Mkuu Karibu sana Ulaya uje ujionee Mwenyewe usingojee mpaka uambiwe njoo uje ubebe Maboksi na kuwa Mtumwa wa Wazungu.
View attachment 485814
Mkuu mimi macho yanaona mbele tu...ni njia za kujaribu kukusanya data tuMkuu Daby ukianza kumchunguza kuku hauwezi kumla.Kama unania ya kutoka Toka tu.
Kila mtu Ana riziki yake.Usianze kufikiria mavuno.Tafuta ardhi,panda mbegu,mwagilia,Palilia mwisho mimea inachipua halafu ndio mavuno.
Kila la kheri Mkuu
Mkuu Lusongo kujiripua kumesha pitwa na wakati wazungu wamesha stuka na ujanja wa mtu mweusi asikwambie mtu nyumbani ni nyumbani anaye kudharau kwao ni Mtumwa tupo nje sisi ni watumwa wa watu weupe asikwambie mtu ukiwa nje hauna uhuru wa aina yoyote unaweza kuuliwa na isiwe kitu chochote kile.Nimecheka sana ile POST yako ati ULAYA hakufai ilhali wewe ungali umeng'ang'ania huko... wengi wametoka kwa kuja Ulaya kutafuta maisha....
Mkuu wape njia wana nao waje wasake LIFE!!!
Sawa wasaidie basi na wengine wanaotaka kuwa watumwa mkuu....Mkuu Lusongo kujiripua kumesha pitwa na wakati wazungu wamesha stuka na ujanja wa mtu mweusi asikwambie mtu nyumbani ni nyumbani anaye kudharau kwao ni Mtumwa tupo nje sisi ni watumwa wa watu weupe asikwambie mtu ukiwa nje hauna uhuru wa aina yoyote unaweza kuuliwa na isiwe kitu chochote kile.
Hongera mkuu, one step at a timeKesho naenda kuchukua passport yangu, One step at a time hopefully one day we will reach there
Nimecheka sana ile POST yako ati ULAYA hakufai ilhali wewe ungali umeng'ang'ania huko... wengi wametoka kwa kuja Ulaya kutafuta maisha....
Mkuu wape njia wana nao waje wasake LIFE!!!
Nashukuru bwana mgogone kwa kuliweka hili sawa lakini kumbuka ni asilimia kumi tu ndio wana moyo wa kusaidia, Mfano ndugu zetu hawa wakenya ni wakabila wakiwa huko nchini kwao, ila wakifika tanzania ni ndugu moja ndio maana huwezi kupata mkenya anatangatanga mitaani akitafuta kazi wanakumbatiana bila kujali tofauti zao wakiwa kwao.Mkuu Okyoma unayo sema mengi NI kweli Ila hizo roho mbaya zinapandikizwa Na wachache.
Mfano unamsaidia mtu kila kitu akisha pata kazi tu wewe hauna maana Lakini sio wote.
Mkuu mimi nilisaidiwa kwenda kusoma USA.
Kwenye geto yetu tulikuwa Watu 7 tulikuwa tunasaidiana kwa kila kitu Lakini mmoja wetu akaanzisha fitna tuka muaka kati tulivyo maliza mwenyeji wetu akamfumuza mfitini.
Sasa kama unapata mtu kama huyo kweli unaweza kumsaidia mtu mwingine? Lakini huyo mwenyeji wetu bado anasaidia watu mpaka Leo hii Ukiwa Na roho ya kusaidia hauwezi kubadilika Na hao wako wengi tu.
Huu ndio muda wa kusahihisha yote usemayo hizo tabia tatu.Nashukuru bwana mgogone kwa kuliweka hili sawa lakini kumbuka ni asilimia kumi tu ndio wana moyo wa kusaidia, Mfano ndugu zetu hawa wakenya ni wakabila wakiwa huko nchini kwao, ila wakifika tanzania ni ndugu moja ndio maana huwezi kupata mkenya anatangatanga mitaani akitafuta kazi wanakumbatiana bila kujali tofauti zao wakiwa kwao.
Sisi tukiwa kijijini ,mashuleni, makazini, Vjiweni, mjini ni wanafiki tu tukifika nje tunaota mapembe hatuongei hata lugha yetu, hata mabalozi wetu wanapata shida kuwajua watanzania waliyoko nchi wanazowakilisha isipokuwa mtu anapopata matatizo ndio utamjua kuwa ni mtanzani. tena tuna dharau usiseme.
Nimejaribu kufanya research nikagundua kuwa tumerithi hiyo tabia mbaya kutoka makundi matatu; kwa waarabu 1700(fitina na uchonganishi) tukaja tukarithi tena mjerumani (roho mbaya) ya mkoloni 1800, tukamaliza za wahindi(mnawajua wahindi walivyo na dharau).
chukulia mfano tatizo linatokea tanzania, wandishi wa habari waliyosoma pamoja program moja, module zilezile ila watakavyoreport ni tofauti kabisa, wengine watalalamika wengine watasifia wenye roho ya korosho hawatareport kabisa.
Hii itakuwa ngumu kwa tanzania labda malaika waje watusaidie imagine leo mkuu wa mkoa anavamia kituo cha habari tena usiku wa manane, waziri anaamua kutetea badala ya jambazi kupigwa chini mtetezi anafukuzwa kazi. nchi hii ya vi-wonder kweli kweli.Huu ndio muda wa kusahihisha yote usemayo hizo tabia tatu.
It starts with us mkuu
#BlameNone#
#TimeToChangeTz#
mkuu ni baada ya kuingia airport yao,hapo kwenye pesa ndo mzozo wanaweza wakakurudisha sema kama pesa ipo haina shida unapewa tourist visa yako safiimmagration inchi husika watachaj hela kidogo baada ya kuingia airport yao ????? au hapa hapa bongo kabla ya kuondoka ???? Kuhusu maswali nikisema nimekuja kutembea pia nikaonyesha bank statment yenye salio la kutosha kuna la ziada hapo ???? Naomba mwongozo wako mkuu.
Mkuu Karibu sana Ulaya uje ujionee Mwenyewe usingojee mpaka uambiwe njoo uje ubebe Maboksi na kuwa Mtumwa wa Wazungu.
View attachment 485814
Hela wanataka uonyesh cash in hand ???? kama nina bank statiment yenye hela ys kutosha na visa kadi ya kutolea watanisumbua ????mkuu ni baada ya kuingia airport yao,hapo kwenye pesa ndo mzozo wanaweza wakakurudisha sema kama pesa ipo haina shida unapewa tourist visa yako safi
Nashukuru mkuu, nishalishika ganda sasa naenda phase twoHongera mkuu, one step at a time
Nasikia hii thread ni ya kitapeli
hapo mkuu no disturbanceHela wanataka uonyesh cash in hand ???? kama nina bank statiment yenye hela ys kutosha na visa kadi ya kutolea watanisumbua ????