Kelvin mwalukas
Member
- May 26, 2011
- 67
- 105
Ndugu yangu nimeona maneno yako ambayo kwangu yalikuwa kama ni kashfa nimekaa kimya kwa kukuacha tu nadhani kama kukujibu kwa post zako zaidi ya 20 kwenye thread hii nimekujibu post mbili tu post number [HASHTAG]#2012[/HASHTAG] na post no [HASHTAG]#2044[/HASHTAG]
Lakini kutokana na maneno yako ambayo watu wanaona kama yananilinda lakini kiukweli yananishutumu mm ww umetumia Codes tu kwenye post zako kwani codes zinasomeka kinyume kama unasema YES unakuwa na maana ya NO so ninajua unachomaanisha
Nimeanza kuchangia thread hii ktk post number [HASHTAG]#118[/HASHTAG] nikiwapa mbinu za kuingia malta then kuingia jeshini katika post number [HASHTAG]#367[/HASHTAG] ilikuwa ni Project number 1 ya kwenda Malta
mwisho wa post nikaandika mneno haya
NO PM (chumbani ) kwani siku zote mazungumzo yanafanyikia Sitting room au sehemu ya wazi chumbani(PM) yanafanyika mazungumzo ya wapenzi tu
Kwenye post no [HASHTAG]#869[/HASHTAG] nilikuwa natoa report ya fake agent ambae nilipewa namba yake na ndio maana niliomba namba ya huyo agent aliyempigia huyo dada niweze kupata taarifa za huyo agent na kuziweka mezani tena nikasisitiza kupatiwa namba ya huyo agent kwenye post number [HASHTAG]#2299[/HASHTAG]
Na ktk post zangu nilisisitiza sana No PM
japo nimepata PM nying lakini nilikuwa sizijibu kama nilijikubu basi sidhani kama zinafika 4 kama wapo niliowajibu waje waseme kama nilizungumzia mambo ya hela hata kuwagusia tu waje waseme kwani wanajijua
Niliandika maneno haya kwa sababu nilikuwa sitaki.maswala ya porini na sikutaka haya unayoyasema now nikaja tena na project number 2 yani Host kwenye post number [HASHTAG]#930[/HASHTAG] bado nikisisitiza no PM
Katika post number [HASHTAG]#1681[/HASHTAG] nilikuwa namwambia kaveli na post number [HASHTAG]#1673[/HASHTAG] post zote nilisisitiza kuwa huduma zote ni free
Nanukuu post [HASHTAG]#1673[/HASHTAG] nilisema
Pia ktk Project zote nilizo leta au zitakzo kuja hakuna hata mtu atakayeombwa hata sh 10 na kama itatokea njooni jukwaani mseme yote ni 100000% free kuanzia kuhost na msaada mwingine wowote kutoka kwangu
Tangazo la kazi nimelitangaza kwenye post number [HASHTAG]#2137[/HASHTAG] tena nikitoa na angalizo kwani
halikuwa verified na yule aliyelileta kwenye group na alitangaza kuwa bado ajali verify na mm nilipolileta hapa nilisema kabisa kwenye post number [HASHTAG]#2137[/HASHTAG] kuwa
Note usitoe fedha ya aina yeyote kuanzia visa vyote anashugulikia mama mwenyewe
Ndugu yangu mm napenda sana amani ya nafsi na mwili wengine tunaheshimika si hapa tu na sehemu zingine na watu wengine ninaoheshimiana nao kutokana na majukumu wanajuwa Id yangu leo wakiingia huku wakakuta naitwa tapeli itakuwa si sawa kabisa ww nimeshakuona huko hapa kwa mission maalumu
Mtu yeyote mwenye ufahamu ,weledi na mwenye kulinda heshima yake tuhuma tu zinatosha kumfanya akae pembeni so mm naona ni Withdraw kwenye thread hii nadhani mission yako itakuwa Complete so unaweza ku " Return to Base of Operations"
Nimetaja post number kama References kwa haya ninayosema hapa nenda kapitie post number zote nilizozitaja hapo
Naisoma kwa mara ya tano hii post yako mkuu. You have a point for real. Binafsi naamini unaweza tuhumiwa na tuhuma zingine nzito zaidi ya hizi, na matusi juu, pamoja na nia njema ulio nayo. I can only guarantee you a lot of disappointment on your way to help us, kama ni picha basi halijaanza hilo ni trela.
But Brother we have come a long way to just give up now, naiona kiu ya kweli kutoka ndani ya moyo wako ya kua msaada kwa watu kama sisi, kamwe usiache kiu yako ikakatizwa na watu wapuuzi tu, tena wepesi mno! tangu uzi huu uanze umekua nuru gizani, kwa sisi tulio na ndoto za kufika ughaibuni kusaka maisha. Umekua honest na role model kwa kila alietembelea hapa. Martin Luther Junior alipingwa hata na blacks wenzie, mitume na manabii wa Mungu waliuwawa na kuteswa sababu ya upendo, wakristo watanikumbusha mahali furani paliandikwa kwamba yesu alifanya mambo mengi sana kiasi kwamba dunia haitoshi kuyaandika na kuyahifadhi, lkn binafsi naamini kazi kubwa aliyoifanya ni pale goligota aliposema Ee Baba wasamehe maana hawajui walitendalo. luther junior alisema pia "It's Only When It's Dark You Can See the Star" Its dark brother and you are one of those shining the stars. Please don't give up now. Just hang on there. nitafanya maombi kwa ajili ako, ile taa ya yenye nuru ang'avu ndani yako ambayo Mungu ameiwasha, kamwe isipungue makali wala isizimwe na mpango wowote wa kishetani. Go Bless you Brother. God Bless us all.
Binafsi nashughulikia issue ya Malta I will do may Best every step nitakua nawaupdate hapa kwa kila hatua though uchumi unasumbua kdg lakini Mungu akipenda this December nitakua nawapa updateas nikiwa Malta.