Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Malta pako vipi kuingia pale
 
Mkuu IZZO, saluti saaaaaana mkuu.
 
 
Amen mkuu!!
 
Mkuu April ndo hii vipi kuhusu swala la ujio wa wageni
 
We ndugu wa pombe nini,kwa hiyo unataka humu wote tuwe tunasema ndiyo mkuu,hutaki mawazo tofauti.....hebu soma komenti yangu unambie wapi nimempinga au kumkatisha tama izzo,kwa hiyo unataka niwe na imani na izzo kwa 100% kwani yr ni Mungu,ningekushusha thamani sana tatizo fake I'd.
 
Mkuu April ndo hii vipi kuhusu swala la ujio wa wageni
Nimeshatoa msimamo wangu toka post [HASHTAG]#2329[/HASHTAG] Duniani ni biashara moja tu ndo inafanyika wakati kila mtu hana imani na wenzie ni biashara ya madawa ya kulevya tu
Hapa tubaki kuchati na kushauriana tu , kuhusu hyo project nitaangalia njia nyingine nzuri na sahihi ya kufanya juu ya hyo project nje ya hapa JF
 
Huu uzi umetembea distance ambayo sikutarajia kabisa hapo awali.
 
mkuu Izzo niliku PM, naomba niangalizie credibility ya hiki chuo
 
mkuu Izzo niliku PM, naomba niangalizie credibility ya hiki chuoView attachment 493911
Mkuu mm sijibu PM kama nilivyosema toka mwanzo kuhusu Chuo
Ni Chuo kizuri lakini si best hiki unasoma free lakini ukitaka cheti baada ya kumaliza courses inakutaka utumie hela kwa ajili ya shipping ya cheti lakini cheti chake si cha thamani sana Kwani kila kitu unafanya ww so uwezekano wa kucheat ni mkubwa sana kwani baada ya course unatakiwa kufanya mtihani na unatakiwa u score 70% out of 100 % lakini bado nabaki pale pale uwezekano wa kucheat ni mkubwa sana
kwani bado mitihani inakuwa pale pale yani unaifanyia kwenye computer then kama utashindwa kuscore 70% unaweza kurudia tena kufanya tena mtihani tena ambao unakuwa the same so credibility ni ndogo sana

Chuo ninachozungumzia mm ni kama hvyo hyo na mtihani ni kama hvyo hvyo lakini mtihani wa mwisho unakwenda kufanyia ubalozini au kwenye centre watakayokuchagulia wao so uwezekano wa kucheat unakuwa hakuna chuo hiko unalipia lakini kuna technique ya kusoma bure 100% free
 

Okey, Shukran sana chief. nimeanza kusoma, nataka nimalize module kama nne then nirequest mitihani. please chief kama unaweza nisaidia hicho chuo unachokisema, na kama kuna hiyo technique ya kusoma free.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…