Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Mkuu ubarikiwe sana aisee, Tunakuombea Mungu akujalie Afya na Amani

Jana ubalozi wa Italy/Malta mpaka mlinzi ananiuliza unakuja lini kuchukua visa! Nimekukukumbuka mkuu Malter the Best.
Mkuu naomba nikurudishe nyuma kidogo. incase nataka jeshi sweden, 1. je ni kweri ndio tunaowekwa frontline kwenye mission za hatari? 2. usajiri wa kuingia jeshi sweden moja kwa moja pamoja navigezo vyake vipoje 3. value ya mtu mweusi inafanana na ya mswiden. for me napenda jeshi, naomba nisaidie Mkuu, nina fear of unknown.
Malta pako vipi kuingia pale
 
Ukifatilia wenzetu Kenya na Nigeria wengi wamepeana ujanja na kusaidiana kupitia forums zao tu kama tulivyokuwa au dhumuni ya thread hii na ndio maana mm nakataa sana kutumia neno Tanzania kwa sababu Ukisema Tanzania unakuwa na maana ya Tanganyika na Zanzibar lakini wenzetu wa visiwani wametupita sana kwenye ufahamu wazanzibari wengi sana wamesaidiana sana na ktk Watanzania walio nje wengi ni wazanzibari kuliko Watanganyika

Kila kitu kinaanza kama wazo ambalo anakuwa nalo mmoja then anawashirikisha wenzie then mnachangia mawazo kuboresha wazo ndivyo alivyofanya lusungo kuanzisha thread hii pili mawazo siku zote yanafatiwa na draft au michoro ndio tukaanza kuchangia kwa maandishi hapa then kinachofata ni utekelezaji wa muunganiko wa mawazo na machapisho na utekelezaji ni lazima watu watoke nyuma ya keyboard na keypad waonane live

Kuhusu kutapeliwa au kuibiwa ni mambo ambayo yanaweza kuchangiwa na kwenda chemba kitu ambacho wengi tulikuwa hatupendi mm nawambia ukweli Tanganyika na Serikali yake wameshindwa nguvu na rasilimali watu wanaoingia kwenye soko la ajira kila mwaka kutoka shuleni, Vyuoni na kwenye mafunzo ya mikono au ufundi na hii si Tanganyika tu ilishawai kutokea Nigeria ndio maana wanaigeria wakatafuta njia nyingine ambayo ni kutoka nje kutafuta maisha na ndio maana nenda dunia nzima uwezi kukuta hakuna mnaigeria

Lakini Watanganyika bado analeta mzaha ndio maana tunapata muda wa kukashifu na kutukanana na kuvunjana moyo lakini huko tunapokwenda ni pabaya zaidi kuliko tulipotoka na safari ya gorigota imefika na Tanganyika tunaweza kujikuta tunatoa wakimbizi wa ugumu wa maisha wakati ndani ya nchi kuna amani na utulivu

Ndo maana dada yangu pamoja na mimi tusiumie sana tunapotukanwa au kukashifiwa kwani siku na saa yaja pale wana wa Adam .....
Mkuu IZZO, saluti saaaaaana mkuu.
 
Kwa vile umeuliza si vibaya kukufahamisha ilichouliza kwanza Hongera sana kwa kupata mchongo Japan . Japan ni moja ya nchi zilizoendelea Duniani ikiwa ya 3 kutoka US then China Kwanza jambo la kwanza unapotaka kwenda kutafuta maisha kwenye nchi nyingine cha Kwanza unachotakiwa kuangalia ni Uchumi wa Nchi husika then vinafata vigezo vingine ambayo kwa ujumla ni 5

Kwanza kwa kuamia Japan Kwanza utapata faida 4 ambazo kwa wanaoamia Ulaya magharibi na North America wanapata faida 3 lakini unapoamia nchi yeyote kuna faida ambazo unatakiwa kuzipata faida hizo ni

