dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,958
- 9,516
Anza kusoma Page ya 1 kwenye Uzi huu kila kitu kipoTusaidie mkuu, mi ndoto yangu kuishi Denmark, Jamani naomba mnipe mwangaza, pleaseee
Sina ndugu Wala jamaa,
Naanzaje mchakato
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anza kusoma Page ya 1 kwenye Uzi huu kila kitu kipoTusaidie mkuu, mi ndoto yangu kuishi Denmark, Jamani naomba mnipe mwangaza, pleaseee
Sina ndugu Wala jamaa,
Naanzaje mchakato
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]mgaka12 acha kumtia izzo hofu ya kusaidia watu wengine. Ni hakika anajua sana uwezekano Wa kuwa dissapointed upo (NI SEHEMU YA MAISHA) ila ameamua kutoa kile anachoweza na kila mmoja akichukue na kukitumia kadiri ya uhitaji na utashi wake.
Inawezekana una 'bad experience' ya kusaidia mtu/watu lakini haina maana wrote wako kama huyo/hao. Binafsi sababu kubwa inayonifanya na mimi niwe hapa kutafuta njia ya kutokea ni KUMSAIDIA MTU AWEZE KUISHI NJE LEGALLY. Matokeo yake sasa hivi yeye anacho kile nilichokuwa nacho mimi (PERMANENT RESIDENCE PERMIT ya kuishi nchi moja wapo ya Schengen) lakini siwezi kusema sitokaa nimsaidie tena mtu huko mbeleni nikifanikiwa. Na zaidi SIWEZI KUMSHAURI MTU ASISAIDIE WENGINE. Thats way too selfish. Kutaka aliyefanikiwa abaki kuwa yule yule na wasiongezeke wengine. Sio tabia nzuri. Iwapo were huwezi ama hutaki kusaidia wengine, muache aliye tayari afanye hivyo.
Alamsiki!!!
Kabla ya kulaumu pitia kurasa zote utakuta mambo mengi. Ila ukianzia katikati kwa jambo ambalo lilishazungumzwa halafu unatoa shutuma siyo vizuri. Siyo wote wenye kutumia pm. Hivyo usitake kujibiwa kitu ambacho mtu ameshasema hataki pmDaaaaah tukiwafuata private message hamjibu then tukiuliza info hamtupi.... Plz don't do that
Mkuu Izzo na Lusungo tambueni kuwa hii ni biashara ya watu, wametengeneza mazingira yakuwapiga watanzania kwa kutaka kuwatafutia maisha huko mbele, hapa wanaona dili lao limeingia mchanga na pengine katika watu waliotarajia kuwapiga wamejitambua kupitia uzi huu na wakaona waachane na hao jamaa wajikite humu wanaweza pata msaada bure kabisa.
Hili haliwafutahishi hao wajinga ndio ukaona humu wanaoandamwa na izzo na lusungo kwani wao ndio wamezima ndoto za matapeli wanaotaka kuwaumiza watu masikini wenye ghera yakutaka kwenda kutafuta maisha nje huko.
Naomba mkuu izzo nz lusungo na wengine wote msijibu chochote kutoka kwa hao watu, hata watukane, endeleeni kuwapuuza na tuendelee na agenda yetu
Asikupe shida huyu msome hapa https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1220774/Mgaka12 ! kweli wewe kiboko umeingia huku kumua attack izzo na umefanikiwa Shikamoo Mgaka12. Basi nakakuomba hata unisaidie wewe uliesaidia waliokuangusha ili mimi niweze kurudisha imani tena kwako kwamba sio kila unaemsaidia ni mbaya nayo hutaki mmmmh kweli kuna watu...
