Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Wakuu mm tayari nimejisajiri Workaway.info ili nipate host nikamfanyie kazi ya kujitolea sasa naombeni ushauri host wengi wanapenda / wanavutiwa na volunteer wa mda mrefu au mfupi?? pia nikimpata atanitumia mwaliko ili kupata visa? au visa ntaomba mwnywe bila mwaliko? na kama visa naomba mwnywe ntaomba visa gani, vistors, working visa ??????
 
ingia website ya etihad, emirate, turkirsh na qutar (hizo ni airways) zote, go and return. nimeona turk bei yao ipo poa kdg. ni pm mkuu

Mkuu Kelvin
Hizo tovuti za mashirika ya ndege bei zao NI ghali. www.cheapOair.com Toka Dar to Malta
Bei zao NI powa kabisa Egyptair $745,Turkish
$793 and Ethiopia $868.
Inategemea inaondoka Na kurudi lini.
 

Mkuu Mutasha
Kwanza Hongera kwa kuanza Na maisha mapya.Omba visa ya muda mrefu Huwezi juwa
huyo mwenyeji anaweza kukusaidia ukasoma au kupata kazi ya matumizi madogo madogo.
Mwenyeji wako anakutumia mualiko wa matembezi Au kujifunza utaalam wa Kilimo
Usiseme visa ya kazi maana itakuwa ngumu kupata.Naomba kusahihishwa kama nimekosea
 
Kwa wanaotaka japan, wenye ujuzi kidogo wa kilimo na hata wasiokuwa nao. Naona huyu host anaweza kukaa na mtu kwa muda mrefu sana.
Help on a fruit farm in Minami Alps, Yamanashi Prefecture in Japan - workaway.info

Mkuu marveljt
Hiyo inaonekana dili inzuri.
Kwa siku masaa 4-5 siku tano Kwa wiki
Inamaana unawakati mwingi wa kujifunza Kijapani,kupata kazi ya ziada Na unaweza kutana na binti wa kijapani.
Lugha ya kijapani sio ngumu Matamshi kama Kiswahili.Kuandika ndio kidogo kigumu.
Hii tovuti wanao taka kujua Lugha yeyeto
www.audible.com/languages
 
Ni mawazo yangu jamani... Naombe tuangalie njia zingine

247 painters Llc mawazo yako NI mazuri Ila hiyo njia ya kupoteza passport NI hasara kwako.
Njia nyingine NI kuenda Belize wanazungumza Kiingereza unasota Belize kidogo. Ziko mashua (boat) za wavushaji kwenda Pueto Rico NI sehemu ya USA. Ukifanikiwa unaweza kwenda state yeyeto USA bila ya kuulizwa visa.
Sijui kiasi gani wanachaji kukuvusha
Kila la heri
 
nadhani alimaanisha Segito mimi huyu doooh hili kasheshe ka majina sasa
Usijali nilidhani alinimaanisha mm sababu nishawahi kutoa mawili matatu juu ya SA nishaishi sana hapo cape town nikianza kigumu location Phillipi baadae Kensington na bellivile, kuna haja sasa ya kuchange Id ili kuzuia mgongano
 
Usijali nilidhani alinimaanisha mm sababu nishawahi kutoa mawili matatu juu ya SA nishaishi sana hapo cape town nikianza kigumu location Phillipi baadae Kensington na bellivile, kuna haja sasa ya kuchange Id ili kuzuia mgongano
usijali rapa wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…