Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Binafsi naona hata kumjibu ni najisi tu.... Hawa watu kujibizana nao ni kuwapa mileage tu...

Kuna watu zaidi ya 50 sijawajibu PMs zao so i know what i do....

Unakuta unajibizana na mtu anaemiliki smartphone tu hata passport haijui rangi yake....

Mkuu tunza heshima yako hao mbwa achana nao na wala usiache kusaidia wengine kwaajili yao... Usisalimu amri kwa wapumbavu hata siku moja.
Heshima ya mtu ni kitu kikubwa sana siwezi kukubali kupoteza heshima yangu hapa no siwezi mkuu neno tapeli ni kubwa sana wakati ujawai kuchukua hata sh 10 ya mtu si sawa hata kidogo mkuu
 
Heshima ya mtu ni kitu kikubwa sana siwezi kukubali kupoteza heshima yangu hapa no siwezi mkuu neno tapeli ni kubwa sana wakati ujawai kuchukua hata sh 10 ya mtu si sawa hata kidogo mkuu
Mkuu ktk maisha inategemea unatukanwa na nani.... Yaani mtu mjinga ana ku provoke simply hivyo?

Kususa ni kumpa ushindi mkuu, mtu hakujui hata sura wala humjui akuumize akili? Tena kwa hizi anonymous IDs unaweza bishana hata na vitoto vya form four....

Binafsi sijibizani nao nawapuuza nawaachia Invisible Moderator Paw Cookie wafanye kazi yao
 
Binafsi naona hata kumjibu ni najisi tu.... Hawa watu kujibizana nao ni kuwapa mileage tu...

Kuna watu zaidi ya 50 sijawajibu PMs zao so i know what i do....

Unakuta unajibizana na mtu anaemiliki smartphone tu hata passport haijui rangi yake....

Mkuu tunza heshima yako hao mbwa achana nao na wala usiache kusaidia wengine kwaajili yao... Usisalimu amri kwa wapumbavu hata siku moja.
izzo na lusungo kuna ishu naomba niseme kama mtakubaliana nayo.

Hii ni forum kuna mauza uza mengi. Mfano mdogo tu mimi ninaweza kusajili I'd mpya kuja kuwazingua humu ndani kama nitakuwa na wivu na naona wenzangu wanaenda kufanikiwa. Uzi umetoka mbali saana ila kutoka kwake mbali nitabaki kuyaheshimu maamuzi ya izzo maana ni binadamu pia.

Lakin kama mtaafiki ninachofikiria naombeni kwa wachangiaji ambao wameonekana mwanzo mwa uzi hadi mwishoni mtoke nao nje ya hizi anonymity. Then humu michango itaendelea kama kawaida na hawa mtakao toka nao na kuwapush watakuwa kama reference kwa wasomaji wapya. Hii itasaidia kupunguza hizi blah blah za namna hii. Member waliokuwepo toka mwanzoni mtoke nao nje ya jf.

Hili linachangamoto zake ila ni njia nzuri kurahisisha msaada kwa mhusika. Maana hapa kila mtu akija ana lake.
 
Naomba kuwa Host wa mgeni 1 please kama utahitaji namba nitaku PM
Mkuu uzi uko vizuri sana, na mimi nahtaji kuwa host wa mgeni ata mmoja. swala la lugha siyo tatizo kwangu itapendeza sana nikipata hii nafasi.
 
Binafsi naona hata kumjibu ni najisi tu.... Hawa watu kujibizana nao ni kuwapa mileage tu...

Kuna watu zaidi ya 50 sijawajibu PMs zao so i know what i do....

Unakuta unajibizana na mtu anaemiliki smartphone tu hata passport haijui rangi yake....

Mkuu tunza heshima yako hao mbwa achana nao na wala usiache kusaidia wengine kwaajili yao... Usisalimu amri kwa wapumbavu hata siku moja.
Mimi naomba unijibu my brother
Nimekutumia pm
Tafadhali
Sio samaki wakioza Woote
Usfanye hivyo.
Barikiwa.
 
Embassy of Italy
P.O. Box 2106 - Lugalo Road, 316 - Upangas - Dar es Salaam
Tel. +255 22 2115935/36 - 2123010/11
Commercial Office - Tel / Fax +255 22 2117369
Emergency telephone: +255754 777 701 (emergency calls and after hours)
hours: Monday to Friday: from 08.00 to 15.10 - Wednesday: 08:00 to 16:10
certified Mail:
amb.daressalaam@cert.esteri.it
amb.daressalaam.cons@cert.esteri.it
amb.daressalaam. pass@cert.esteri.it

Ambassador
Roberto Mengoni
Email: segr.dar@esteri.it
Int. 102

chief hii ni full package ya contact zao, in case umekwama kwa website just call them on Hot line. likini mimi iko poa na nipo naifanyia kazi muda huu.

Mkuu Mutasha ,

Just in case ukikwama kabisa kwa sababu ya hiyo lugha, nijulishe tusaidiane kutatua hilo tatizo lako.

Kaka ...
 
Wakuu me naona Uzi uendelee Kama kawaida ,,Kama mpaka hapa tulipo fikia hakuna mtu aliyepigwa kwanini Uzi usiendelee,,wakuu mambo yaende hapa hapa mchana kweupe ,,kufatana pm ndo mbaya kuliko mnavozani ,mambo yaendee hapa hapa sebleni ,
NB; kushirikishana muhimu katika kila hatua kila jambo hapa hapa sio PM
 
lusungo

Huo uamuzi ni wabusara sana. Mkuu kwani watu hata pass hajamiliki akiona wengine wanafanikiwa rohoo zinawatoka utadhani wanachangia hata namna ya kupata visa.
 
