Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Mrejesho wapendwa
Nilipo tumbo la kuendesha limenipata,ananitaka niwe New Zealand tarehe 30 mwezi huu
Anasema mimi nishulikie visa kuhusu travel ticket ni yeye ushauri please
Izzo njoo huku
Simple work with it bro... usikwame jamaa... akupe andiko la kuombea visa tu uanze mchakato alafu akutumie hiyo tkt... kama kuna wengine wakukupa ushauri bt mwambie akupe hiyo doc ili ikusapotu katk kuomba visa mzee...
 
Nitoe kisa kiliwahi nipata Mimi. Kuna jamaa mmoja anaishi Japan, ila ni mtanzania. Yeye ana ukurasa FB, anasema anauza magari, spare, Laptop na vitu vingine vingi sana. Yaani chochote utakacho, anakuletea. Kwa makubaliano ya wewe kuweka pesa bank kwenye account yake ya CRDB. Unaweka nusu, kisha nusu utamalizia mzigo ukifika. Na ana ofisi yake hapa Tz.
 
Mwambie akutumie invitation letter, then ukienda Migration fasta wanakupa Passport( kama huna) then unafanya maswala ya visa ubalozini, easy unang'oa,,,, kama nitakuwa nimekosea wakuu watakuja kunicorect
vitu kama hivi ndio mjinga mmoja anakuja kutupinga na uzi huu... chamsingi kabla haujasepa mlio njee mpeni msasa jamaa ajue kuishi na watasha hasije akaaribu Tanzania ikashindwa aminika... maana tupo ktk mpango kabambe wa kuisafisha kimataifa...
 
Kwenye Group hakuna Scammers hata kidogo narudia tena hakuna scammers hata kido ila aliyeleta Tangazo hilo yuko AU si NZ na wakati analiweka alisema kwamba bado ajali verify alisema mapema kabisa na mm wakati naliweka hapa nikaweka angalizo tena kuwa kusitoke hata shiling 100 kila kitu afanye mwenyewe

Nimemwabia huyo dada anitumie mawasiliano waliyomtumia then mm najua ntafanya nini lakini bdo ajanitumia
Ahsante mkuu, ila cha msingi ulitoa angalizo mapema kabisa.
 
Yeah thanks
Mkuu hao watu huwa nakutana nao sana hata kwenye kuomba scholarship, na wengine wa Nigeria kuhusu cjui kafiwa na wazazi wote so hakunipa shida
Ila Kingine they are so fasta km haupo makini unaliwa kweli ila ukisoma email na ukiconnect dots unajua kabisa hapa ni uongo
Walinipigia nikaanza kumuuliza huyo agent wacha aanze kujikanyaga
Nikabaki nacheka tuu
Ila sijakata tamaa nita apply tena na tena
Mkuu izzo a nataka mawasiliano na wewe embu mdikilize haraka kwanza
 
Hongera sana Shyshii kwa kufanikiwa kupata mwajiri nchini New Zealand.

Ni matumaini yangu kwamba utakwenda kufurahia kazi yako mpya na kupata nafasi ya kujifunza kutoka majuu.

Mwanzoni upata changamoto kutoka kwa wazazi na watoto lakini ni hatua za mwanzo za kuzoeana na kujengeana uaminifu.

Kumbuka hiyo ndiyo nafasi ya pekee kwa wewe kuweza kuelekea kupata viza ya kudumu nchini humo, hivyo itumie ipasavyo.

Pia ukumbuke kutafuta chuo usome kozi yoyote ambayo itakupa mwanya na njia pana ya kupata kazi zingine khasa baada ya kupata "permanent residence".

Good luck.
Hapa najua akifanya kazi kwa ufasaha na muajiri akipenda kazi yake hatashindwa kumuendeleza kimasomo... wazungu sio kama [HASHTAG]#brita[/HASHTAG]....
 
Daby
Dr Adam
Lusango
Kirikou
Shyshi
Stunner
Compact
Dr adam
Wiseboy
Mriko

DONT EXPECT TOO MUCH ILA NIMEVUNJIKA MOYO SANA KUONA SCREENSHOT ZA DADA SHYSHI YAANI HAWA JAMAA WANALETA MAZINGIRA YA UTAPELI WANAPOELEKEA ILA KWAKUWA IZZO KASEMA PESA ISITOLEWE NA SISI TUMSHAURI VIZURI NA KUMSIHI KABISA ASITOBOKE MFUKONI.

lastly naimani mpaka sasa tumejifunza kitu. Tumepata elimu kwa mambo ambayo tumechangia naimani kila mtu sasa anayo ABC ya njia za kutumika kufanikisha malengo binafsi kwa kwenye Nia ya kisaidia naomba wasichoke watusaidie tu na wale ambao malengo yao ni kututapeli wajue kabisa hapa haitawezekana na pili hatuna pesa za kutapeliwa tunajielewa na tunajitambua tunataka nini..

