Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Najaribu kuwasiliana na Invisible aje kuufagia uchafu humu kisha tuendelee. So hao watu wapuuzeni.

Hamna yeyote alieombwa hela wala chochote zaidi ya kupewa ushauri ila naona kama kawaida yetu wabongo tunataka haribia wengine. Binafsi hata PMs sasa sisomi mpaka tuwafagie hawa wapuuzi.
Kila tambarare lazima iwe na vijiwe vya kukufanya ujikwae, bahari japo imetulia lakini haikosi mawimbi. Hii ni changamoto tu hakuna sababu ya ku-give up......
 
Ndugu yangu nimeona maneno yako ambayo kwangu yalikuwa kama ni kashfa nimekaa kimya kwa kukuacha tu nadhani kama kukujibu kwa post zako zaidi ya 20 kwenye thread hii nimekujibu post mbili tu post number 2012 na post no 2044

Lakini kutokana na maneno yako ambayo watu wanaona kama yananilinda lakini kiukweli yananishutumu mm ww umetumia Codes tu kwenye post zako kwani codes zinasomeka kinyume kama unasema YES unakuwa na maana ya NO so ninajua unachomaanisha

Nimeanza kuchangia thread hii ktk post number 118 nikiwapa mbinu za kuingia malta then kuingia jeshini katika post number 367 ilikuwa ni Project number 1 ya kwenda Malta
mwisho wa post nikaandika mneno haya

NO PM (chumbani ) kwani siku zote mazungumzo yanafanyikia Sitting room au sehemu ya wazi chumbani(PM) yanafanyika mazungumzo ya wapenzi tu
Kwenye post no 869 nilikuwa natoa report ya fake agent ambae nilipewa namba yake na ndio maana niliomba namba ya huyo agent aliyempigia huyo dada niweze kupata taarifa za huyo agent na kuziweka mezani tena nikasisitiza kupatiwa namba ya huyo agent kwenye post number 2299

Na ktk post zangu nilisisitiza sana No PM
japo nimepata PM nying lakini nilikuwa sizijibu kama nilikubu basi sidhani kama zinatika 4 kama wapo niliowajibu waje waseme kama nilizungumzia mambo ya hela hata kuwagusia tu waje waseme kwani wanajijua

Niliandika maneno haya kwa sababu nilikuwa sitaki.maswala ya porini na sikutaka haya unayoyasema now nikaja tena na project number 2 yani Host kwenye post number 930 bado nikisisitiza no PM

Katika post number 1681 nilikuwa namwambia kaveli na post number 1673 post zote nilisisitiza kuwa huduma zote ni free

Nanukuu post 1673 nilisema

Pia ktk Project zote nilizo leta au zitakzo kuja hakuna hata mtu atakayeombwa hata sh 10 na kama itatokea njooni jukwaani mseme yote ni 100000% free kuanzia kuhost na msaada mwingine wowote kutoka kwangu

Tangazo la kazi nimelitangaza kwenye post number 2137 tena nikitoa na angalizo kwani
halikuwa verified na yule aliyelileta kwenye group na alitangaza kuwa bado ajali verify na mm nilipolileta hapa nilisema kabisa kwenye post number 2137 kuwa

Note usitoe fedha ya aina yeyote kuanzia visa vyote anashugulikia mama mwenyewe

Ndugu yangu mm napenda sana amani ya nafsi na mwili wengine tunaheshimika si hapa tu na sehemu zingine na watu wengine ninaoheshimiana nao kutokana na majukumu wanajuwa Id yangu leo wakiingia huku wakakuta naitwa tapeli itakuwa si sawa kabisa ww nimeshakuona huko hapa kwa mission maalumu

Mtu yeyote mwenye ufahamu ,weledi na mwenye kulinda heshima yake tuhuma tu zinatosha kumfanya akae pembeni so mm naona ni Withdraw kwenye thread hii nadhani mission yako itakuwa Complete so unaweza ku " Return to Base of Operations"

Nimetaja post number kama References kwa haya ninayosema hapa nenda kapitie post number zote nilizozitaja hapo
Mkuu Izzo wawezaje kukata mkono kisa mtoto kanyea kiganja cha mkono?!

Wadau twawahitaji sana, never give up
 
[emoji121]
MKUU,

MBONA KAMA MWAJIRI MWENYEWE KIINGEREZA CHAKE KIBOVU KIASI FULANI!!!

ILA TUWE NA SUBIRA.

Katika mambo yote muhimu ni pia kusoma kwa makini hawa watu.

Mimi nadhani huyu mwanamke ni wa Ulaya mashariki na ameolewa na mzungu wa New Zealand.

Au pia anaweza kuwa ni mzungu wa Ulaya mashariki na ameolewa na mzungu wa UK na wakahamia huko Auckland.

