tunapanga namna ya kusepa unatuletea ujinga sie...

Please leave our thread
How can you tel me to leave thread Friends show their love in times of trouble, not in happiness. Nyinyi mnaonyesha upendo now, but siku yakitokea matatizo watoto wa watu wamekabwa na kuibiwa au kubakwa na mijtu fake hapa wote mtakimbia na kuchange id brother izzo mimi nakwambia naona umeshaanza but utajuta nipo radhi kuja inbox kwako na kukuonyesha id zangu tutambuane hili ujue kile ninachokisema nakifahamu niruhusu nije

thanx KikulachoChako kwa kuheshimu kile nikisemacho
 
Hongera sana Shyshii kwa kufanikiwa kupata mwajiri nchini New Zealand.

Ni matumaini yangu kwamba utakwenda kufurahia kazi yako mpya na kupata nafasi ya kujifunza kutoka majuu.

Mwanzoni upata changamoto kutoka kwa wazazi na watoto lakini ni hatua za mwanzo za kuzoeana na kujengeana uaminifu.

Kumbuka hiyo ndiyo nafasi ya pekee kwa wewe kuweza kuelekea kupata viza ya kudumu nchini humo, hivyo itumie ipasavyo.

Pia ukumbuke kutafuta chuo usome kozi yoyote ambayo itakupa mwanya na njia pana ya kupata kazi zingine khasa baada ya kupata "permanent residence".

Good luck.
Ushauri mzuri kabisa huu. Shukrani sana Mkuu Richard.
 
Mrejesho wapendwa
Nilipo tumbo la kuendesha limenipata,ananitaka niwe New Zealand tarehe 30 mwezi huu
Anasema mimi nishulikie visa kuhusu travel ticket ni yeye ushauri please
Izzo njoo huku
Hahahaha, mkuu kwahali hiyo usingizi hauji usiku unaota upo kwenye pipa mara unataka kutest vyoo unalimwaga kwenye godoro. Unafuraha muda wote yanayoendelea nchini hunahabari nayo.

Epuka kuvuka barabara pekeyako unaweza kugongwa manake kimwili upo tz ila kiakili ushafika New Zealand

MUNGU akuongoze kamanda
 
Back
Top Bottom