1 Kiusalama
2 Kiafya
3 Kiuchumi
4 Kijamii (hii inategemea ulipotoka)

Ulaya na America utapata faida 3 nazo ni Usalama, Afya, Uchumi

Wakati Japan utapata faida zote ikiwamo faida muhimu sana ,faida ya Kijamii watu wengi wanadharau faida hii lakini ni Faida kubwa sana kwa watu wenye misingi , hekima na weledi

Japan ni nchi ambayo ni nchi yenye watu wastarabu na wenye maadili hapo ndipo faida ya Kijamii inapokuja kwani Nidhamu ndio inamjenga mtu , mtu yeyote ambae hana Nidhamu kufanikiwa kwake ni ngumu sana na huwezi kukaa kwa watu wasio na Nidhamu then ww ukawa na Nidhamu

Watu wengi walio Ulaya si nchi za Scandinavia kwani nchi za Scandinavia wana Nidhamu sana nazungumzia Ulaya na America wengi wanaona aibu kurudi kwani wamekijuta wamekaa muda mrefu nje lakini hakuna cha maana wanachoweza kujisifia au kuonyesha nyumbani kwani fedha nying imepotea kwenye starehe tu ndo linapokuja swala la Nidhamu

Yapo mengi ya kukwambia kuhusu Japan lakini ninachotaka kukwambia ni moja ya nchi bora kabisa Duniani kuishi pia kitu ambacho wengi hawajui kuhusu Japan. Japan is restricting immigration. In reality over 95% of applicants are accepted. So, it is just the fact that not many people actually apply.

So uwezekano wa kupata Citizenship ni mkubwa kuliko Ulaya na America kwani wahamiaji wengi wa Japan ni Mongolian kutoka Korea na zamani walikuwa wachina lakini siku hizi Wachina wanakimbilia Canada na USA pia Japan hawataki dual citizenship so watu wengi unakuta japan si chaguo lao wazungu wengi wanataka kuwa na uraia zaidi ya mmoja so kutokana na hilo inakuta Japan si Chaguo lao pili Lugha ya Kijapani watu wengi wanapenda kwenda kwenye nchi zinazoongea Kingereza

Kama nilivyosema Yapo mengi ya kukwambia kuhusu Japan lakini naomba niishie hapo mengine unakwenda kujionea mwenyewe

Note: wanawake wa Asia yani wanawake kutoka nchi za Mongalian races yani Japan, China,Korea, Philippines, Malaysia, Taiwan, Singapore wana vivu sana hasa wanapopata mtu kutoka race tofauti na yao kwa hyo kuwa makini sana wanapenda vibaya sana na wapo tayali kujeruhi au kuua kwa ajili ya mwanaume so kuwa makini sana unaweza kujikuta ndoto zako zikaishia behind bars kwa ajili ya wanawake

Pia Watanganyika wanatakiwa kujua kuwa Mongolian races walianza kufanya biashara na Africa kabla hata ya wazungu na Arabs pamoja na kuwa na dini zao za ajabu sisi tunaamini Abrahamic religions tuamini kuwa dini zetu ni bora zaidi ya wenzetu sasa pamoja na kufanya biashara na sisi hawakuchukua watu weusi kawapeleka kuwa watumwa tofauti na wazungu na Arabs

So rate ya ubaguzi ni ndogo sana kulinganisha na Ulaya na Uarabuni kwani wao wako busy na mambo yao kidogo unaweza kutana na ubaguzi vijijini hata hvyo si sana

Ninawafahamu watu wengi ambao wako Japan na Korea ambao wako vizuri na wengi wamechukua ndugu zao tofauti na wale waliopo Ulaya au US[/Q

I thank God for You Izzo to be back. Asante kwa kurudi na hiki ulichotupatia, tulikua tunaendelea na mkuu LUsungo na wengine. Lusungo ubarikiwe utokapo na uiangiapo, saluti sana mkuu. mkuu Izzo karibu
 
Kila jambo nachangamoto zake,
Kwa wale weny iman za kikristo,
Kumbuken Yesu alikuja kuwafia wadhambi,lkn haohao wakamuua,sembuse haya yanayoweza kuitwa ya kawaida,

Changamoto hizo zinatoka kwa weny roho mbaya wakiona unatoa msaada wanaona wivu,

Hujaoa mtu anaumia ukinunua pikipiki au gari ya kutembelea na huku hujamuomba hata senti ya mchango na wala haupaki kwake?

