Dr.adams faida
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 1,888
- 3,352
Kumbe mkuu uwaga wanasema et wanaroho za ajabu ajabuHapana wadenish si wakatili... Mtu mpaka akualike ujue amekupenda.
Sasa kwa hizi kaz rfk angu, upo busy asubuh mpk usiku, huna extra duty,huna semina n.k unaambiwa hapa kazi tu, mshahara kidogo.Mkuu hiyo 1.3m bora uitafute bongo tu maana hiyo ni around dollar 650 kwa mwezi hapo kutoboa ni kazi ndio maana wasomi wa china wanarudi bongo wakiwa hoi kiuchumi.
ULAYA KUTAMU πππππππππ hii nchi tutakaobaki ni wachache maana nipo hapa na mzee mmoja miaka takriban 50 na ushee nimemdokezea mikakati yangu ya kulowea majuu nae eti anasema yupo ladhi aitelekeze familia yake nae akajilipue majuu nimecheka kweli kumbe upepo wa JPM si wa kitoto eee.
Aaaah I have been there, kwanza wakati nasafiri nilipanda KQ, nikajua nitapanda na washua full waarabu au wazungu, waah nikakutana na ma house girl na ma house boy yani nilichoka kwa kweli watu washamba aiseeh, Dubai ina wakimbizi wa nchi nyingi sana duniani, watu wamejazana hatariDubai umeisahau.... Ni nchi iliyobeba wakuja wengi sana!!
Ulikaa Dubai sehemu gani? Mi nilikaa al barsha, tecom, jumeirah ,na nikaenda Abu dhabiDubai ipo tofauti sana!! Nimekaa pale nimegundua hilo.... Ni nchi iliyo secular sana ukilinganisha na jirani zake.
Hizi nakomaa nazo MimiWakuu njia nyingine hii hapo juu kupitia shule,
Jaribuni ku google huenda ukapata inayokufaa,
Nitajaribu kuitafuta nyingine niwawekee.
Mkuu inategemea unataka kwenda inchi gani kujilipua...zipo inchi zipo ulaya lakini utatamani ubaki Africa..sasa wewe nidokeze unataka uende inchi gani?
Aaaah I have been there, kwanza wakati nasafiri nilipanda KQ, nikajua nitapanda na washua full waarabu au wazungu, waah nikakutana na ma house girl na ma house boy yani nilichoka kwa kweli watu washamba aiseeh, Dubai ina wakimbizi wa nchi nyingi sana duniani, watu wamejazana hatari
Hizi nakomaa nazo Mimi
Nimeomba nying mpk aibu
ππππππ Mkuu hapo kwenye lugha wengi ni taabu ndo hapo mtu anashindwa kujieleza anasokwa rumande ndugu wanajua Abdalah yupo ulaya kumbe unayee ndoo..Kweli kabisa... Mm nasema ni kutokuwa makini na kutokuwa wazalendo na INCHI yetu...utauzaje utaifa wako kwa vipesa vidogo tu?ona now matokeo YAKE...VIZA kila mahala....KUPEKUANA ndy usiseme ukiwa na Tanzanian passport holder...huko mbele ya USO wa DUNIA.....USIONE AJABU KUPEKULIWA.....nakumbuka siku niliyofika Italy...nikakaa kama two days... Pale Napoli.. Halafu nikaenda Barcelona.. Si unajuwa huku ukiwa na viza ya shengen unaruka tu..au hata kwa bus.. Au meli au train.. Nimeenda Spain..narudi Napoli nawekwa PEMBENI NA ANT DRAG S...wa ITALY....baada ya kuona passport yangu wakaniuliza ....Spain nilifata nn?nikawaambiya KURUKA MAJOKA TU....Mimi seaman...now nafata meli yangu hapa..jamaa wakanambiya tuna wasiwasi na wewe.. Kwamba umebeba MARUFUKU...duu..wakaanza ngoja aje lawyer uweke sign tukupeleke kukupima.umeona wazungu wanavyofata SHERIA?hawakutaka kunipeleka kunipima kwa nguvu....AJE LAWYER... niwekee SIGN .ndy wakanipime.....duu..nikawaambiya tusipoteze muda...twendeni now...wakashauriana kwa muda na baada ya interview ya kama dako 30 hivi..si unajuwa MABAHARIA tena mambo ya mahojiano kama haya tumeyazoea....English inatoka tu...hatutumii nguvu..... wakanichek kwenye system yao ya blacklisted... Wakaona simo...basi wakaniruhusu kujimwaga Napoli... kama week nilirudi Barcelona tena..ila kama nafsi yako haijazoea misukosuko kama hii unaweza usisafiri...TENA ...na passport ukaenda kuificha kwa BIBI YAKO KIPARANG'ANDA...usiioneone ukapata kishawishi cha kusafiri tena... maana passport yetu imeshachafuliwa sana tu..
Amina MkuuMkuu kila la heri , hizi nina uhakika asilimia miamoja unapata mradi tu umekidhi vigezo.