Brother Tusaidie Hizo website Za Kufanya kazi Kwa kujitolea plsMbinu nyepesi sana ya kufanikisha ndoto zenu coz naona wengi mnatamani kuja au kwenda Ulaya na US lakini njia mnayotumia ni ndefu ikiwamo ya ndoa za usanii siku hz wanafatilia sana na njia hii siku hz ni ngumu kwa sasa hv kwani siasa za sasa ni siasa za utengano na kufunga mipaka dhidi ya wageni
Ok njia ya kwanza ni kuingia nchi ya Malta ,Malta ndio nchi inayomkaribisha mgeni yeyote na yenye sheria nyepesi sana za uhamiaji kwa wananchi wanaotoka nchi za Commonwealth ( British colonisation)
So ukishafika Malta ukiweza kukaa ndani ya Malta ndani ya mwaka mmoja bila ya kufanya jinai huna haki ya kuomba uraia so kama utakuwa umekwenda kusoma , kufanya kazi, kutembea au kwenda kufanya kazi ya kujitolea (kazi za bila ya malipo)
Ukishapata uraia wa Malta unakuwa na uwezo wa kwenda kufanya kazi nchi yeyote ya Ulaya kwani Malta ni nchi iliyo kwenye jumuhiya ya Ulaya
So kama unabahati unaweza kupata lakini nchi nying za ulaya au nchi za dunia ya kwanza kupata kazi kwa elimu uliyosomea Africa ni ngumu sana mpaka usome kwao ndio wanakuamini
Owk kama utakuwa uko vizuri kiafya unaweza kwenda Jeshini ,nchi nyingi za ulaya zinachukua raia wa nchi za ulaya kama wanajeshi au kama umetoka nje ya jumuhiya ya ulaya ni lazima upate parmanent resident kitu ambacho ni kigumu sana kukipata kwa nyinyi mnaokuja huku kiujanja janja
Nchi zinazochukua raia wa nchi nyingine kwenye majeshi yao nitakuja na list yao muda si mrefu
lakini ni nchi ambazo zipo kwenye kundi la A list duniani zikiwamo nchi zote za Scandinavian
Ushaingia jeshini ,majeshi mengi ya Ulaya wanapaga watu ambao si raia wa nchi hyo mkataba miaka mitano mitano ndani ya hyo miaka mitano unaruhusiwa kusoma chochote utakachopenda gharama ni za jeshi so utachagua cha kusoma kama umetoka bongo na ka degree chako utasoma masters kama umetoka manyoya utatafuta cha kusoma ndani ya miaka mitano ni mingi sana na unapata faida mbili moja kulipwa mshahara ,huduma za Afya na uhakika wa kupata uraia kama utaitaji
So ukimaliza miaka mitano tu usiongeze tena mkataba ongeza tena kama umeipenda kazi ya jeshi so kama umeona ni manyoya unaiacha so unalipwa mafao yako na unakwenda kuomba uraia na unapata hata bila ya kufanya mtihani wa kuomba uraia na hii kuna nchi hawataki uraia pacha kama Germany au Norway so kama nchi hawataki uraia pacha basi unachagua mmoja ukishamaliza kupata uraia wa nchi hyo uliyoichagua ww from there unatafuta kazi kwa vyeti ulivyosomea jeshini na tena wakijua ulikuwa mwanajeshi wanakuheshimu sana kwani unaonekana umejitoa kwa nchi so unapata kazi na maisha yanaendelea ndani ya miaka 6 tu mission inakuwa imekwisha ukipita Airport ukionyesha gamba la mzungu unapita tu hupekuliwi pekuliwi kama mwenye passport ya Bongo
Kuna website ambazo watu kutoka sehemu zote za dunia wanatafuta watu wa kuja kumfanyia kazi ya kujitolea ambapo yeye atakupa chakula na sehemu ya kukaa bure kipindi chote utakachokuwa pale kwake mwaka mmoja tu ndani ya Malta bhasi
Lakini leo kunambia sijui mnapanga kuondoka kwenda nchi ambayo huna mwenyeji naona mnacheza nyinyi na mnadanganyana Ulaya na US ya sasa si kama ya zamani utaishia jela au kufa tena na balozi zenu zilivyo ngumu kwa raia wake utakoma na kujuta kuja tena mkuu wenu amesema muachwe njia nyepesi kabsa ndani ya miaka 6 tu umefanikisha mwaka mmoja Malta miaka 5 jeshini mwaka wa sita unapassport ya mzungu
