Jiulize kwa nini asiajiri mtu ambaye yupo New Zealand tayari. Nchi zilizoendelea kuna kima cha chini cha mshahara, hawezi kuchukua mtu wa nje ya nchi awe cheap labor.Kingine anasema mara ya mwisho alimwajiri dereva so akalipa dollar 350 hivi kupata visa na kila kitu alifanya yeye
Kama nilivyosema mwanzo usitoe hata sh 10 tuma hzo contact alizokutumia nitumie PM coz hilo Tangazo limekuja juzi kwenye Whats appAmesema hata akituma hawatakubali
Alishafanya hivyo ila huwa zina decline, so anatumia ma agent wa huko huko
We nenda nae sawa tu ila kwenye payments vuta mguu nyuma.Kweli vile hakipo sawa kabisa
Halafu hata kwenye email aliyoandika let's wait and see
Maisha yalivyo magumu nani akurupuke kutuma hela
Naamani hakuna kitakachoharibika humu.
Ila nashauri mwingine nae ajaribu tuone atamwambia nini?
Hongera mkuu, amini tayari umefanikiwa ndani ya NZMrejesho
Jamani wapendwa maongezi yetu yamefikia hapa kati yangu Arabella anayetaka nannyView attachment 484243
Tuko pamoja mkuu, no surrender[emoji4] [emoji4] [emoji4]Akyanani wakuu nimefuatilia discussions tofauti kwenye nyuzi ya siasa nkatafakari kwa yanayotokea hapa bongoland imebidi nirudi hapa maana pananipa hata tumaini la kuiwaza kesho yangu
WAKUU YAANI HATA IKIPATIKANA KAZI YA HOUSEBOY AU SHAMBA BOY HUKO MAJUU TUSHTUANE TUU TUKALIPUKE.
Mungu akutangulie Shyshii
cc wiseboy
Daby
Kirikou
Dr Adam
Mriko
Lusango
Na wakuu wenzangu wote
No give up, NZ visa yao ni $ ngapi??Mrejesho wapendwa
Nilipo tumbo la kuendesha limenipata,ananitaka niwe New Zealand tarehe 30 mwezi huu
Anasema mimi nishulikie visa kuhusu travel ticket ni yeye ushauri please
Izzo njoo huku
Green paper anayo tyr ni invitation letter hapo nadhani muhimuMwambie akutumie invitation letter, then ukienda Migration fasta wanakupa Passport( kama huna) then unafanya maswala ya visa ubalozini, easy unang'oa,,,, kama nitakuwa nimekosea wakuu watakuja kunicorect
Jamani eeeh nahisi ni matapeliNdio, hela yao inaitwa dola pia. Sio ya Kimarekani lakini.
Green paper anayo tyr ni invitation letter hapo nadhani muhimuMwambie akutumie invitation letter, then ukienda Migration fasta wanakupa Passport( kama huna) then unafanya maswala ya visa ubalozini, easy unang'oa,,,, kama nitakuwa nimekosea wakuu watakuja kunicorect
Utaratibu wote fanya kwa uangarifu mkubwa sana No kutoa hela yeyote kila kitu afanye mwenyewe kama nilivyosema kwenye TangazoMrejesho wapendwa
Nilipo tumbo la kuendesha limenipata,ananitaka niwe New Zealand tarehe 30 mwezi huu
Anasema mimi nishulikie visa kuhusu travel ticket ni yeye ushauri please
Izzo njoo huku
Hahaha, mkuu itabidi akufanyie hata ya kuchunga kondoo wa merinoKila lililo la kheri Shishii. Mwambie akutumie invitation Letter kisha kama upo Dar es Salaam nenda hapo Kurasini wakutengenezee Pass port haraka. Baada ya hapo uende Ubalozi wao wakupatie Visa. Kama anaweza atume taarifa zako Ubalozi wao hapa nchini ili iwe ishu rahisi kwako.
Changamka kidogo. Siku nane ni chache sana.
Mungu akubariki. Usisahau kunitafutia kazi ya kuchunga.
anapigwa mtu hapa[emoji15]Usingechoma mkuu.... Ungetafuta msaada zaidi... Kama bado unahotaji passport naweza kukusaidia ukaipata.
Wakuu Kaveli n shyshi watakua references soonHakika aliye juu MUUMBA atukuzwe. Tuliza akili Shyshii. Kila kitu kina kwenda bila tatizo. Vyote utafanikiwa. Shukrani sana Mkuu Izzo.
Mkuu unamaanisha nini hapa ?anapigwa mtu hapa[emoji15]
Naomba na mimi nishukuru pia mkuu [emoji4] [emoji4] [emoji4]Hongera sana Shyshii kwa kufanikiwa kupata mwajiri nchini New Zealand.
Ni matumaini yangu kwamba utakwenda kufurahia kazi yako mpya na kupata nafasi ya kujifunza kutoka majuu.
Mwanzoni upata changamoto kutoka kwa wazazi na watoto lakini ni hatua za mwanzo za kuzoeana na kujengeana uaminifu.
Kumbuka hiyo ndiyo nafasi ya pekee kwa wewe kuweza kuelekea kupata viza ya kudumu nchini humo, hivyo itumie ipasavyo.
Pia ukumbuke kutafuta chuo usome kozi yoyote ambayo itakupa mwanya na njia pana ya kupata kazi zingine khasa baada ya kupata "permanent residence".
Good luck.