MWISHO INAKATISHA TAMAA ILA WAKUU TUPAMBANE, TUJIONGEZE KWA ABC TULIZOZIPATA THEN MAJILIWA MUNGU YUPO NASI.

Shyshi naaisitiza pesa usitoe Dada yangu, mkuu Izzo ameonya.

Nukuu kutoka kwa posti ya Izzo" HIZI NAFASI ALISEMA AMEZIPATA KWENYE GROUP LA WHATSAP"
SASA INAWEZEKANA HAPO KUNA SCAMMERS. UWEZEKANO UPO LAKINI TUSIJUDGE .....ILA UWEZEKANO NI MKUBWA
Mkuu una vibrate na kitu kidoogo hicho! Mbona sio big deal, uzuri kwamba uzi uko open sana kwa kila hatua, hiyo ni faida moja wapo.
 
Mwenyewe napata wasiwasi ila amesema alhamisi atanitumia mkataba wa kazi

Hongera sanaaaaa tu.Tafadhali usianike mkataba jukwaani.waPM Izzo,Lusungo Na wahusika ili kukuondolea mtihani.
 
Jamani eeeh nahisi ni matapeli
Nawatumieni email sasa hivi ya uongo balaah
It's hard to tell who has your back, from who has it long enough just to stab you in it.... izzo tunataka majibu ya hili hahahahahahahahahaha now u gat my point
 
Mkuu una vibrate na kitu kidoogo hicho! Mbona sio big deal, uzuri kwamba uzi uko open sana kwa kila hatua, hiyo ni faida moja wapo.
Nishatulia hapa mkuu...nimepiga kama glass tatu za maji baridi naona vibration zimekataa, asee kama una hasira au umekwazika embu kunywa hata glass mbili za maji.
 
Daby
Dr Adam
Lusango
Kirikou
Shyshi
Stunner
Compact
Dr adam
Wiseboy
Mriko

DONT EXPECT TOO MUCH ILA NIMEVUNJIKA MOYO SANA KUONA SCREENSHOT ZA DADA SHYSHI YAANI HAWA JAMAA WANALETA MAZINGIRA YA UTAPELI WANAPOELEKEA ILA KWAKUWA IZZO KASEMA PESA ISITOLEWE NA SISI TUMSHAURI VIZURI NA KUMSIHI KABISA ASITOBOKE MFUKONI.

lastly naimani mpaka sasa tumejifunza kitu. Tumepata elimu kwa mambo ambayo tumechangia naimani kila mtu sasa anayo ABC ya njia za kutumika kufanikisha malengo binafsi kwa kwenye Nia ya kisaidia naomba wasichoke watusaidie tu na wale ambao malengo yao ni kututapeli wajue kabisa hapa haitawezekana na pili hatuna pesa za kutapeliwa tunajielewa na tunajitambua tunataka nini..

MWISHO INAKATISHA TAMAA ILA WAKUU TUPAMBANE, TUJIONGEZE KWA ABC TULIZOZIPATA THEN MAJILIWA MUNGU YUPO NASI.

Shyshi naaisitiza pesa usitoe Dada yangu, mkuu Izzo ameonya.

Nukuu kutoka kwa posti ya Izzo" HIZI NAFASI ALISEMA AMEZIPATA KWENYE GROUP LA WHATSAP"
SASA INAWEZEKANA HAPO KUNA SCAMMERS. UWEZEKANO UPO LAKINI TUSIJUDGE .....ILA UWEZEKANO NI MKUBWA
Yap yap comrade, naamini pia mkuu
 
Mkuu kwani akiweka mkataba hapa jf kuna mtu atamwibia mkataba wake?

Hawezi kuweka mkataba hapa JF kwani ni kati yake yeye na mwajiri wake.

Cha msingi ni kuwa makini na wale waajiri watarajiwa na khasa kutoka Afrika magharibi ambao wanaweza kujiweka mtandaoni kama vile ni "genuine case" kumbe ni "scam".

Hata kama ni mzungu pia ni muhimu kuwa makini katika "stage" zote.

Unapoanza "Process" nzima ya viza na ubalozi ndiyo unakuwa angalau una uhakika wa huyo mtu.
 
Kabisa mkuu.
 
Back
Top Bottom