Thanks. ...Ongera[emoji2][emoji2]
Wandugu Mimi nina shahada ya kilimo, nafanya kazi serikalini, nina miaka 3 kazini
Naomba kupewa link ya kusoma vyuo vya nje masters ya kilimo katika vyuo ambavyo hawahitaji mitihani ya English, maana mimi sijafanya hiyo mitihani.
Ukishaweka huo msamiati hapo mitihani sio ombi tena, TATIZO LA HII MITIHANI NI GHARAMA KUBWA SIO KWAMBA WATU HAWATAKI KUFANYAIngia hapa Swedish Institute Study Scholarships Application zinafunguliwa mwezi December, kwa mwaka huu tayari wameshatoa majina ya waliopata scholarship. Hizi ni za Sweden
Kama unauhitaji wa kujifunza lugha online na unaweza kutumia hiyo opportunity kufahamiana na watu wa nje ...tafuta hii app Hello talk.
Kama unauhitaji wa kujifunza lugha online na unaweza kutumia hiyo opportunity kufahamiana na watu wa nje ...tafuta hii app Hello talk.
Kwa kuchat na audio voice pia ipounajifunza kwa kuchati??
Huyo mtu nampataje sasaKwa kuchat na audio voice pia ipo
Ukishajisajili unasajili na lugha unazotaka kujifunza. Then watu wa hiyo lugha ukisearch auto utawaona then unawatumia text unawaeleza.Huyo mtu nampataje sasa
Mkuu Daby hiyo application nzuri sana imeniwezesha kukutana na rafiki wa nchi za nje mpaka sasa tumekuwa kama ndugu tunawasiliana karibia kila siku yupo na yupo tayari kunitumia mwaliko na pia ilikuwa nifikie kwake ila sasa amepata kazi anakuja huku Africa Uganda ila akirudi naweza kurudi nae kwa gharama zake pia nawashauri mtumie app hii inaitwa italki inakuwezesha kukutana na walimu wa lugha zote duniani pia inakuwezesha kupata language partners wa kujifunza nao lugha wengine wanakutafuta wenyewe huo ndo mwanzo wa kutengeneza urafiki mpaka sasa nina marafiki wawili wa kimarekani ninaowafundisha kiswahili na wao wananisaidia kuimprove english yangu.Kama unauhitaji wa kujifunza lugha online na unaweza kutumia hiyo opportunity kufahamiana na watu wa nje ...tafuta hii app Hello talk.
Hongera mkuu... acha watu waitumie ni nzuri kabisa. Kikubwa ni uaminifu wa mtu tu.Mkuu Daby hiyo application nzuri sana imeniwezesha kukutana na rafiki wa nchi za nje mpaka sasa tumekuwa kama ndugu tunawasiliana karibia kila siku yupo na yupo tayari kunitumia mwaliko na pia ilikuwa nifikie kwake ila sasa amepata kazi anakuja huku Africa Uganda ila akirudi naweza kurudi nae kwa gharama zake pia nawashauri mtumie app hii inaitwa italki inakuwezesha kukutana na walimu wa lugha zote duniani pia inakuwezesha kupata language partners wa kujifunza nao lugha wengine wanakutafuta wenyewe huo ndo mwanzo wa kutengeneza urafiki mpaka sasa nina marafiki wawili wa kimarekani ninaowafundisha kiswahili na wao wananisaidia kuimprove english yangu.
Hilo la uaminifu ndiyo la kwanza pia usimuonyeshe harakaharaka nia yako ni nini, wewe jenga uaminifu kwanza tatizo letu wabongo for the first time unaanza kumwambia shida zako lazima akukimbie.Hongera mkuu... acha watu waitumie ni nzuri kabisa. Kikubwa ni uaminifu wa mtu tu.
Haha... kuna mdada mmoja alilalamika anadai kuna watu wengine wanatumia hii gia ya language baadae anakuja kukuliza... wengi wapo makini saana.Hilo la uaminifu ndiyo la kwanza pia usimuonyeshe harakaharaka nia yako ni nini, wewe jenga uaminifu kwanza tatizo letu wabongo for the first time unaanza kumwambia shida zako lazima akukimbie.
yaaaaa hilo unalosema ni kweli hata kwa upande wetu inabidi tuwe makini usipende kumuamini mtu haraka haraka eti kisa unashida ya kwenda nje ninashauri tafuta kahela kako kitakachokuwezesha kuishi huko au kuweza kurudi nyumbani ikitokea mambo yamebuma au ukikuta uliyefikia kwake si mtu mzuri, maana unaweza fika huko ukatolewa Figo tuwe makini.Haha... kuna mdada mmoja alilalamika anadai kuna watu wengine wanatumia hii gia ya language baadae anakuja kukuliza... wengi wapo makini saana.
yaaaaa hilo unalosema ni kweli hata kwa upande wetu inabidi tuwe makini usipende kumuamini mtu haraka haraka eti kisa unashida ya kwenda nje ninashauri tafuta kahela kako kitakachokuwezesha kuishi huko au kuweza kurudi nyumbani ikitokea mambo yamebuma au ukikuta uliyefikia kwake si mtu mzuri, maana unaweza fika huko ukatolewa Figo tuwe makini.
Ukifungua website yanamna hiyo angalia kwenye bendera ya UK ukibonyeza hapo lugha itabadilika..!!Changamoto ya hizi nchi zisizotumia Kiingereza ni kuelewa lugha yao kwenye website zao hapo hua naumiza kichwa sana
Wazo mubashara mkuu Daby
Hata kwa kuhonga ndugu!!!!Denmark ni nchi ya scandinavia... Ni nchi yenye maisha ya raha na amani sana japo ni nchi ndogo... Njia rahisi kwenda huko unaweza kwenda as tourist then ukifika huko unapambana upate wa kumwoa hata kwa makaratasi tu ili upate kibali cha ukaazi.