Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,635
- 4,160
Naomba kukuuliza kwenye ku register Nimeona wanahitaji 29$kwa single applicant and 39 double applicants, Umeiona hii,Wakuu mm tayari nimejisajiri Workaway.info ili nipate host nikamfanyie kazi ya kujitolea sasa naombeni ushauri host wengi wanapenda / wanavutiwa na volunteer wa mda mrefu au mfupi?? pia nikimpata atanitumia mwaliko ili kupata visa? au visa ntaomba mwnywe bila mwaliko? na kama visa naomba mwnywe ntaomba visa gani, vistors, working visa ??????
Jamani nimeanzisha group namba hiyo +255713 402 403 tumeni msg niwaunge
It's better we make this in a whatsapp group ili tukajadili njia moja moja na kila mtu akatoa maoni na ushauri... Ama unashaurije247 painters
Kuhusu njia ya Belize Wewe uliza tu hapa
Tukianika mambo Jamvini wako walio Zamia kupitia hizo njia wanaweza saidia njia zingine
It's better we make this in a whatsapp group ili tukajadili njia moja moja na kila mtu akatoa maoni na ushauri... Ama unashaurije
Watu naona bado wamelala.... Hivi link ya group inapatikanaje ili nisambaze humu watu wakajiunga directBinafsi napendelea huu uzi maana nikikosea kitu najua nitarekebishwa.Vile Vile Nivizuri Kwa wale wanao penda kuwa kwenye group za WhatsApp.
Watu naona bado wamelala.... Hivi link ya group inapatikanaje ili nisambaze humu watu wakajiunga direct
Tayari nimewatumia $ 29 kwa atm visa cardNaomba kukuuliza kwenye ku register Nimeona wanahitaji 29$kwa single applicant and 39 double applicants, Umeiona hii,
Km Umeiona umewatumia Kwa Njia gani,,
Asante.
Jaribu mkuu utatupa ripotiTayari nimewatumia $ 29 kwa atm visa card
Jamani nimeanzisha group namba hiyo +255713 402 403 tumeni msg niwaunge
Nmeshauliza snaa nchi ya botswana lakin sijapata mrejesho mpka leoWAKUU,
NAONA KAMA KWENDA NCHI ZA MAGHARIBI NI NGUMU SANA KWA SISI TUSIOKUWA NA MTU WA KUTUPA MWALIKO.
SASA MIMI NATAKA NIANZE KUPATA UZOEFU KWA NCHI ZA BARA LETU KWANZA,
KISHA NIPATE ROOM YA KUIBUKIA HUKO MAGHARIBI.
-----------
KWA SASA NAFIKIRIA KUJILIPUA BOTSWANA NA NAMIBIA,
NA SHUGHULI NAYOFIKIRIA KWENDA KUIANZA NI UMACHINGA.
NAWEZAJE ILI KUPATA MAKAZI JAPO YA GHARAMA YA CHINI IKIWA SINA NDUGU NCHI HIZO?
Mkuu Kelvin
Hizo tovuti za mashirika ya ndege bei zao NI ghali. www.cheapOair.com Toka Dar to Malta
Bei zao NI powa kabisa Egyptair $745,Turkish
$793 and Ethiopia $868.
Inategemea inaondoka Na kurudi lini.
Mkuu hio njia ya Belize ni nzuri na nyepesi sana kwani ni hela yako tu, but baada ya kuingia USA utawaambiaje maafisa wa uhamiaji ? hapo hakuna hatari ya kurudishwa? au njia hio ni halali ???247 painters Llc mawazo yako NI mazuri Ila hiyo njia ya kupoteza passport NI hasara kwako.
Njia nyingine NI kuenda Belize wanazungumza Kiingereza unasota Belize kidogo. Ziko mashua (boat) za wavushaji kwenda Pueto Rico NI sehemu ya USA. Ukifanikiwa unaweza kwenda state yeyeto USA bila ya kuulizwa visa.
Sijui kiasi gani wanachaji kukuvusha
Kila la heri
Naomba tuujadili whatsapp huu mjadala please link hiyo Open this link to join my WhatsApp Group: Journey To The WestMkuu hio njia ya Belize ni nzuri na nyepesi sana kwani ni hela yako tu, but baada ya kuingia USA utawaambiaje maafisa wa uhamiaji ? hapo hakuna hatari ya kurudishwa? au njia hio ni halali ???
Kutaka kujuana kwa majina halisi na kutoana hofu.What's more special in what's up group than this forum? Sijaona umuhimu wa kuhamishia mambo huko?? Ni kujitenga kusikokuwa na tija .
Sio kila member anataka kujulikana ama mawasiliano yake kuwa wazi kwa sababu mbali mbali ikiwepo usalama binafsi.
Kuna mengi yanawezekana kusemwa hapa kwa jukwaa kuliko uko what's up.
Sitegemei matokeo mazuri zaidi kupitia kwa group la whatsup tofauti na hapa kwa huu uzi. Mkiwa kwa group ni members waliojiunga tu ndio mnaoshea lakini hapa yeyote anaweza kuchangia mada kwa muda atakaoona unafaa yeye kufanya hivyo.
Haiwezekani members wote wenye uhitaji huo wa kwenda nje na kupata taarifa wakajiunga.
Group la what's up linaweza kuanzishwa kwa jambo fulani linalohusisha watu wachache tu....pia sio lazima kwani pm inaweza kutumika kufanya hayo yote na sio kama ilivyo apa kwa huu uzi.
Ni mtazamo wangu tu nakubali kupingwa na kukosolewa kwa manufaa ya wengi.
Huu Uzi una viewers zaidi ya 2K then mnafungua group ambalo maximum no ni 256 kwa nini msi share hayo mambo apa kwa huu uzi ili watu wengi zaidi wafaidike????[emoji290] [emoji289] [emoji288]
Samahani segitoo we upo wapi kwa sasa?Usijali nilidhani alinimaanisha mm sababu nishawahi kutoa mawili matatu juu ya SA nishaishi sana hapo cape town nikianza kigumu location Phillipi baadae Kensington na bellivile, kuna haja sasa ya kuchange Id ili kuzuia mgongano