Hiyo ni kwasababu wazungu wa Uingereza wanaweza kwenda Canada na New Zealand bila shida kwani hao ni wajomba zao.

Labda Shyshii kama alifanya "initial analysis." ili kutandaza mkeka wa uaminifu.

Ndiyo maana nimesisitiza sana umakini kwenye hili jambo.
 
Bro stop na habari hii, utakuja kujishushia heshima huko ulipo trust me mimi yameshanikuta wabongo si watu utakuja juta kwa kile unachotaka kufanya ...
mgaka12 acha kumtia izzo hofu ya kusaidia watu wengine. Ni hakika anajua sana uwezekano Wa kuwa dissapointed upo (NI SEHEMU YA MAISHA) ila ameamua kutoa kile anachoweza na kila mmoja akichukue na kukitumia kadiri ya uhitaji na utashi wake.

Inawezekana una 'bad experience' ya kusaidia mtu/watu lakini haina maana wrote wako kama huyo/hao. Binafsi sababu kubwa inayonifanya na mimi niwe hapa kutafuta njia ya kutokea ni KUMSAIDIA MTU AWEZE KUISHI NJE LEGALLY. Matokeo yake sasa hivi yeye anacho kile nilichokuwa nacho mimi (PERMANENT RESIDENCE PERMIT ya kuishi nchi moja wapo ya Schengen) lakini siwezi kusema sitokaa nimsaidie tena mtu huko mbeleni nikifanikiwa. Na zaidi SIWEZI KUMSHAURI MTU ASISAIDIE WENGINE. Thats way too selfish. Kutaka aliyefanikiwa abaki kuwa yule yule na wasiongezeke wengine. Sio tabia nzuri. Iwapo were huwezi ama hutaki kusaidia wengine, muache aliye tayari afanye hivyo.

Alamsiki!!!
 
Heshima ya mtu ni kitu kikubwa sana siwezi kukubali kupoteza heshima yangu hapa no siwezi mkuu neno tapeli ni kubwa sana wakati ujawai kuchukua hata sh 10 ya mtu si sawa hata kidogo mkuu
Bro izzo ntaumia xana na uamuz unaotaka kuuchkua,ni kwel inawezkana unaogopa kushusha heshima ako lkn wkat unaogopa kwa maneno ya mtu mmoja ambae kaamua kufungua akaunt JF kwa mission hyo,wadgo zako utakua umetuacha kwny mataa,kaka siktanii 2013 nmepata passport kwa lengo la kwnd kutafta maisha nje lkn nlikosa mtu mwny moyo kama wako wa kunisaidia,
Ivo nkaishia kukata tamaa.

Lkn kupitia thread hii tena kupitia comment ako ya kupitia Malta nliona kwa mara nyngne ndoto ang imefufuka na kuona nlichokuwa naota kinakwend kutimia kwa mara nyngne mpk leo nliamua kwnd kulipa Tshs 64,486/- kwa ajili ya kutafta family host for volunteer in Malta kupitia Website ya warkaway.

Lkn ghafla nmeona mwili wng kama umepgwa ganz nlivoona pale umeandika kuwidraw kwny mission wkat nlikuona wewe ndo kama tochi kwny uzi ule.

Kaka please nkuomba usivunjike moyo rud tisaidie wdogo zako weng wnakutemea kaka,kwa roho yako isiyo na husuda ya kusaidia watanzania wenzio,

Kaka nkuomba fikiria tena uamuz wako kwa manufaa ya wengi kulko hyo mmoja mwny wivu na roho ya choyo dhid ya mafanikio ya watanganyka wenzie.

Tanzania tumechoka,na kwa kulvo sasa ndo matumain ymepotea,bro npo mtaan toka 2013 nmalza degree lkn mpk sasa maisha hayana raman
 
Heshima ya mtu ni kitu kikubwa sana siwezi kukubali kupoteza heshima yangu hapa no siwezi mkuu neno tapeli ni kubwa sana wakati ujawai kuchukua hata sh 10 ya mtu si sawa hata kidogo mkuu

Mkuu Izzo
Umeweza kufungua milango ya kheri Kwa wadau wengi sanaaaaa tu.Jitu moja lenye Roho ya Kwa nini hawezi kukushawishi kuto endelea Na msaada wako hata kama angesemaje.
Heshima yako wadau wengi humu wanaijuwa
Na Kamwe haita potea.
Ubarikiwe Mkuu
 
Wakuu vipi tena tumeacha kujadili mambo ya msingi tumeanza kujadili watu kweli sikio la kufa halisikii dawa kama mtu anaongea wazo lolote siyo vibaya maana kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo.
 