Mi nipe namba yako hao nao achana nao mkuu,vyura havikosi mitoni!!!!!

Barikiwa
Amen mkuu!!
 
Ukifatilia wenzetu Kenya na Nigeria wengi wamepeana ujanja na kusaidiana kupitia forums zao tu kama tulivyokuwa au dhumuni ya thread hii na ndio maana mm nakataa sana kutumia neno Tanzania kwa sababu Ukisema Tanzania unakuwa na maana ya Tanganyika na Zanzibar lakini wenzetu wa visiwani wametupita sana kwenye ufahamu wazanzibari wengi sana wamesaidiana sana na ktk Watanzania walio nje wengi ni wazanzibari kuliko Watanganyika

Kila kitu kinaanza kama wazo ambalo anakuwa nalo mmoja then anawashirikisha wenzie then mnachangia mawazo kuboresha wazo ndivyo alivyofanya lusungo kuanzisha thread hii pili mawazo siku zote yanafatiwa na draft au michoro ndio tukaanza kuchangia kwa maandishi hapa then kinachofata ni utekelezaji wa muunganiko wa mawazo na machapisho na utekelezaji ni lazima watu watoke nyuma ya keyboard na keypad waonane live

Kuhusu kutapeliwa au kuibiwa ni mambo ambayo yanaweza kuchangiwa na kwenda chemba kitu ambacho wengi tulikuwa hatupendi mm nawambia ukweli Tanganyika na Serikali yake wameshindwa nguvu na rasilimali watu wanaoingia kwenye soko la ajira kila mwaka kutoka shuleni, Vyuoni na kwenye mafunzo ya mikono au ufundi na hii si Tanganyika tu ilishawai kutokea Nigeria ndio maana wanaigeria wakatafuta njia nyingine ambayo ni kutoka nje kutafuta maisha na ndio maana nenda dunia nzima uwezi kukuta hakuna mnaigeria

Lakini Watanganyika bado tunaleta mzaha ndio maana tunapata muda wa kukashifu na kutukanana na kuvunjana moyo lakini huko tunapokwenda ni pabaya zaidi kuliko tulipotoka na safari ya gorigota imefika na Tanganyika tunaweza kujikuta kwa mara ya kwanza Duniani tunatoa wakimbizi wa ugumu wa maisha wakati ndani ya nchi kuna amani na utulivu

Ndo maana dada yangu pamoja na mimi tusiumie sana tunapotukanwa au kukashifiwa kwani siku na saa yaja pale wana wa Adam .....
Mkuu April ndo hii vipi kuhusu swala la ujio wa wageni
 
We ndugu wa pombe nini,kwa hiyo unataka humu wote tuwe tunasema ndiyo mkuu,hutaki mawazo tofauti.....hebu soma komenti yangu unambie wapi nimempinga au kumkatisha tama izzo,kwa hiyo unataka niwe na imani na izzo kwa 100% kwani yr ni Mungu,ningekushusha thamani sana tatizo fake I'd.
Wakuu nadhani huyu nae ni kama yule jamaa, lengo lao ni kuharibu huu uzi coz huwezi kuja ktk jukwaa na kusema eti humuani mkuu IZZO kwa lipi? kuna kitu kakudanganya? Kama labda ww unaona unajua zaidi yake u would still cool coz yeye kajitolea kwa moyo wake wote kutupa mbinu anazozijua ktk kufanikisha malengo yetu alafu eti unajitokeza na kusema eti humuamini kwa lipi ????? Mkuu Izzo just take it easy coz all we ar person but soo different in personality, I belive Jah ll bless ya 4 ur uniqu soul & ur wiseness.
 
