Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,635
- 4,160
[emoji121]sio mbaya mkuu, ila huko botswana wapo very organized, huwezi zamia na kujificha muda mrefu, pia pesa yao inaitwa Pura ina thamani kuliko Rand ya Afrika kusini, la muhimu ningekushauri ingia online tafuta shule ya sekondary au msingi binafsi anza kuomba kazi ukiwa huku huku pia omba hata kupitia wizara ya Elimu ya huko ukiwa huku, wakikukubali hutopata matatizo, na hata kama ukipata shule ya binafsi inamaana shule hiyo ndio itakayokusaidia kupata work permit na documents zingine, nakuhakikishia huko lazima upate mdada mzuri na atakupenda kweli kwa kifupi Botswana wanawake ni wengi saana kuliko wanaume, na pia watu wengi hua wanachelewa kuoa kwahiyo we mbongo ukifika na ukatangaza ndoa mbona faster unapata jiko.
Daah, kuna bia zao za ukweli sana St Luis hazina hang over. kule utakutana na watoto wa herero miguu ya bia......
kila la heri kaka. mi hua naenda enda huko.
MKUU,
MADINI KAMA HAYA ND'O NAYATAFUTA KUTWA KUCHA HAYA.
NGOJA NIANZE TARATIBU.