Na hii ni kwa wanawake na wanaume sehemu pekee ni kufika Malta tu mwaka mmoja tatizo nililogundua Waafrica wengi akili yetu tunawaza ulaya tena zile nchi tajiri tu lakini mmeshindwa kujua dunia nzima wanawaza hvyo hvyo njia hii ya malta bado wengi awajaijua then tafuta mtu wa malta kafanye kazi ya kujitolea kwa mwaka mmoja kwanza unapata pa kukaa kula na mwenyeji lakini kwenda sehemu kwa mipango mipango mtakuwa mnadanganyana tu wanawake hasa wa Tanganyika wamekuwa wanaogapa sana kuchukua maamuzi ya kuondoka lakini nataka kuwambia tena wanawake ndio njia nyepesi sana kwani wazungu wanawaheshimu sana wanawake cha kwanza kwa heshima kwa wazungu
1 Wanawake
2 Mbwa au wanyama
3 Mwanaume
So kwa dada zangu kwa njia hii ya Jeshi ni bora sana kwao tena sana naongea hv kwa kujua ninachosem
Ningependa kuwambia ndugu zangu Watanganyika kwamba dunia ya sasa maendeleo yamehama kutoka kwenye nchi zinazoongea kingereza na kuhamia kwenye nchi ambazo haziongei kingereza kwani dunia nzima robo tatu wanajifunza au wanajua kingereza na target yao ni kwenda kukaa nchi zinazoogea kingereza sasa utakuta nchi zinazoongea kingereza zimeshajaa wahamiaji kibao lakini niwape siri kubwa kuwa nchi zisizo ongea kingereza zinaitaji sana watu kwani watu wamekuwa wakienda kwenye nchi zinazoongea kingereza
MALCOM LUMUMBA
Naomba kujua procedures Za kuingia huko brotherUlizaa swali hapo hapo no inbox
Nimekuelewa mzaz naomba website ilituchunguzeee mzeeeBrother Tusaidie Hizo website Za Kufanya kazi Kwa kujitolea pls
Unaweza kuniunganishia niweze kupata kazi, moja ya izo nchi?Moja ya kozi ambayo naikubali kwa sasa mkuu kama unataka utoboe fasta..nenda kapige degree pale MUK (Makerere university) au chuo chochote hapa africa ni miaka 3 tu then omba sponsership utokomea ughaibuni hasa Austaria,canada,US,Sweden,Dernmark na uhakika miaka miwili miwili tu utakuwa uko mbali sana kwanza ni moja ya faculty yenye salary ya maana sana kwa nchi nilizo kutajia.
Vinginevyo tafuta uwezekano wowote ilimradi ufike kwenye moja ya nchi hizo halafu ujiendeleze elimu yako ya BIO ukiwa kwenye nchi husika yani kosa tu upate ajira na ukawa uko vizuri practicaly yaani Uwe na uwezo wa kuisambalatisha MRI,X-ray machine,Utrasound machine,Pulseoxymeter n.k na mzungu akakwamini mkuu naimani utafurahia elimu yako.
Nakutakia kila lakheri mkuu kuna jamaa angu yupo RUSSIA anamalizia masomo mwaka huu hiyohiyo BIO ananiambia kama alichelewa vile.
Naomba nikuunganishe na mdau wangu wa makerere na university of Nairobi hope they will have something to share kuhusu hiyo course yako
Barikiwa
Mkuu njia tumeshaziweka ningekushauri anzia mwanzo kuusoma uzi utajifunza mengi.Unaweza kuniunganishia niweze kupata kazi, moja ya izo nchi?
Mostly wakirud huwa hawana nuru usoniMkuu hiyo 1.3m bora uitafute bongo tu maana hiyo ni around dollar 650 kwa mwezi hapo kutoboa ni kazi ndio maana wasomi wa china wanarudi bongo wakiwa hoi kiuchumi.
Poa mkuu tunashukuru!Kuna mshkaji wangu yupo kule, ngoja nimuombe kama atakubali kukupa mawasiliano yake
Mkuu huo ni mshahara wa wiki tu jaribu kufuatilia post za nyuma.Mostly wakirud huwa hawana nuru usoni
Pamoja mkuuBarikiwa comrade