Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

ULAYA KUTAMU 🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂 hii nchi tutakaobaki ni wachache maana nipo hapa na mzee mmoja miaka takriban 50 na ushee nimemdokezea mikakati yangu ya kulowea majuu nae eti anasema yupo ladhi aitelekeze familia yake nae akajilipue majuu nimecheka kweli kumbe upepo wa JPM si wa kitoto eee.
 
Mkuu hiyo 1.3m bora uitafute bongo tu maana hiyo ni around dollar 650 kwa mwezi hapo kutoboa ni kazi ndio maana wasomi wa china wanarudi bongo wakiwa hoi kiuchumi.
Sasa kwa hizi kaz rfk angu, upo busy asubuh mpk usiku, huna extra duty,huna semina n.k unaambiwa hapa kazi tu, mshahara kidogo.
Biashara zinakufa tu,bila uangalizi na mwaka huu nimepata hasara kweny kilimo, ni heri kupumzika tu huko, vile mshahara ntaacha unaflow then ntadunduliza.
 
ULAYA KUTAMU 🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂 hii nchi tutakaobaki ni wachache maana nipo hapa na mzee mmoja miaka takriban 50 na ushee nimemdokezea mikakati yangu ya kulowea majuu nae eti anasema yupo ladhi aitelekeze familia yake nae akajilipue majuu nimecheka kweli kumbe upepo wa JPM si wa kitoto eee.

Ulaya kutamu ukienda bado ukiwa kijana kama 22-24 hivi na huna majukumu mengi.

Ukitulia unapiga kazi miaka 10 maximum na mambo yote yanakuwa mswano.
 
Dubai umeisahau.... Ni nchi iliyobeba wakuja wengi sana!!
Aaaah I have been there, kwanza wakati nasafiri nilipanda KQ, nikajua nitapanda na washua full waarabu au wazungu, waah nikakutana na ma house girl na ma house boy yani nilichoka kwa kweli watu washamba aiseeh, Dubai ina wakimbizi wa nchi nyingi sana duniani, watu wamejazana hatari
 
Ila kama hujawahi kutoka kabisa nje ya nchi nashauri msikimbilie ulaya, kwa kuanzia tu South Africa panatosha, hii kwa wale ambao hawana ndugu wala marafiki yani wanajilipua, ila kwa wenzangu na Mimi wenye kaka na wajomba huko ulaya for them it's safe

Wabongo tuache ushamba tusafiri tujionee maajabu ya ulimwengu, you can't just live and die in Africa
 
Mkuu inategemea unataka kwenda inchi gani kujilipua...zipo inchi zipo ulaya lakini utatamani ubaki Africa..sasa wewe nidokeze unataka uende inchi gani?

Ulaya ulaya tu n sio afrika wakati mnalia ukamee huku dawa hakuna n maslhi duni
 
Aaaah I have been there, kwanza wakati nasafiri nilipanda KQ, nikajua nitapanda na washua full waarabu au wazungu, waah nikakutana na ma house girl na ma house boy yani nilichoka kwa kweli watu washamba aiseeh, Dubai ina wakimbizi wa nchi nyingi sana duniani, watu wamejazana hatari

Dubai kuna matifa zaidi ya 200
 
But nasikia kuna baadhi ya nchi waafrika wanafanywa makafara? Hii imekaaje?
 
Kweli kabisa... Mm nasema ni kutokuwa makini na kutokuwa wazalendo na INCHI yetu...utauzaje utaifa wako kwa vipesa vidogo tu?ona now matokeo YAKE...VIZA kila mahala....KUPEKUANA ndy usiseme ukiwa na Tanzanian passport holder...huko mbele ya USO wa DUNIA.....USIONE AJABU KUPEKULIWA.....nakumbuka siku niliyofika Italy...nikakaa kama two days... Pale Napoli.. Halafu nikaenda Barcelona.. Si unajuwa huku ukiwa na viza ya shengen unaruka tu..au hata kwa bus.. Au meli au train.. Nimeenda Spain..narudi Napoli nawekwa PEMBENI NA ANT DRAG S...wa ITALY....baada ya kuona passport yangu wakaniuliza ....Spain nilifata nn?nikawaambiya KURUKA MAJOKA TU....Mimi seaman...now nafata meli yangu hapa..jamaa wakanambiya tuna wasiwasi na wewe.. Kwamba umebeba MARUFUKU...duu..wakaanza ngoja aje lawyer uweke sign tukupeleke kukupima.umeona wazungu wanavyofata SHERIA?hawakutaka kunipeleka kunipima kwa nguvu....AJE LAWYER... niwekee SIGN .ndy wakanipime.....duu..nikawaambiya tusipoteze muda...twendeni now...wakashauriana kwa muda na baada ya interview ya kama dako 30 hivi..si unajuwa MABAHARIA tena mambo ya mahojiano kama haya tumeyazoea....English inatoka tu...hatutumii nguvu..... wakanichek kwenye system yao ya blacklisted... Wakaona simo...basi wakaniruhusu kujimwaga Napoli... kama week nilirudi Barcelona tena..ila kama nafsi yako haijazoea misukosuko kama hii unaweza usisafiri...TENA ...na passport ukaenda kuificha kwa BIBI YAKO KIPARANG'ANDA...usiioneone ukapata kishawishi cha kusafiri tena... maana passport yetu imeshachafuliwa sana tu..
🙂🙂🙂🙂🙂🙂 Mkuu hapo kwenye lugha wengi ni taabu ndo hapo mtu anashindwa kujieleza anasokwa rumande ndugu wanajua Abdalah yupo ulaya kumbe unayee ndoo..
By the way shujaa hakati tamaa japo changamoto ni nyingi.
 
Back
Top Bottom