Guyz labda niweke Wazi hapa Hope mnaweza Nisaidia sana Na ninashukuru wote nilo wafuata PM na mkanisaidia kunishauri!! THANKX sana Dada SEGITO wa SA kwa kunisaidia na Kuonesha nia ya kuendelea kunisaidia nitaendelea kuongea nawe kwa msaada zaidi
Lakini kupitia huu uzi nimeamua kuweka wazi ili watu wanisaidie Please nakuombeni sanaa msaada wenu!
Mm ninasoma RADIOLOGY hapa Tanzania na Hapa kwetu Radiology (MRI,PLAIN X-RAY,CT SCAN,ULTRASOUND,NEUCLEAR IMAGING,MAMMOGRAPHY,) HAPA Tanzania kwa wano Jua ni kuwa Hamna DEGREE ya hichi kitu.....hapa Tanzania kuna DIPLOMA tuuu! sasa wenye degree ya DIAGNOSTIC RADIOGRAPHY HAPA TANZANIA NI WA KUHESABU i mean ni wachache sanaaa tena sanaaaaa kuliko kozi nyingine yoyote hapa nchini!!
Wengi wanachukua Bachelor KENYA,UGANDA NA SA! sasa kupitia huu uzi huenda watu wakanisaidia nami Niweze kupata BACHELOR ya DIAGNOSTIC RADIOGRAPHY nchi nyingine yoyote ilee iwe SA,KENYA,UGANDA au nchi nyingine yoyote ile!!! Lengo niweze kufanikisha kupata Bachelor! ......Before nilijua SA ni gharama ndogo kusoma na Nigeweza lakini kadri siku zinavyokwenda na ninavyo haha kutafuta huku na kule naambiwa SA ni gharama sanaa!! Bado sijakata Tamaa naamini ndoto yangu itatimia kusoma nje ya Tanzania Kupita huu uzi!!
Mwezi wa 8 Ninamaliza hvyo ningependa kuunganisha either mwezi wa 9 hadi wa 12 au mwanzoni mwa mwaka 2018 sipendi sanaaaaaa kukaa mda mrefuuu mtaani naweza poteza ndoto zanguu!!!
So nipo hapa kuomba ushauri wenu wa Kimawazo,kimatendo hata kwa ushauri nini nifanye niweze kufanikisha ndotoo hiii iwe kwa sponsorship,scholarship au njia nyingine yoyote ilee kikubwaa Nisome Bachelor ya DIAGNOSTIC RADIOGRAPHY
kwa kuanza na kwa kutegemea makubwa katika huu uzi naomba nishie hapo na Ni SUBIRI HUOO MSAADAA please yeyote yule anaeweza nishauri chochote kitasaidia
Cc Daby,Izzo,lusungo na wengine pleaseee nategemea comment zenu katika hiliii please