View attachment 484370 View attachment 484367
Nimeona hili Tangazo limekuja juzi kuna jamaa wa AU alilituma but alituambia tuwe makini kwani ya yeye bado ajaliverify so alitoa angalizo na mm pia nilitoa angalizo kuwa usitoe hela yeyote kila kitu ashugulikie mwenyewe
JANA nilikuwa nawasiliana na Agent mmoja yuko Ujerumani nadhani nitatembelea office yake wiki hii yeye anafanya kazi na kampuni za ujenzi za Ujerumani na Canada mara nying anafanya na Wahindi na wapakistan wanatakiwa watu 50 kwa Project za Canada na Ujerumani So nikamshawishi kufanya kazi na Waafrica japo alikuwa na wasiwasi wa utendaji kazi wa Waafrica lakini tulielewana na kupanga ahadi ya kukutana ofisini kwake so nitakwenda kumtembelea maana vitu vingine tumekuwa waoga sana kujihushisha navyo hasa hapa jukwaani tunakijuta tunajiuliza mara mbili mbili