Heshima ya mtu ni kitu kikubwa sana siwezi kukubali kupoteza heshima yangu hapa no siwezi mkuu neno tapeli ni kubwa sana wakati ujawai kuchukua hata sh 10 ya mtu si sawa hata kidogo mkuu
Bro izzo ntaumia xana na uamuz unaotaka kuuchkua,ni kwel inawezkana unaogopa kushusha heshima ako lkn wkat unaogopa kwa maneno ya mtu mmoja ambae kaamua kufungua akaunt JF kwa mission hyo,wadgo zako utakua umetuacha kwny mataa,kaka siktanii 2013 nmepata passport kwa lengo la kwnd kutafta maisha nje lkn nlikosa mtu mwny moyo kama wako wa kunisaidia,
Ivo nkaishia kukata tamaa.
Lkn kupitia thread hii tena kupitia comment ako ya kupitia Malta nliona kwa mara nyngne ndoto ang imefufuka na kuona nlichokuwa naota kinakwend kutimia kwa mara nyngne mpk leo nliamua kwnd kulipa Tshs 64,486/- kwa ajili ya kutafta family host for volunteer in Malta kupitia Website ya warkaway.
Lkn ghafla nmeona mwili wng kama umepgwa ganz nlivoona pale umeandika kuwidraw kwny mission wkat nlikuona wewe ndo kama tochi kwny uzi ule.
Kaka please nkuomba usivunjike moyo rud tisaidie wdogo zako weng wnakutemea kaka,kwa roho yako isiyo na husuda ya kusaidia watanzania wenzio,
Kaka nkuomba fikiria tena uamuz wako kwa manufaa ya wengi kulko hyo mmoja mwny wivu na roho ya choyo dhid ya mafanikio ya watanganyka wenzie.
Tanzania tumechoka,na kwa kulvo sasa ndo matumain ymepotea,bro npo mtaan toka 2013 nmalza degree lkn mpk sasa maisha hayana raman