Wakuu me naona Uzi uendelee Kama kawaida ,,Kama mpaka hapa tulipo fikia hakuna mtu aliyepigwa kwanini Uzi usiendelee,,wakuu mambo yaende hapa hapa mchana kweupe ,,kufatana pm ndo mbaya kuliko mnavozani ,mambo yaendee hapa hapa sebleni ,
NB; kushirikishana muhimu katika kila hatua kila jambo hapa hapa sio PM
Kabisa mkuu, binafsi nimeamua kutojibu PM kabisa!!
 
Ok naomben ushauriii mimi natafuta zile scholarship za kulipiwa then baadae nakuja kuingia nao mkataba... Coz nilipata scholarship china kusomea udaktari tatizo lilikuja kwenye pesa...
 
Guyz labda niweke Wazi hapa Hope mnaweza Nisaidia sana Na ninashukuru wote nilo wafuata PM na mkanisaidia kunishauri!! THANKX sana Dada SEGITO wa SA kwa kunisaidia na Kuonesha nia ya kuendelea kunisaidia nitaendelea kuongea nawe kwa msaada zaidi

Lakini kupitia huu uzi nimeamua kuweka wazi ili watu wanisaidie Please nakuombeni sanaa msaada wenu!

Mm ninasoma RADIOLOGY hapa Tanzania na Hapa kwetu Radiology (MRI,PLAIN X-RAY,CT SCAN,ULTRASOUND,NEUCLEAR IMAGING,MAMMOGRAPHY,) HAPA Tanzania kwa wano Jua ni kuwa Hamna DEGREE ya hichi kitu.....hapa Tanzania kuna DIPLOMA tuuu! sasa wenye degree ya DIAGNOSTIC RADIOGRAPHY HAPA TANZANIA NI WA KUHESABU i mean ni wachache sanaaa tena sanaaaaa kuliko kozi nyingine yoyote hapa nchini!!

Wengi wanachukua Bachelor KENYA,UGANDA NA SA! sasa kupitia huu uzi huenda watu wakanisaidia nami Niweze kupata BACHELOR ya DIAGNOSTIC RADIOGRAPHY nchi nyingine yoyote ilee iwe SA,KENYA,UGANDA au nchi nyingine yoyote ile!!! Lengo niweze kufanikisha kupata Bachelor! ......Before nilijua SA ni gharama ndogo kusoma na Nigeweza lakini kadri siku zinavyokwenda na ninavyo haha kutafuta huku na kule naambiwa SA ni gharama sanaa!! Bado sijakata Tamaa naamini ndoto yangu itatimia kusoma nje ya Tanzania Kupita huu uzi!!

Mwezi wa 8 Ninamaliza hvyo ningependa kuunganisha either mwezi wa 9 hadi wa 12 au mwanzoni mwa mwaka 2018 sipendi sanaaaaaa kukaa mda mrefuuu mtaani naweza poteza ndoto zanguu!!!

So nipo hapa kuomba ushauri wenu wa Kimawazo,kimatendo hata kwa ushauri nini nifanye niweze kufanikisha ndotoo hiii iwe kwa sponsorship,scholarship au njia nyingine yoyote ilee kikubwaa Nisome Bachelor ya DIAGNOSTIC RADIOGRAPHY

kwa kuanza na kwa kutegemea makubwa katika huu uzi naomba nishie hapo na Ni SUBIRI HUOO MSAADAA please yeyote yule anaeweza nishauri chochote kitasaidia

Cc Daby,Izzo,lusungo na wengine pleaseee nategemea comment zenu katika hiliii please
Naomba nikuunganishe na mdau wangu wa makerere na university of Nairobi hope they will have something to share kuhusu hiyo course yako

Barikiwa.
 
Heshima ya mtu ni kitu kikubwa sana siwezi kukubali kupoteza heshima yangu hapa no siwezi mkuu neno tapeli ni kubwa sana wakati ujawai kuchukua hata sh 10 ya mtu si sawa hata kidogo mkuu
Mkuu,Izzo binafsi nakuheshim xana,nakuomba tambua kuwa binadamu wote hatuzaliwa na akili ya kufanana ivo kutokea watu wakupinga jambo lenye manufaa kwa watu wengi huwa hawakosekan,ivo nkuomba bro endelea na moyo wa kuwasaidia watanzania wenzio,maana wewe ni miongon mwa watu wachache wnye moyo wa kuwasaidia wengine.
Na nkwambie ukwel binafs toka 2013 nmepata passport nkiwa na ndoto ya kwnda kusaka maisha nje ya nchi lakn nlikosa mtu mwny taarfa sahih ya nin cha kufanya ili nfanikiwe ivo kupitia uzi huu wewe,lusungo na wengne mmeninspire na kufufua ndoto yangu ya kwnda nje ivo ukiacha naona ndoto angu ambayo nliona inakwnd kutimia kupitia uzi huu inakwnda kufa kwa mara ya pili,please kaka nkuomba tusaidie wdgo zako we tired with the situation of our country.
 
Back
Top Bottom