Wew umeona kwa jicho la tatu. Naiona kolabo ya matapeli humu,Yan kuna watu hapa wanapigwa kirahic mnooo.lol
Ule usemi wa kudandia train kwa mbele unakuhusu. Ungekuwa umeanza na sisi tokea mwanzo ungeelewa. Hakuna mtu aliyeambiwa atoe hela. Hata tangazo la kazi/chuo linapotolewa onyo kutokutoa hela yoyote linawekwa. Je nani ameshatapeliwa? Au wewe nani amekutapeli au kukuomba hela? Acheni unafiki, majungu roho za choyo, chuki na ujuaji wewe pamoja na kundi lako mnalosapotiana na kupeana like kwa uzandiki wenu. Usifikiri watu wote huku wanafikiria utapeli kama nyie mlivyomatapeli.
 
Poleni sana izzo, lusungo pamoja na memba wenzangu tukioanza pamoja. Naimani huwezi kula muwa bila kukutana na fundo na ikiwa uko kwenye mteremko jua kuna mlima kabla.

Kweli izzo alijitoa kadri ya uwezo wake. Ana nia njema na watanzania kwa kushirikiana na sisi tunavyoonyesha moyo ndivyo tunavyompa hari zaidi. Lusungo asante kwa msaada wako tokea mwanzo. Daby siwezi kukusahau na wengine wote. Kila mmoja ana vision na mission katika maisha yake. Wengi katika maisha ni wakatisha tamaa na si wakupao moyo. Naombeni muendelee na moyo ambao tulianza nao nyuma. Si wote wenye kupenda pm na lengo ni kuepuka lawama na usumbufu usio na tija. Stunter ni mara nyingi umetuma kwa adm atuwekee jukwaa letu ila mpaka leo bado hawajafanya hivyo na sijui kwa nini. ADM: naomba kama mmeshindwa hilo basi naomba msiwezeshe wengine access ya mada yetu kama ilivyo prohibited kwenye mada zingine watu kuchangia. Naimani mnapitia kila kinachoandikwa na hakuna shaka yoyote kuwa kuna mtu ameshatapeliwa au alitaka kutapeliwa. Hakuna meseji hata moja iliyoihushia hadhi jf wala kuikashfu kuanzia hii mda imeanza hadi mda huu. Hakuna maneno ya kuudhi ambayo yametolewa zaidi ya intruders wenye nia ovu na mada yenu. Tunaomba utusaidie kwa hili dogo
 
Poleni sana izzo, lusungo pamoja na memba wenzangu tukioanza pamoja. Naimani huwezi kula muwa bila kukutana na fundo na ikiwa uko kwenye mteremko jua kuna mlima kabla.

Kweli izzo alijitoa kadri ya uwezo wake. Ana nia njema na watanzania kwa kushirikiana na sisi tunavyoonyesha moyo ndivyo tunavyompa hari zaidi. Lusungo asante kwa msaada wako tokea mwanzo. Daby siwezi kukusahau na wengine wote. Kila mmoja ana vision na mission katika maisha yake. Wengi katika maisha ni wakatisha tamaa na si wakupao moyo. Naombeni muendelee na moyo ambao tulianza nao nyuma. Si wote wenye kupenda pm na lengo ni kuepuka lawama na usumbufu usio na tija. Stunter ni mara nyingi umetuma kwa adm atuwekee jukwaa letu ila mpaka leo bado hawajafanya hivyo na sijui kwa nini. ADM: naomba kama mmeshindwa hilo basi naomba msiwezeshe wengine access ya mada yetu kama ilivyo prohibited kwenye mada zingine watu kuchangia. Naimani mnapitia kila kinachoandikwa na hakuna shaka yoyote kuwa kuna mtu ameshatapeliwa au alitaka kutapeliwa. Hakuna meseji hata moja iliyoihushia hadhi jf wala kuikashfu kuanzia hii mda imeanza hadi mda huu. Hakuna maneno ya kuudhi ambayo yametolewa zaidi ya intruders wenye nia ovu na mada yenu. Tunaomba utusaidie kwa hili dogo

Mkuu Marveljt Tafadhali usitoe bendera NYEUPE ya kushindwa.Kweli kaka Izzo kajitolea sanaaaaa tu mpaka hapa tulipofika.Lusango,Daby,Tokyo40 Na wadau wote ambao sikuandika majina Yao tuendelee tu mpaka wengi wafanikiwe.Mlango umefunguliwa kazi kwetu.
Mimi nitachangia Kwa kadri ya uwezo wangu
 
Ok naomben ushauriii mimi natafuta zile scholarship za kulipiwa then baadae nakuja kuingia nao mkataba... Coz nilipata scholarship china kusomea udaktari tatizo lilikuja kwenye pesa...
Tusaidieni kwenye hili sio kwa doctor tu na fani nyengine
Tusaidieni, mesema hamjibu PM
 
Back
Top Bottom