Mkuu April ndo hii vipi kuhusu swala la ujio wa wageni
Nimeshatoa msimamo wangu toka post [HASHTAG]#2329[/HASHTAG] Duniani ni biashara moja tu ndo inafanyika wakati kila mtu hana imani na wenzie ni biashara ya madawa ya kulevya tu
Hapa tubaki kuchati na kushauriana tu , kuhusu hyo project nitaangalia njia nyingine nzuri na sahihi ya kufanya juu ya hyo project nje ya hapa JF
 
Huu uzi umetembea distance ambayo sikutarajia kabisa hapo awali.
 
Nimeshatoa msimamo wangu toka post [HASHTAG]#2329[/HASHTAG] Duniani ni biashara moja tu ndo unafanyika wakati kila mtu hana imani na wenzie ni biashara ya madawa ya kulevya tu
Hapa tubaki kuchati na kushauriana tu , kuhusu hyo project nitaangalia njia nyingine nzuri na sahihi ya kufanya juu ya hyo project nje ya hapa JF
mkuu Izzo niliku PM, naomba niangalizie credibility ya hiki chuo
upload_2017-4-10_21-3-40.png
 
mkuu Izzo niliku PM, naomba niangalizie credibility ya hiki chuoView attachment 493911
Mkuu mm sijibu PM kama nilivyosema toka mwanzo kuhusu Chuo
Ni Chuo kizuri lakini si best hiki unasoma free lakini ukitaka cheti baada ya kumaliza courses inakutaka utumie hela kwa ajili ya shipping ya cheti lakini cheti chake si cha thamani sana Kwani kila kitu unafanya ww so uwezekano wa kucheat ni mkubwa sana kwani baada ya course unatakiwa kufanya mtihani na unatakiwa u score 70% out of 100 % lakini bado nabaki pale pale uwezekano wa kucheat ni mkubwa sana
kwani bado mitihani inakuwa pale pale yani unaifanyia kwenye computer then kama utashindwa kuscore 70% unaweza kurudia tena kufanya tena mtihani tena ambao unakuwa the same so credibility ni ndogo sana

Chuo ninachozungumzia mm ni kama hvyo hyo na mtihani ni kama hvyo hvyo lakini mtihani wa mwisho unakwenda kufanyia ubalozini au kwenye centre watakayokuchagulia wao so uwezekano wa kucheat unakuwa hakuna chuo hiko unalipia lakini kuna technique ya kusoma bure 100% free
 
Mkuu mm sijibu PM kama nilivyosema toka mwanzo kuhusu Chuo
Ni Chuo kizuri lakini si best hiki unasoma free lakini ukitaka cheti baada ya kumaliza courses inakutaka utumie hela kwa ajili ya shipping ya cheti lakini cheti chake si cha thamani sana Kwani kila kitu unafanya ww so uwezekano wa kucheat ni mkubwa sana kwani baada ya course unatakiwa kufanya mtihani na unatakiwa u score 70% out of 100 % lakini bado nabaki pale pale uwezekano wa kucheat ni mkubwa sana

Chuo ninachozungumzia mm ni kama hvyo hyo na mtihani ni kama hvyo hvyo lakini mtihani wa mwisho unakwenda kufanyia ubalozini au kwenye centre watakayokuchagulia wao so uwezekano wa kucheat unakuwa hakuna chuo hiko unalipia lakini kuna technique ya kusoma bure 100% free

Okey, Shukran sana chief. nimeanza kusoma, nataka nimalize module kama nne then nirequest mitihani. please chief kama unaweza nisaidia hicho chuo unachokisema, na kama kuna hiyo technique ya kusoma free.
 
Back
Top Bottom